Asante kwa ushauri, sifa kuu kuliko zote kwa mwanahabari ni kusema kweli daima, "nothing but the truth no matter what".
Hivyo mimi siku zote, I speak out my mind kwa uhuru kabisa as long as tunachosema ni ukweli mtupu!.
Sifa ya pili ya mwandishi ni kuwa jasiri, kuusema unwell bila kuogopa yoyote wala chochote!. Hivi ndivyo nilivyo, kama hata rais Magufuli mwenyewe, humu anaelezwa ukweli, what about waziri wake tuu aliyechemka big time?.
Usichanganye uoga, heshima na nidhamu, mimi sio muoga ila nina heshima sana na nidhamu ya hali ya juu!. Rais Magufuli ninamuheshimu sana na mawaziri wake ninawaheshimu, akiwemo bi dada, naibu waziri wetu, ila haogopwi yoyote na kama kuna ukweli wa kuambiwa, ataambiwa tuu.
P