Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Wakuu za mida tena,

Nimekuwa nikifutilia mijada mbali mbali kila kukucha kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mstakabali wa nchi yetu.ila kwa nataka leo nami niongelee busara za huyu jamaa anae jiita king of all social media LEMUTUZ nation.

Lemutuz nation maarufu kwa ku post picha za kujisifu na mabebez amekuwa akijiita mchambuzi wa siasa na kuuaminisha uma yeye ana fact na kupenda sana kusema yeye mawazo yake ndio uchunguzi na final say kwa kila jambo na sio opinions (mtazamo wake).

Lemutuz (William Malecella) mara kadhaa hujisifu na kubeza watu wengine alikuwa team membe mwanzon baadae akashindwa akakubali matokeo baada ya magufuri kushinda.

Leo natamani watu wajue busara zake humu ziko wapi?Na naona anazidiwa na mwigizaji wema sepetu kwa kile tunaita political tolerance maana yeye hapendi umpinge hoja yake aliyo weka instagram ukimpinga tu au ukitoa maoni yakuto mwambia unaakili kubwa ana kublock.

Mfano alitupia wiki iliyo pita kuhusu kushauli CHADEMA kuwa watanzania walitegemea ukombozi kutoka CHADEMA na watanzania waliamini sana CHADEMA kwa mabadiliko lakini wamemkaribisha lowassa wamewakosea watanzania.

Nikamjibu toka lini wewe Lemtuz ukawa mshauri wa CDM wakati tunajua wewe ni CCM damu kwanini unalialia wakati CCM hamtaki Lowassa hvyo tu et kaniblock.

Wadau je huyu hazidiwi uvumilivu na Wema Sepetu ambae kila sku anapigwa na kutukanwa na hamblock mtu?
 
Mzee wa degree 3,alieosha macho nje for more than 30yrs,Ana ofisi downtown,ana marafiki wenye utajiri wa ajabu,mzee wa lembebez
NB:in short jamaa hajielewi katika umri wake huo wa late 50's hatakiwi kua anafanya mambo kama hayo ya vitoto vi teenagers ,mayb aliruka stage!!!
 
Ni ukweli usiopingika kuwa followers wake ili uendelee kuwepo lazima umpe good comments, Mimi nilimpinga Jerry Slaa kuwa Umeya kashindwa kuboresha miundo mbinu ya Ukonga,anataka Ubunge,hata uweza,Lemutuz kani block! kabla sijamuelewa nilidhani ni intellectual na anapolitical torelance kumbe ni dakika moja mbele,Pia degree tatu zote undergraduate inaonyesha hakujua kitu anachopaswa kupresent thesis
 
Lemutuz kablock watu wengi..tatizo anapenda mtu wa kumsifia na hapendi umpe criticize...lemutuz ni mtu flani ambaye ana mtindio wa ubungo..na huwa hana msimamo..mwanzo alikuwa namkubali lowasa..badaaye ya majina ma5 kutoka akawa anamkubali membe..baada ya membe akarudi kwa magufuli..ni mtu flani wa kukurupuka..nashangaa hata wanao mfollow...maana hana habari zaidi ya kubaka habari ambazo huwa nyingi zake zina kuwa unconfirmed..hapo ndipo huwa anapenda asifiwe..tofauti na hivyo anakublock..je huyu ana akili-lemutuz..babu anayekua huku akili yake ikizidiwa na mtoto wa std7
 
Jamaa namkubali Sana kwa facts anazo toa sijajutia kumfollow sema mwandishi huna facts......nahisi utakuwa humfatilii vizuri huyu jamaa tafuta hata post zake humu acha unafiki ndugu
 
Naomba nichukue nafasi hii kutoa pole kwa followers wote wa lemutuz na wahanga wote waliokatwa na jamaa huyo mkiwa ktk harakati za kusimamia ukweli,muendelee na moyo huohuo ebwanae..japo huwa sipati picha nikifikiria mlitetegemea nini mlipotaka kuwa kati ya wanajamii wa lemutuz..?!
 
Inamana lemutuz anamadini sana kiasi hiki,japo anahusishwa na pumba nyingi ila bado fans wake wamemganda wakusubiria mpaka awablock..kweli lemutuz damdam na milele..
 
Le gadem degree 3 wit 30 years experience mbelez downtown manhatan, new york. Hahaha
 
itakuwa ww n mwanamke ane kupa kick kwenye page yake maana lemutuz hajielew utakuta anajisifia degree na wanawake wakati watu wana elimu kubwa kumzid na wako kimya

Kaka ongea kwa facts ndugu ukikuta anasema hvyo ujue kitu anajaribu kukufafanulia vizuri hawezi from no where akaanza kujisifu sema kwa vile na we ni mbongo sishangai lakini mm huwa sioni kosa lake anakublock coz wabongo wengi hatuwezi bishana bila kuingizia matusi ndo maana Ana kublock coz hujaakuita kwa page ake afu unafika unaanza kutukana
 

uko sahihi lkn binafsi huwa situkani mtu kabisa na huwa najaribu kujihoji nikikutusi itakuwa vipi ukinitus back. ila lemutuz hapendi umpinge mawazo yake mfano watu wengi wanalalama kuhusu huyu jamaa kublock watu. na huwez sema unajisifu kufungua page bila followers ukiwakosa maana ake hutafanya biashara au kama sio biashara huna haja ya kuweka kitu ili nani aone ??? social media are there for socialization
 
Inamana lemutuz anamadini sana kiasi hiki,japo anahusishwa na pumba nyingi ila bado fans wake wamemganda wakusubiria mpaka awablock..kweli lemutuz damdam na milele..

watu hawajamganda lemtuz ila wengi tunajaribu kuona page mbali mbali kupata tariifa mbali mbali. ukikuta upotoshaji ndo hapo unaweza toa maoni au ukikuta siku hyo mawazo mazur unaweza pata funzo pia. tatzo jamaa kakaa mbeleez au majuu lkn anaxidiwa ubunifu na uvumilivu hata na shilole au NUHU mziwanda maana wanapata matus na makilakitu lkn wanastahimili. huyu n mjinga alie ishii majuu bila kubadili fikra za utandawaz
 

Mkuu umesema vema huyu mzee hajielewiii kabisaaa
Hata kama anapesa..mambo anayofanya ni ya kitoto
 
Kwanza niseme kwanini mtu ulalamike kublockiwa na mtu kama huyu..wewe mpe ushauri wako akikublock poa maisha yanaenda.

Ila kubwa zaidi jamaa Matajiri wote wa Tanzania atakuambia marafiki zake...wacha tuendelee kuishi tuona vimbwaga vya huyu BABU tupate vya kuwahadithia wanetu.
 
Hajitambui huyu jamaa, umri umeende lakini akili yake haiendi, ktkt mwezi wa ramadhani alikua anaweka picha anakula misosi nika mwambia kaka mwezi huu acha kuweka picha za misosi, hata sisi ni wa dini tofauti lakini tunaheshimu dini za wenzetu, kani block.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…