Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

Status
Not open for further replies.
- Kumbe ulishatoka damu ndio maana umeppotea hahahahahahahaha

Le Mutuz

Kwanza kaumaarufu unakokariri kuwa nako watu wanakushangaa kuwa na akili retarded kama yako ilhali umetoka kwenye familia thabiti hapa bongo. Una tofauti na akina Makongoro Nyerere sema yeye abwabwaji mitandaoni ndio nafuu yake.

Huwa najiona genius saana ninapogundua naweza kuargue na wewe na kukugaragaza ilhali hata elimu yangu ni ya kuchechemea na wewe una degree tatu. Sio bure utakuwa retarded or mental disorted una rational wala tough reasonin ability. Nop sioni kwako hii kitu babu yangu.

Very Imbecilic!!
 
Hakuna nyumba ni banda hilo unapigaje picha kwenye dirisha atoe frontview y banda hilo.kafikia hotel kaogopa kulala kwao cjui kuna panya wengi au hamna kitanda saiz yke maza inaonekana lishe ndio tatizo mybi anakula mlo mmoja

- Tunduma hamna hotel so ndio maana nimekaa Mbeya U know hahahaha now naelekea Mliman City karibu U know upate picha na Celebrity U know

Le Mutuz
 
- the only way unaweza kunishinda argument hapa ni wewe kuleta picha ya nyumba ya mama yako na wewe kutmia jina na ID kamili kama mimi otherwise unakuwa kama wengine wote watumiaji wa ID fake huwezi kuwa any valid argument kwa kutumia majina ya bandia pole sana nenda shule kidogo utalijua hilo la ujuha wa kujifanya una akili huku unatumia ID fake hakuna mwenye akili anaweza kukusikiliza ndio maana mimi ni Celebrity wewe sio moja ya sababu ni kutumia ID yangu real hapa bila uoga!! hahahahaha

Le Mutuz
 
- Ok now hebu tumia akili just for once unaumiza misuli na mtu unayemuita haya majina sasa wewe unakuwa nani mkuu ndio mana nasema wewe huna akili kabisa masikini wa Mungu na hujitambui pole sana mimi sio size yako kijana mdogo 3 Degree sio mchezo nenda ujipange tena!!

Le Mutuz
 
Yan wabongo si mpoje mnapoteza mda mwng kusema mtu wakt mna mambo meng ya kufanya. Nyumba kamjengea yeye mama ake ww kinachokuhuma nin ? hata kama ya udongo haikuhusu badiliken bwana

Kuna haja ya kubadilishana na kuonyana huyu bwana anajinadi sana mitandaoni yeye ndio celebrity mara yeye ndio milionea..mara hivi mara vile...

Sasa atimize na jukumu lake mama ni mtu mkubwa saana bro..kimaandiko wanasema ndio mungu wako wa pili kama yuko hai una budi kumtunza na kumpenda kwa moyo wako wote na sio kula bata hovyo hovyo mjini wakati mama analala kwenye pagala kama lile.

Hapana! We have to do something, na ninaamini kupitia hii misumari tunayomuwamba hapa lazima ifanye mabadiliko flani juu ya mustakabali na mtazamo kwa mama yake. Trust me.

Lazima tutamake a difference na hii misumari. Lazma!
 
- Tunduma hamna hotel so ndio maana nimekaa Mbeya U know hahahaha now naelekea Mliman City karibu U know upate picha na Celebrity U know

Le Mutuz

Hahahaas u know ungelala kwenu hata kma nyumba mbovu ila nyumbani n nyumbani 2,picha piga n familia yko
 
Ujenzi Wa nyumba ya mama umeishia wapi mbona kimya no updates
 
- hahahahaha jifunze kurusha misumari kwa kutumia ID yako kama mimi ndio utasikilizwa so far ni debe tupu kama mengine ok hahahahaha

Le Mutuz
 
Hahahaas u know ungelala kwenu hata kma nyumba mbovu ila nyumbani n nyumbani 2,picha piga n familia yko

- I stay 5 star kwani what is the difference I mean unaongea kama mtu wa miaka ya 20 amka wewe lazima kuendeleza uchumi sasa kila mtu anakwenda Mbeya kukaa kwa mama yake Hotel atakaa nani ebo!! hahahahah U know

Le Mutuz
 
Ujenzi Wa nyumba ya mama umeishia wapi mbona kimya no updates

- Well ujenzi unaendelea U know ndio maana nimerudi U know kuwahi kusaini mkataba mpya kesho na EAG from USA relax maan!!, hapa everything is under control mimi ndio Le Big Show

Le Mutuz
 
- hahahahaha jifunze kurusha misumari kwa kutumia ID yako kama mimi ndio utasikilizwa so far ni debe tupu kama mengine ok hahahahaha

Le Mutuz

Unayotumia kwa sasa ni roho ya paka tu mzee wangu ila najua tumekujeruhi sana kwa ukweli thabiti.

Nikiri tu pua kwamba wewe ni kamanda kindakindaki maana kuimiri ukweli na kuukataa licha ya kuwa wazi ni ukindakindaki wandamizi.
 
- I stay 5 star kwani what is the difference I mean unaongea kama mtu wa miaka ya 20 amka wewe lazima kuendeleza uchumi sasa kila mtu anakwenda Mbeya kukaa kwa mama yake Hotel atakaa nani ebo!! hahahahah U know

Le Mutuz

hahahahaha. we bonge una majibu ya kushangaza sana
 
- I stay 5 star kwani what is the difference I mean unaongea kama mtu wa miaka ya 20 amka wewe lazima kuendeleza uchumi sasa kila mtu anakwenda Mbeya kukaa kwa mama yake Hotel atakaa nani ebo!! hahahahah U know

Le Mutuz

Acha ulimbukeni kwenu hakuna nyumba kuna banda ndio mana umeshindwa lala.maza maisha yamempiga hoi bi taabani halafu mbna hupigi maphoto n maza unaona full aibu
 
Mods njooni huku mumsaidie Le Big Show, naona kama kazidiwa madongo leo

Sometimes muwe na huruma mods
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…