Le Mutuz amuonyesha baby wake

Le Mutuz amuonyesha baby wake

Status
Not open for further replies.
Ndugu yangu ni ukweli mtupu unatia aibu,umri wako hauendani na akili yako! inafika sehemu mimi ambaye wewe ni sawa na baba kwa umri naona aibu,unanisikitisha sana

- anayetia aibu ni wewe unayetafuta maisha ya watu na kuja kulalamika kwenye mitandao kwa majina ya bandia, mimi nipo sawa sana na ndio maana utanisoma mpaka mwisho wamaisha yako, juzi si umesikia niliyoyafanya Kempisk sasa kwa mtu anayetia aibu unaweza kujaza matajiiri Kempisk wakakubali kukaa masaa sita kuona event iliyotayarishwa na anayetia aibu, hahahahahahahahah

- Pole sana yule dada yako simrudii ndio imetoka ile ati U know

Le Mutuz
 
- I mean baby wangu amerudi shule juzi kufanya Masters ya Sheria vipi wewe unayo au ni maneno maneno tu hapa, U know hahahahahahahahaa

Le Mutuz

Uwe na akili bana!Jitu kubwa akili ndogo,unaboa sana!Mpaka inafika sehemu namdharau Mzee Jumanne kwa kushindwa Kukulea.Mpaka watu wanafika sehemu wanadai unapumuliwa wewe huoni aibu?
 
Uwe na akili bana!Jitu kubwa akili ndogo,unaboa sana!Mpaka inafika sehemu namdharau Mzee Jumanne kwa kushindwa Kukulea.Mpaka watu wanafika sehemu wanadai unapumuliwa wewe huoni aibu?

- sure ni rahisi sana kwa anayepupumuliwa kuamini wengine wote ni kama yeye infact hapa unajisema wazi kwamba ndio mchezo wako maana topic inahusu baby wangu wewe unaleta matatizo yako U know, hahahahahahahah U know walioshindwa kulelewa wapo jela, au mirembe I have life na utaisoma tu U know na dada yako simrudii najua una hasira sana

Aliyekuroga kafa!!!Maskini mzee Jumanne
 
Hahahaa haaaa
Rika la pinda!!!

- hahahahahahahaha mtaisoma tu jana nilikuwa na Ridhiwani ni binadam kama wewe na mimi ana maisha yake na mimi nina ya kwangu tunaheshimiana sana infact alikuwa hapa ofisini kwangu siku nzima jana ok!! kama umri sijafikia 75 sdina mke na ninataka urais hapo itakuwa nomazz U know!!

Le Big Show
 
- anayetia aibu ni wewe unayetafuta maisha ya watu na kuja kulalamika kwenye mitandao kwa majina ya bandia, mimi nipo sawa sana na ndio maana utanisoma mpaka mwisho wamaisha yako, juzi si umesikia niliyoyafanya Kempisk sasa kwa mtu anayetia aibu unaweza kujaza matajiiri Kempisk wakakubali kukaa masaa sita kuona event iliyotayarishwa na anayetia aibu, hahahahahahahahah

- Pole sana yule dada yako simrudii ndio imetoka ile ati U know

Le Mutuz

Hongera sana kwa kuamua kuishi maisha yako. Watz wengi ujamaa umewafilisi akili, wanaamini kwenye unyonge na uduni ndio maana wengi wao wanakushangaa.
 
Hivi Big Brother Africa ina age limit?? Kama haina Mi naona tupeleke huyo le mutuz tunaweza jishindia aseee ahahahahaha...
 
- Kwa sababu wewe ulirogwa sasa unaamini wengine wote ni kama wewe, hahahahahah U know

Le Mutuz

Unajichekesha nini?uwe na akili bana!!Unatia aibu.Even me I do believe that any woman who have affairs with you,upstairs for that woman should be checked precisely.Wewe ni mgonjwa!
 
Hongera sana kwa kuamua kuishi maisha yako. Watz wengi ujamaa umewafilisi akili, wanaamini kwenye unyonge na uduni ndio maana wengi wao wanakushangaa.

- Well tutaendelea kuwaelimisha kwa mifano kwamba Dunia imebadilika sio kama ilivyokuwa zamani, siku hizi unatengeza pesa unakula bataz unaonyesha kwenye Instagram na FB life goes on, wanaotaka maadili watafute Dunia nyingine I mean maadili gani na huku tunasikia kila Viongozi wa Taifa wanaacha wake zao na familia zao wanawajaza mimba wabunge wa viti maalum wa vyama vyao, rubbish kabisa hayo maadili U know

We ni mburula tu!Hujitambui!Sura imekushuka!Watoto unatunziwa!Gari uliongwa na jamaa yako!
 
Unajichekesha nini?uwe na akili bana!!Unatia aibu.Even me I do believe that any woman who have affairs with you,upstairs for that woman should be checked precisely.Wewe ni mgonjwa!

- Ina maana JF imejaa wagonjwa including wewe mwenyewe iweje mtu mgonjwa wa akili akatawala JF iuwanja wa wajanja, yaani wewe JF nzima umeshindwa kuwaona wenye akili wenzako ukaja hapa kulia lia na Le Big Show tuliza boli mpuuzi wewe mimi ndio le big show na utanisoma mpaka mwisho

Le Big Show
 
- Kila binadam na maisha yake ninamshukuru sana Mungu kwamba I make money I live my life na nimeweza kutengeza my ID kwa Public as Le Mutuz Big Show, I live my life and I am very happy just imagine ningekuwa mbunge kukaa Dodoma wiki nzima wewe kweli unaamini mimi naweza kukaa Dodoma Wiki nzima kwenye bunge?

- Hao wote uliowataja tunaheshimiana tunafahamiana sijawahi kumuomba mtu pesa ninazo zangu, na nina biashara zangu hapa mjini yaani I am kool with my self U know poleni mnaokaa pembeni na kulia lia mtalia sana U know na by the way huyo kwenye picha sio baby wangu yupo mwenyewe ila kama kawaida huwa ninawachezesha muziki wangu as much as I want U know!!

Le Mutuz
ndio upost vitu vya maana sasa watu wakuheshimu kulingana na jina la mzee fedha pekee haileti heshima madaraka hana hela kivile lakini anaheshimika ,badilika post mapicha na watu wenye kuweza kubadili fikra na maisha ya watu sio hao vicheche vya mjini
 
- hahahahahahahahaha saaafi sana sasa nimekupata unatapika bila kufikiri le mburualazz, sura yangu inakutesa hahaha

le Big Show

Jitambue wewe!!Shule huna!Marekani ulikuwa unazugazuga tu nakuokoteza vivyeti uchwara!Leo ukiongea mtu yeyote anajua hakuna kitu hapo!Mimi nimemaliza ila jitambue!Ebu fanya tathimin kutizama wenzio wa umri wako!
 
Baba jitahidi ukue.
Mambo unayifanya hayaendani na umri wako.

Embu angalia ndugu zako wengine.Mwangalie auntie Mwele, babu anajivunia kuwa nae.

Wasiomjua Mwele yeye ndio mkurugenzi wa NIMR.

Baba unatudhalilisha kwa mambo unayofanya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom