Le Mutuz azidi kumvaa Juliana Shonza

Mkuu uteuzi wa huyu umetokana na kuacha chadema,kumbuka hawa walikuwa chadema na alipohama aliteuliwa kama kumpa fadhila,halafu hata chadema alikuwa hafai alikuwa pale kwa vile hakuna viongozi wa kutosha chadema,na chadema nafasi yenyewe aliteuliwa tu,inshort hafai
 
Oooh, basi sawa a
 
Le mutuz mobimba leo anabishana na waziri mteule wa rais?! Kweli albadir imeanza kazi
 
RİP 20%


YA NİNİ MALUMBANO
 
Lemutuz Yuko Sawa
Haijawai kutokea naibu waziri kujibizana na mwananchi kwenye mtandao tena kwa maneno Ya kishenzi kama sio msomi

Mbona chibu alikaa kimya baada Ya kufungiwa? Ye ndo kamsababisha aje kwenye socialmedia na kubwabwaja mwisho kuonekana kalewa umaarufu
Yaani bongo kuna mambo ya kishenzi
Sana
 
Le mutuz Babu wa wcb

Yaani unamlaumu waziri kuhojiwa na clouds sasa clouds wanakosa gani ktk mahojiano yale
 
Le mutuz mobimba leo anabishana na waziri mteule wa rais?! Kweli albadir imeanza kazi
Ukiona hivyo basi ujue kua Uswahiba wa Le Mobimba kwa Diamond/Makonda unazidi ule Uswahiba wa Le Mobimba kwa JPM
 
Huwezi kuipangia serikali mtu wa kuongea naye ugomvi wa diamond na huyo Mungu mtu hauna uhusiano NW

Labda kama kuna kitu na mambo ya udaku udaku yapo nyuma yanaendelea.
 
WALIKUA WANAKOMOLEWA CHADEMA. HII NDIYO AWAMU YA WANYONGE. ILA HUYO WAZIRI LAZMA ATAONDOKA SOON. LE MUTUZ NI KIVULI TU.
 
Asante kwa ushauri, sifa kuu kuliko zote kwa mwanahabari ni kusema kweli daima, "nothing but the truth no matter what".

Hivyo mimi siku zote, I speak out my mind kwa uhuru kabisa as long as tunachosema ni ukweli mtupu!.

Sifa ya pili ya mwandishi ni kuwa jasiri, kuusema ukweli bila kuogopa yoyote wala chochote!. Hivi ndivyo nilivyo, kama hata rais Magufuli mwenyewe, humu anaelezwa ukweli, what about waziri wake tuu aliyechemka big time?.

Usichanganye uoga, heshima na nidhamu, mimi sio muoga ila nina heshima sana na nidhamu ya hali ya juu!. Rais Magufuli ninamuheshimu sana na mawaziri wake ninawaheshimu, akiwemo bi dada, naibu waziri wetu, ila haogopwi yoyote na kama kuna ukweli wa kuambiwa, ataambiwa tuu.

P
 

Nimekuelewa Mkuu ila ngoja Mimi nibaki na ule msemo wa Kihenga kwamba Kunguru Mwoga ndiyo huishi muda mrefu.
 
Nimekuelewa Mkuu ila ngoja Mimi nibaki na ule msemo wa Kihenga kwamba Kunguru Mwoga ndiyo huishi muda mrefu.
Naheshimu msimamo wako, ila kwenye tasnia hii ya habari, waandishi majasiri, ambao sio waoga, ndio watakaolikomboa taifa hili.

Endelea kuwa kunguru muoga ili uishi muda mrefu, nami naendelea kusema ukweli daima bila woga, halafu urefu wa maisha yangu, nimeukabidhi kwa Bwana mwenye mamlaka hayo!.
P
 

Sawa Mkuu ila Wewe hakuna tatizo Kwako kwani ' Kabila ' lako sasa huu ni wakati wenu wa kubebana na kulindana pia ila Sisi wengine ' Makabila ' yetu ' naturally ' tu yapo ' Critical ' na uzuri wa wakati huu uliopo ' Critical Minds ' hazitakiwi Tanzania bali zinatakiwa tu zile ' minds ' za ' Jipendekeze, Nisifu, Ninyenyekee na Nikuteue '.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…