Le Mutuz azidi kumvaa Juliana Shonza

Le Mutuz azidi kumvaa Juliana Shonza

Nilishawahi kumjadili humu huyu Naibu Waziri Juliana Shonza na nadhani kama kuna ' Teuzi ' ambayo imedhalilisha kwa Kiwango kikubwa na cha Kimataifa ' Mteuaji Mkuu ' basi ni hii ya huyu Dada. Kuanzia tu katika Uso wake, matamshi yake na hasa hasa ' body language ' yake tu utagundua kuwa hafai / hatoshi / ametokota. Natamani sana pia kuwajua Watu ambao walimfanyia ' thorough vetting ' kwani yawezekana na Wao pia wanahitaji vile vile kufanyiwa hiyo ' thorough vetting ' kwani wao ni wa ' hovyo hovyo ' na wamependekeza jina la ' hovyo hovyo ' kwa ' Mteuaji Mkuu '.
Mkuu uteuzi wa huyu umetokana na kuacha chadema,kumbuka hawa walikuwa chadema na alipohama aliteuliwa kama kumpa fadhila,halafu hata chadema alikuwa hafai alikuwa pale kwa vile hakuna viongozi wa kutosha chadema,na chadema nafasi yenyewe aliteuliwa tu,inshort hafai
 
Oooh, basi sawa a
 
Le mutuz mobimba leo anabishana na waziri mteule wa rais?! Kweli albadir imeanza kazi
 
FACT,REDIO INAYOWAFUNGIA WASANII KWA SABABU KUU YA UNYONYAJI LEO NDO WAZIR AENDE KUHOJIWA HUKO
KAMA SI VITUKO NI NN???

NDO MANA HAO CLOUDS WANASHADADIA MAANA WAO WENYEWE HUFUNGIA NYIMBO ZA WATU TENA BILA SABABU YA MSINGI TENA BORA BASATA KULIKO HAO WANOJIKUTA MIUNGU WATU
RİP 20%

YA NİNİ MALUMBANO
 
Lemutuz Yuko Sawa
Haijawai kutokea naibu waziri kujibizana na mwananchi kwenye mtandao tena kwa maneno Ya kishenzi kama sio msomi

Mbona chibu alikaa kimya baada Ya kufungiwa? Ye ndo kamsababisha aje kwenye socialmedia na kubwabwaja mwisho kuonekana kalewa umaarufu
Yaani bongo kuna mambo ya kishenzi
Sana
 
Le mutuz Babu wa wcb

Yaani unamlaumu waziri kuhojiwa na clouds sasa clouds wanakosa gani ktk mahojiano yale
 
Le mutuz mobimba leo anabishana na waziri mteule wa rais?! Kweli albadir imeanza kazi
Ukiona hivyo basi ujue kua Uswahiba wa Le Mobimba kwa Diamond/Makonda unazidi ule Uswahiba wa Le Mobimba kwa JPM
 
Huwezi kuipangia serikali mtu wa kuongea naye ugomvi wa diamond na huyo Mungu mtu hauna uhusiano NW

Labda kama kuna kitu na mambo ya udaku udaku yapo nyuma yanaendelea.
 
Nilishawahi kumjadili humu huyu Naibu Waziri Juliana Shonza na nadhani kama kuna ' Teuzi ' ambayo imedhalilisha kwa Kiwango kikubwa na cha Kimataifa ' Mteuaji Mkuu ' basi ni hii ya huyu Dada. Kuanzia tu katika Uso wake, matamshi yake na hasa hasa ' body language ' yake tu utagundua kuwa hafai / hatoshi / ametokota. Natamani sana pia kuwajua Watu ambao walimfanyia ' thorough vetting ' kwani yawezekana na Wao pia wanahitaji vile vile kufanyiwa hiyo ' thorough vetting ' kwani wao ni wa ' hovyo hovyo ' na wamependekeza jina la ' hovyo hovyo ' kwa ' Mteuaji Mkuu '.
WALIKUA WANAKOMOLEWA CHADEMA. HII NDIYO AWAMU YA WANYONGE. ILA HUYO WAZIRI LAZMA ATAONDOKA SOON. LE MUTUZ NI KIVULI TU.
 
