nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Kama walishajua kuwa nabii hakubaliwi kwao si na Watanzania wakaanzishe white party Uganda ambako si kwao kama watakubalika? badala ya kulia lia....
Mbona Diamond anakubalika au nae ni mganda?
Mwisho wa siku uchapa kazi unalipa...fuatilia historia ya kina P Square ndio utajua nao walikuwa wananang'wa tu walipoanza mziki na hawakukata tamaa wala kujiliza...leo hii wanalipwa ku-attend events Nigeria ambako ni KWAO
Mbona Diamond anakubalika au nae ni mganda?
Mwisho wa siku uchapa kazi unalipa...fuatilia historia ya kina P Square ndio utajua nao walikuwa wananang'wa tu walipoanza mziki na hawakukata tamaa wala kujiliza...leo hii wanalipwa ku-attend events Nigeria ambako ni KWAO
Ila watanzania tuacheni unafki na kuwa wakweli wa nafsi. Ingetokea mtanzania kaandaa party ya aina hiyo, wangapi wangeenda? Mtu km Wema au Wolper wangeandaa mngeenda au mngeishia kuwapa majina mabaya? Mngewaita malaya na majina mengine mengi mabaya. Mfano mzuri Wema amekuwa anaandaa hizo party lakini hakuna hata mtu mmoja anaeenda sana sana mnaishia kumwita vigodoro, mara anapenda party mara ha act km mwanamke. Kuna muda alipanda jukwaani kumsaidia Diamond kucheza kwa kuwa alikatika viuno, Tanzania nzima mlimuandama, haki ipo wapi hapo? Mm naona watanzania bado washamba na wambea, wengi wameenda kwa kuwa Zari sio Mtanzania ili wapate kumuona, wengine km kumkomoa Wema ili kumuonyesha yy si mali kitu. Na ikumbukwe kuwa Zari anaandaa aina hiyo ya party kwao na hajawahi kupata hiyo response kwao, kwa kuwa anajua watanzania hawajielewi na hawathamini vya kwao. Km watu kujitahidi kimawazo basi tulitakiwa tumpongeze Madam Rita kwa kusaidia vipaji na Bongo star search kwani anasaidia watoto wetu, na wazazi walitakiwa wahudhurie kwa wingi kumpa support. Angalieni nchi za wenzenu walivyo wazalendo.Je, ni wazazi wangapi wameenda kumpa support au nyinyi jamii forum mlishawahi kuandika chochote kuhusu yy kuonyesha mnathamini mchango wa bongo star search. Msiwe wanafki na km watu walokosa fikra nia aibu jamani
