William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Hapana chezea selebriti hahahah
- You bet 6 pages 7000 viewers ndio maana yake Big Celebrity hahahahaha U know
Le Mutuz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana chezea selebriti hahahah
Huko bandarini hakuna mabebezzz ndio mana kutwa kucha anavizia dinner z bure kweli usa alikua n hali mbaya
- hahaha ok so mkuu unanilipia maisha yangu hapa mjini au? hahahaha
Le Mutuz
.........mabilionea na mabebzz wa ukweli ndio wanakulipia
- hahaha ok so mkuu unanilipia maisha yangu hapa mjini au? hahahaha
Le Mutuz
.........mabilionea na mabebzz wa ukweli ndio wanakulipia
Bilionea wa kula bure milo 3 na mwenye mwili mkubwa akili kisoda
- So ni that simple na wewe kwa nini usijaribu? hahahahahah
Le Mutuz
Ndio maana nakuambia akili yake inamfaa. Nimejiuliza motivation ya mimi kwenda ni nini? Kama sio networking ya (wanaume wa mjini ama?).
Najiuliza tu akili yangu ijiongeze hahaha. Labda inakuwa kama faida ya kuhudhuria launching ya ripoti ya esrf hivi ama hakielimu?
Mie najua kuzitafuta na kuzitumia kununulia msosi watu kama nyie......
Inawezekana degree yake moja ni ya mazingaombwe. Manake anauwezo wa kuwateka watu bila kujijua wanamjadili yeye tu, wanasahau mambo yao!
This is the best of him!
- hahahahaha wewe umenivunja mbavu sana U know hahahahaha
Le Mutuz
Inawezekana degree yake moja ni ya mazingaombwe. Manake anauwezo wa kuwateka watu bila kujijua wanamjadili yeye tu, wanasahau mambo yao!
This is the best of him!
Umesahau moja:
11. Ana ID kibao.:lol:
Hii elimu ya wazungu nimejiongeza leo. Kwa hiyo celebrities wa kidhungu ndio wakifanya house warming party wanatoza kiingilio sio? Kweli wazungu wametuzidi.
Nilishatangulia kusema i admire you. It takes a lot of courage to do what you do. Your parents must be very proud of you.
kama atausoma ushauru wako@king'asti basi atabadilika baadhi ya vitu...maana swala la kula mahotelini linaonenekana big deal..Watu makini huwa hatusahau mambo yetu. Kwangu mimi he is a refreshment. Nikifanya kazi nikachoka, namsoma na inanikumbusha how easy it is to get my daily bread. I dont have to be a colown to eat lunch at coral beach lol