Comrade hivi ulivyounga mkono hii ' Hoja ' yangu ' nzito ' kwa Verified ID yako kabisa haitokuletea ' madhara ' yoyote huko mbele na hasa ikijulikana kuwa Wewe ni Mwanahabari ' Nguli ' na huyo uliyeunga mkono kumsema Kwangu anawajibika moja kwa moja katika hii ' Tasnia ' yetu Mimi na Wewe?

Ushauri tu kama mdogo wako na unajua kuwa nakukubali mno Kaka yangu siku nyingine ikiwezekana uwe unatumia ' Fake ID ' humu ( ambayo hata hivyo najua unayo ) ili uweze kuwa na uhuru mpana wa kutoa mawazo yako lakini kwa kuendelea Kwako ' Kujianika ' hivi moja kwa moja ' naogopa ' sana Mkuu na bado wana ' Tasnia ' tunakupenda na tunakuhitaji sana.

Take this ' seriously ' Brother.
Asante kwa ushauri, sifa kuu kuliko zote kwa mwanahabari ni kusema kweli daima, "nothing but the truth no matter what".

Hivyo mimi siku zote, I speak out my mind kwa uhuru kabisa as long as tunachosema ni ukweli mtupu!.

Sifa ya pili ya mwandishi ni kuwa jasiri, kuusema ukweli bila kuogopa yoyote wala chochote!. Hivi ndivyo nilivyo, kama hata rais Magufuli mwenyewe, humu anaelezwa ukweli, what about waziri wake tuu aliyechemka big time?.

Usichanganye uoga, heshima na nidhamu, mimi sio muoga ila nina heshima sana na nidhamu ya hali ya juu!. Rais Magufuli ninamuheshimu sana na mawaziri wake ninawaheshimu, akiwemo bi dada, naibu waziri wetu, ila haogopwi yoyote na kama kuna ukweli wa kuambiwa, ataambiwa tuu.

P
 
Asante kwa ushauri, sifa kuu kuliko zote kwa mwanahabari ni kusema kweli daima, "nothing but the truth no matter what".

Hivyo mimi siku zote, I speak out my mind kwa uhuru kabisa as long as tunachosema ni ukweli mtupu!.

Sifa ya pili ya mwandishi ni kuwa jasiri, kuusema unwell bila kuogopa yoyote wala chochote!. Hivi ndivyo nilivyo, kama hata rais Magufuli mwenyewe, humu anaelezwa ukweli, what about waziri wake tuu aliyechemka big time?.

Usichanganye uoga, heshima na nidhamu, mimi sio muoga ila nina heshima sana na nidhamu ya hali ya juu!. Rais Magufuli ninamuheshimu sana na mawaziri wake ninawaheshimu, akiwemo bi dada, naibu waziri wetu, ila haogopwi yoyote na kama kuna ukweli wa kuambiwa, ataambiwa tuu.

P

Nimekuelewa Mkuu ila ngoja Mimi nibaki na ule msemo wa Kihenga kwamba Kunguru Mwoga ndiyo huishi muda mrefu.
 
Nimekuelewa Mkuu ila ngoja Mimi nibaki na ule msemo wa Kihenga kwamba Kunguru Mwoga ndiyo huishi muda mrefu.
Naheshimu msimamo wako, ila kwenye tasnia hii ya habari, waandishi majasiri, ambao sio waoga, ndio watakaolikomboa taifa hili.

Endelea kuwa kunguru muoga ili uishi muda mrefu, nami naendelea kusema ukweli daima bila woga, halafu urefu wa maisha yangu, nimeukabidhi kwa Bwana mwenye mamlaka hayo!.

Sawa Mkuu ila Wewe hakuna tatizo Kwako kwani ' Kabila ' lako sasa huu ni wakati wenu wa kubebana na kulindana pia ila Sisi wengine ' Makabila ' yetu ' naturally ' tu yapo ' Critical ' na uzuri wa wakati huu uliopo ' Critical Minds ' hazitakiwi Tanzania bali zinatakiwa tu zile ' minds ' za ' Jipendekeze, Nisifu, Ninyenyekee na Nikuteue '.
 
Back
Top Bottom