Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.

Inawezekana degree yake moja ni ya mazingaombwe. Manake anauwezo wa kuwateka watu bila kujijua wanamjadili yeye tu, wanasahau mambo yao!
This is the best of him!
 
Watu makini huwa hatusahau mambo yetu. Kwangu mimi he is a refreshment. Nikifanya kazi nikachoka, namsoma na inanikumbusha how easy it is to get my daily bread. I dont have to be a colown to eat lunch at coral beach lol
Inawezekana degree yake moja ni ya mazingaombwe. Manake anauwezo wa kuwateka watu bila kujijua wanamjadili yeye tu, wanasahau mambo yao!
This is the best of him!
 

Acha uongo wewe.. wala hawamjui alishafutwa kwenye list ya watt wa malechela
 
Watu makini huwa hatusahau mambo yetu. Kwangu mimi he is a refreshment. Nikifanya kazi nikachoka, namsoma na inanikumbusha how easy it is to get my daily bread. I dont have to be a colown to eat lunch at coral beach lol
kama atausoma ushauru wako@king'asti basi atabadilika baadhi ya vitu...maana swala la kula mahotelini linaonenekana big deal..
 
- Kijana mdogo msomi aliyetokea kwenye maisha ya wazazi wa kawaida, nimekutana naye kwa mara ya kwanza nilipokuwa nafanya Instagram Party ana followers wengi sana kwenye Insta so tukaunganisha nguvu na kufanya the best Insta Party ever in bongo, Walikuja watu 6000, ilikuwa ni a history pamoja na a record.

- Wiki mbili zilizopita alinialika kuhudhuria siku ya kumbu kumbu ya kifo cha mama yake mzazi miaka 12 iliyopita nilienda mpaka home kwa baba yake ni na Another star Mc Pilipili, tukajumuika na familia yake kumuombea mama yake baba yake was a very humble man kule Chuo Kikuu changanyikeni,

- Ni kijana mbishi wa kutafuta maisha na amegundua kwamba Social MEdia ni best tool ya kutafutia pesa through umaarufu he is a Star unakuwa Star unapoweza kufikia kulipwa for your appearance majuzi kwenye nyama choma aliweka banda lake la Insta, mimi na MC Pilipili tulienda kumpa support ya kupiga picha na clients wake he made big money ile siku,

- Maskini anapotaka kuwaacha masikini wenzake kwenye umasikini huwa wana sababu nyingi sana za kutetea kubaki kwao kwenye umasikini na siku hizi Tanzania njia rahisi ya kutetea ukilaza wa kubakia masikini kwa kijana yoyote mwenye elimu ni kukimbilia Social Media na kuzusha kuwa masikini anayetaka kuwaacha kwenye umasikini ni Gay, so low so foolish! so childish!

- Lakini ukweli ni kwamba ni lazima uwe gay kujua wengine wote wanaokuzidi maisha na gay, sasa next time sema hivi wewe ni gay ndio manaa unajua flani ni gay, it will make a lot of sense kuliko kujaribu kuchafua majina ya watu bure, watuwazima na akili timammu badala ya kutumia mitandao kutafuta pesa basi hata umaarufu unakalia kurusha maneno ya chooni, I mean ndio maana wenye pesa wataongezewa tu na wasiokuwa nazo watazidi kutokuwa nazo,

- The kid is smart, the kid is A star na the kid is making money kwa kutumia mitandao ya kijamii, ma gay ndio kazi ya kulalamika ukisoma vizuri humu you can see very clear kwamba hata the kid humujui ila anakukarea kwa sababu amekuacha kwenye umasikini, nasema hivi wale wote mnaoita wanaowazidi kimaisha kuwa ni ma gay, for sure nyie ndio ma gay kwanza kubalini hilo kwanza, ok!

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…