Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Kama walishajua kuwa nabii hakubaliwi kwao si na Watanzania wakaanzishe white party Uganda ambako si kwao kama watakubalika? badala ya kulia lia....
Mbona Diamond anakubalika au nae ni mganda?

Mwisho wa siku uchapa kazi unalipa...fuatilia historia ya kina P Square ndio utajua nao walikuwa wananang'wa tu walipoanza mziki na hawakukata tamaa wala kujiliza...leo hii wanalipwa ku-attend events Nigeria ambako ni KWAO

 
Hakuna party iliofikia 1.8billion, muache kuchemsha watu akili ....

kwanza na Mtoe cost za kuhost party km haikubali million 200 hivi...
 
Jamaa walijipanda sana..pig up kwao...ila ilo la bil 1.8 ni uongo ulio wazi...tale alisema tiketi za milioni 3 zilikuwa 10 na million 1 zilikuwa 12 na ziliisha kitambo..hakuna hesabu itakayoleta kiwango hiko cha pesa...labda waintroduce kanuni nyingine za kujumlisha na kuzidisha ndo tupate hiyo bilion 1.8
 

shikamoo dada
ukweli ni kwamba zari katuzidi maakili
nakumbuka dai aliandaa diamond forever peke ako na nyomi alipata
hizi zingine ni porojo tu za kujifariji wangapi wadada wabongo wamejaribu labda wakakosa support...
Mtu mzima km mimi huwezi nilipeleka kwa viteeneja au wanachuo utegemee nije eti kukusapoti
never....nshaenda bills kipindi niko shule
nahitaji event km ile kwa umri huu

tatizo wadada wabongo si wabunifu,na hatujifunzi ht kidogo

eti superstaa anaenda kwenye arobini ya kutoa mtoto nje na dira la elf sita

mxiiiuuiiii....
Utegemee nikusapoti ...!!!mavi yake..!!!
Na ntakudiss tu
hebu fanya km jana alivyofanya tuone km hutosapotiwa
tubadilike jamani tusikalie lawama tuuuu
 
Vyovyote iwavyo ila Party ilikuwa ya kijanja na watu walijaa ifike au isifike bado jamaa wametengeneza hela nyingi mno, tuwaone na wengine kama unapendwa kweli basi ukiandaa tamasha watu watajaa wasipojaa basi watu ulionao ni wanafiki wa mitandaoni
 
Hakuna kitu muhimu km ukweli na kuacha ushabiki, Diamond ali perform kwenye Zari white party in Uganda, what happened? Na ilikuwa just ametoka South Africa kupata award. Waganda hawakumpa that attention coz sio kichwa cha mwendawazimu km wabongo wenye kupapatikia watu kisa wansongea English, lol. Ni aibu ku admit kuwa hiyi ndio hulka ya kibongo
 

Hahahaaa u killed it! Waende uganda nimecheka hadi basi, watu wanatakiwa wajue uwingi wa watu kuna influence kubwa ya Diamond!
 
Vyovyote iwavyo ila Party ilikuwa ya kijanja na watu walijaa ifike au isifike bado jamaa wametengeneza hela nyingi mno, tuwaone na wengine kama unapendwa kweli basi ukiandaa tamasha watu watajaa wasipojaa basi watu ulionao ni wanafiki wa mitandaoni

Point sio kupendwa au kutopendwa, watanzania ni malimbukeni. Diamond ana perform kila kikichwa bongo na hajawahi kupata hiyo response,sana sana anaambulia kuzomewa. Kilichokuwepo hapa ni ushabiki wa kuinyesha nani zaidi ya Wema na Zari, watanzania watu wa wivu na malimbukeni. Mfano mzuri ni Mwisho Mwampamba ametoka big brother the same year with Abi yule msouth, lakini Abi ameshikwa na watanzania km nyota ya jaha hadi amekuwa tajiri bongo, ana business za maana, anapewa ulaji kwenye events kibao masikini si Mwisho wala yule Richard anayethaminiwa Bongo. Yani ni aibu kwa kukumbatia wageni. Mifano ipo mingi mno, Mtanzania anaweza akawa more qualified kuliko hao ambao su watanzania lakini hawapewi chances, kwa nini? Jibu ni ilbukeni na kukosa fikra. Hutoeenda nchi yoyote ukute wanathamini wageni over watu wao. Ni wakati now wa kuamkuka na kuacha ushabiki
 
zels;

Jipange. Kumbe unajua Zari hakupata hiyo response kwao?

Kwa hiyo Wema akienda Uganda si atapata response kama ya Zari hapa kwetu? Jipange. Kwanza watu walienda kwa ajili ya Diamond zaidi. Huyo Zari angeandaa na mru mwingine, say Dimpoz wala hali isingekuwa hivyo
 
Last edited by a moderator:
Nimekufuatilia ktk mantiki ya hoja unazojaribu kuzijenga nikagundua.UNA HOJA ILIYOJIFICHA ILA UWEZI ISEMA KWA KUWA SHOW IMEFANYIKA NA WATU TULIJAA NA MIHELA WAMETENGENEZA ILA INGEDODA MUNGEZIONYESHA RANGI ZENU HALISI ILA HAPA UNAZUNGUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUKA
 
wamekusanya mkwanja mrefu hawa jamaa kwani ile kuangalia online tu aliehusika na hiyo setup amesema kua watu laki mbili na zaidi walilipa 3000 ukipiga mara laki mbili na zaidi hela ni nyingi.

Ile ndio PPV eti eeh?
 
 
Hongereni wandazi. Hata pambano la maywether na pac Filipino halikuona ndani kwa hilo diamondwhite .
 
Mm sina kinyongo. Mm ni mzee wa KODI.

Tshs 1.8 billion nategemea VAT (18% )hapo sawa na Tshs 0. 324 billion aka Tshs 324 million.

Cha ajabu hawa TRA wao wanasubiri hela za mishahara tu ndio rahisi kwao kukusanya (wanaletewa wame kaa)!!

Hizi hela BVR Kit/Machines za Jaji Lubuva tiyar only within a day!
 
hebu angalieni mtu mzima makamu ya lowasa anavyoadhirika tangu asubuhi ameenda kucheza ngoma ya watoto, amesikia kutakuwa na sambusa na kababu za bure basi alikuwa wa kwanza kufika hata mswaki hajapiga vizuri uso umejikunja kwa uzee haha, huyu babu sijui atakuwa lini.
 
Subiri wenyewe watakuja kusema kiasi halisi. Lazima waje kujisifu
 
TRA mpo au mmelala usingizi. Kuna utata kuhusu idadi ya waliolipa 3M. Kuna ka harufu ka kukwepa kodi halali ya serikali hapo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…