William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Ndugu yangu ni ukweli mtupu unatia aibu,umri wako hauendani na akili yako! inafika sehemu mimi ambaye wewe ni sawa na baba kwa umri naona aibu,unanisikitisha sana
- anayetia aibu ni wewe unayetafuta maisha ya watu na kuja kulalamika kwenye mitandao kwa majina ya bandia, mimi nipo sawa sana na ndio maana utanisoma mpaka mwisho wamaisha yako, juzi si umesikia niliyoyafanya Kempisk sasa kwa mtu anayetia aibu unaweza kujaza matajiiri Kempisk wakakubali kukaa masaa sita kuona event iliyotayarishwa na anayetia aibu, hahahahahahahahah
- Pole sana yule dada yako simrudii ndio imetoka ile ati U know
Le Mutuz