Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- Sawa sawa haya maneno yangekuwa super kama ungeweka nyumba ya mama yako kwanza OTHERWISE YANAKUWA NI HEWA TUPU unafikiri ni mchezo kujengea nyumba mama hahaha ni rahisi kualumu wenghine tu weka hapa ya mama yako tuone kama kweli ipo? hahahahahahaa
Le Mutuz
- HAHAHAHAHAHAHAHA unasema hii ndio nyumba ya mama yako wapi hiyo hahahahahahahahah jamani unaona wapiga kelele hahahahahaa umenivunja mbavu yaani msingi wa Shule ya Msingi ndio unasema nyumba ya mama yako sasa hapo anaishi wapi kaka? hahahahahahahahahahah
Le Mutuz
-Then ungenyamaza tu maana page 12 nonsense tupu maneno mengi hewa tupu U know inasikitisha sana!, una tatizo na nyumba ya mama yangu weka ya mama yako kwanza ndio uanze kulia lia au unasemaje?
Le Mutuz
watu wa tunduma hebu tupieni picha za nyumba zenu huko......,

Mkuu W. J. Malecela wewe achana nao hao! Wewe umemjengea mama basi. Kama walitaka nyumba ya mama iwe hekalu wala huo haukuwa wajibu wako bali wa Mzee Tingatinga ambaye alikuwa mume wake. Au hakuwa mume bali mchepuko? Anyway tuache hayo maana hata kama ni mchepuko kwa nafasi aliyokuwa nayo angeweza kufanya makubwa zaidi. Ila wakati mwingine haya mambo ya kina mama sio ya kuyaweka humu kwenye social media kuna watu ndio wanapata nafasi ya mashambulizi.
watu wa tunduma hebu tupieni picha za nyumba zenu huko......,
huyu jamaa lemutu nilikuwa namfagilia kumbe kimeo tu. nimegundua leo kuwa kaniblock kule insta kisa hapendi challenge. dikteta huyu anayejificha kwenye matiti ya wanawake. mburulaz kabisa!
Am no doctor but something is seriously off.
He shouldn't be here or anywhere postulating about his mother.
Not at his age at least.
Hahahaa me mwenyewe kaniblock...kumbe muoga tuu...
Kaka kubali hpo hamna nyumba hiyo ni banda mhamishe maza fasta anza ujenzi w nyumba c kurepair hilo banda l kuku,m2 bilionea huwezi lala kwe2 mana kumechoka hatari punguza majigambo jenga nyumba bora au nae mhamishie dar akae ghorofani.maza kachoka itakua humtumii matumizi
- Le Big Show live at Tunduma, hii ndio nyumba ya Mama yangu mzazi Tunduma nasema tena kwa standards za Tunduma ni super kuliko nyumba za mtaa wake wote, hali yake ya afya haikuwa njema nimemuhamishia Mbeya mjini na kuanzia jana nimeamua kuikarabati upya nyumba yake kwa sababu hataki kuhamia Dar kwenye nyumba yangu ya Kinyerezi ambayo haina mtu. So nimemuhamishia Hotelini ambako amekuwa akifanyiwa medical check up na madaktari bingwa toka nifike huku juzi na for the next Two weeks akisubiri ukarabati ili niweze kuweka mtu permanent ndani ya nyumba wa kumtunza all the times, now eti kuna anayesema kwa kumfanyia mama yangu mzazi yote haya ninakuwa sina akili? hahahahaha mnasema kwamba ni kweli Celebrity wote hapa mjini wanawajali Mama zao kama nilivyofanya? hahahahah
- Accademically huwezi kulaumu nyumba ya mama wa mwingine bila kuonyesha ya mama yako kwanza, sasa kosa langu lipo wapi people au ndio zile zile za kuendelea kunipaisha kwa juu na Social Media, I mean hahahahahahaha U know
- NIPO MBEYA NOW DOWNTOWN GR HOTEL U KNOW, NAENDA TUNDUMA NA KURUDI KUSIMAMIA UKARABATI ETI KUNA MWENYE TATIZO HUKO? HAHAHAHAHAHAHA
Le Big Show
Mchele mchele. Acha hiyo tabia.
- Bilionea sijawa ila nipo mbioni, mama yangu is fine ila ungeweka banda la mama yako ndio ningeamini unayosema U know weka basi hapa tuone wasap!!
Le Mutuz
- Wewe rudi Tanzania Nyerere rika lako alishafariki wazazi wako wote walishafariki, miaka 60 hujarudi nyumbani walishakusahau a depressed humna being na huyo mke wako Mlemavu pole sana utaishia huko huko watatuma majivu tu, wenzako tumeishi huko tumerudi nyumbani na nipo hapa Tunduma ninaendelea na maisha, wewe utaishi akutunzwa na serikali ya wazungu mpaka unakufa what a waste!! hahahahahahaha
Le Mutuz
- Kama kawaida lazima mjiseme kuhusu tabia zenu yaani tunaongelea mambo ya nyumba ya mama wewe unaleta mambo ya tabia zako huko mtaani sasa sisi tufanye nini unatangaza biashara yako hapa? hjahahaha halafu nani kakuuliza kuhus
u mambo yako ya binafsi?
Le Mutuz
Kwa umri wako kuwa bilionea ni maajabu ya dunia. .kuna umri ukigonga kama hujafanikisha ndoto zako tegemea miujiza!....kuna mtu anatuletea picha za nyumba hiyo ya bi mkubwa wako upande wa ndani tuone na maeneo ya chooni..
- Wewe rudi Tanzania Nyerere rika lako alishafariki wazazi wako wote walishafariki, miaka 60 hujarudi nyumbani walishakusahau a depressed humna being na huyo mke wako Mlemavu pole sana utaishia huko huko watatuma majivu tu, wenzako tumeishi huko tumerudi nyumbani na nipo hapa Tunduma ninaendelea na maisha, wewe utaishi akutunzwa na serikali ya wazungu mpaka unakufa what a waste!! hahahahahahaha
Le Mutuz