Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Kwa mujibu wa Redio Mbao,;

RIPORT YA ZARI ALL WHITE PARTY
Tiket za elfu hamsini zimenunuliwa 1200
1200×50,000/-

Za laki moja zimeuzwa 700
700×100,000/-

Za milioni moja zimeuzwa 300
300×1,000,000/-

Za milioni tatu zimeuzwa 200
200×3,000,000/-

Walionunua code za online ni zaidi ya laki mbili
3000×200,000
Jumla wamehudhulia watu zaid ya 3000 na complimentary zilitolewa 750
JUMLA
ZARI ALL WHITE PARTY IMEINGIZA
BILIONI MOJA NA MILIONI MIA NANE
Hii ni rough figure
1,800,000,000 per nite 🙆
 
unanikumbusha yale ya akina Jaja ...akina msuva, tegete , ngasa wakaonekana malafa tuu
 

good analysis
 
kwaupande wangu mimi naona hivi, awe amepata hiyo pesa au lah! cha kufurahisha ni kwamba diamond kajaribu kitu cha tofauti na muitikio wa watu umekuwa mkubwa sana licha ya kwamba kuna team mbili kubwa na zenye nguvu wanafanya kila liwezekanalo kumrudisha nyuma, binafsi mimi nimefarijika sana.
 
Hivi Billion 1.8 wanaijua hawa watu ??? Labda waniambie ni gross revenues.
 

Kama umesoma finance at masters level topic ya Mergers and Acquisitions.....utaelewa ki undani kwann Zari yupo karibu na diamond na influence ya mastaa wengine kwenye ile party nd why it was a success, hamna uchawi wowote akili tu.

Umeeleza vizuri na kimantiki sanaa ila not in a formal way. Pia utakubaliana na mm kwann Tz ni shamba la bibi and that akili ndogo tu yaweza hamisha milima.
 

Umenena mkuu!
 

Umeuliza ujinga mtupu...! Tunawachangia hawana shukrani kazi kututuc kwenye hizo media uswazi na social networks...." Majigambo na hawajui kufanya socia charitable km kuwajali wasiojiweza kazi kuwalipia dhamana wauza madawa ya kulevya... Wakafie mbali.
 
Umenena mkuu!

Ndio maana watu wanapigiwa kelele kila siku tafuteni maarifa na elimu kwa nguvu zote na utaona ni namna gani rahisi kuua tembo kwa ubua hapa bongo, hata kama mtu hujasoma kivile acquire finance and marketing advice kwa wasomi to ur advantage utajikuta hata kufikiri kwako kuna change. Ndio maana unakuta mchagga wa la darasa la saba anawaza kama Mengi unajiuliza anajuaje its cz ana hire wasomi wamshauri then anachanganya na akili zake.

Uki google material yapo kibao buree ni jinsi gani ya ku market and play in this show biz ila watu hawasomi wanajua ukawa, katiba mpya na udaku udaku only.....wanabaki kuuza sura insta na facebook. Wanaomiliki hiyo mitandao ya kijamii wanavuna ma billion ya dollar kila mwaka sabab ya ujinga na upumbavu wa wengi.
Zari ame merge na Diamond kuteka soko la entertainment East Africa...na watatusua sanaaa....Yule dada ana washauri wazuri.
 

Alikua analia daimond akata kumfuta machozi sasa zari akaona akifutwa machozi make up itafutika ndio maana akakata!sasa timu ushuzii wameitafsiriii vinginee
 

Well 👍👍👍
 

well said Mkuu, Umeongea Pointi hadi nimeogopa, Tanzania ni zaidi uijuavyo..
 
Hivi hile party inayofanyikaga bongo pale mlimani city inayoitwa Hollywood fresh mbona haiongelewagi.
 

Kazi kweli
 
Jamani twendeni mbele turudi na nyuma, kama kweli code zimeuzwa zaidi ya 200,000
Basi tukifanya 200,000*3000 tunapata 600,000,000/=
Mauzo ya jumla ya tiketi yakifika 600,000,000 nyingine tayari kabilioni hapo
Ukijumlisha na wadhamini

Tukumbuke pesa hii ni jumla ya mapato tu bila kutoa matumizi

Najaribu kufikiria na sitaona ajabu kama itakua imefika huko
 

ukisikia zari ameambulia millioni mia moja usishangae show ilisimamiwa na wazee wa fursa wakiongozwa na ruge.
 

Mkuu hesabu zako ulisomea wapi? Kwa hesabu ulizotoa hapo juu hata 500,000,000 hazifiki achilia mbali 1.8B
 
Alikua analia daimond akata kumfuta machozi sasa zari akaona akifutwa machozi make up itafutika ndio maana akakata!sasa timu ushuzii wameitafsiriii vinginee
Dinazarde....that is exactly what happened. Yaani if you are wearing make up utafutwaje jasho au machozi na mtaulo? Diamond obviously being a man he didnt know that. But hao team Wema wamebuni hadithi yao kwamba eti Zari alikua amemnunia Diamond. :becky: Talk about wishful thinking. Hivi wangejua hata kama Diamond ataachana na Zari sasa hivi kuna possibility kubwa sana he will not get back together with Wema. Especially now that he knows yeye na Zari are a big brand.
Hao akina Dougiemasta wange tafuta viti wakae chini tu, and watch Diamond work hard at his career and his relationship.

Halafu hao watu wanaomsema Zari eti ni mbaya na sio mzuri kama Wema. Hahahaha stupid and small minded. Ok, hata kama Wema ni mzuri kushinda Zari, so what? Diamond loves Zari. How many men actually marry or settle down with a woman based only on the woman's facial beauty? It has to be beauty and brains, and we all know which one Wema lacks.
 
Last edited by a moderator:

😘😘😘mwaaaaaaaaaaahhhhhhhhh
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…