DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,966
Aisee!!!! mnamponda le mbebez, atakujatu kuwajibu, muda huu bado anajiselfie na totoz.
Apologise upo?nakutafuta uje??na Pm zangu hujibu sijui kwanini!
Hivi anablog gani" huyu mzee ajielewi adi nimemu Unfollow IG kosa upuuzi wake wa ccm
Jirani, nimeipenda avatar yako.
Nashukuru ulimtoa yule nsyuka.
Haha :thumbup: ; Ile avatar ya kibabu ilikua inanikosesha bahati ya watt wazuri wa jf" et Nsyuka π
Natumai sasa umewapata hao watoto wazuriπ:sly:
Hahaha ππ bado kuwakaza tu jirani
Aisee
Naona kuwakaza ndo kauli mbiu yenu! Mnapenda sana iyo michezo jirani.All the best jiran.
Mpaka zifike page tisa..Aisee!!!! mnamponda le mbebez, atakujatu kuwajibu, muda huu bado anajiselfie na totoz.
Sasa mama nitasemaje si tuingie Ndani tuu?Au unaniogopa? Fungua huko kwako nije,nimegonga sana hufungui,Shule nimerudishwa Ada nadaiwa na mwl Nyeri ananidai Ubuyu wake alitukopesha...sasa Nifungulie ndani nikuelezeee Vizuri...Pm zangu hujibu Mbona?Mwanangu unanitafutaje???? Si umuulize baba ako ndio anataarifa zangu,
Sema unasemaje then kalale kesho shule.
Sasa mama nitasemaje si tuingie Ndani tuu?Au unaniogopa? Fungua huko kwako nije,nimegonga sana hufungui,Shule nimerudishwa Ada nadaiwa na mwl Nyeri ananidai Ubuyu wake alitukopesha...sasa Nifungulie ndani nikuelezeee Vizuri...Pm zangu hujibu Mbona?