Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
twende woteNenda akakuoe
Seth de Jesus Giovanni aka Bikira wa Kisukuma Kama Anavyofahamika kwenye ukurasa wa Instagram, Amefunguka mengi kuhusu umaarufu wake alionae mitandaoni, Ugomvi alionao na Super staa Le Mutuz, pamoja na Sheria ya Mitandaoni.
Tusiandikie mate, mahojiano haya hapa chini;
Chanzo: Bongo Fuse
Le mbebezzzz wakareee le super mutindi le baharia le bilioneaaaz Le super blogaaaz Le gademu.I' m humbled u know hahahahhhhaahha Le mutuz nation
Amesahau mama yake pia alikuwa mchepuko wa mzee wa MalecelaLE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK:- Morning guys bado nipo na somo la michepukoz Mabebezz mnaumiza wake za watu mnajishusha thamani and then wengine mpaka mnazaa nao sad unajua kabisa Mwanaume ana mke wake na watoto na wewe unaenda unajitundika Mimba na Mwanaume yule yule now ghafla kafa mnaishia kufa gademu wote mazafantazzz ndio wewe na watoto wako wote mnakufa kwa sababu it is over....wewe akili hamna nasema hata uzuri huna maana ungekuwa mzuri ungekuwa na Mume wako Mungu gani asiye na akili sawa sawa aliyekuumba kuja kuwa mchepuko?...unabatiza mtoto Bwana hayupo au ukipatwa na tatizo.bwana hayupo unaona sawa tu mazafantazzz maana ubongo wako umekufa gademu dead macho ni dead kipofu halafu utayakuta na marafiki wajiinga wajinga kama gademu wenyewe I mean wewe mtu umeolewa na familia yako rafiki mchepuko wa mtu wa nini? Kwa sababu ana pesa za makombo anazopewa na Mume wa mtu anazoibia familia yake anazowapiga panga mke na watoto wake...guys acheni huu mchezo yaani hapa mjini imekuwa ni kama kawaida Mume wa mtu ni fashion kwa sababu ana pesa ndio maana hata waseme vipi Nuhu hawezi kumuacha Shilole maana ni mbebezz maarufu wa pekee asiye na mchepukoz hahaha..Mwanamke mzuri nenda shule utafute maisha yako mwenyewe sio kusubiri waume za watu pigana na maisha mnataka mteremko na kuja kulingishia Instagram birthday party Serena na Kempisk kumbe nothing but mchepukoz tu kazi huna hivyo viduka vya nguo wanavyowafungulieni na safari za China hamna lolote mnajidanganya sana mnawaona wenzenu wanavyoaibika mwishoni lakini hamjifunzi STOP IT GUYS MNAUMIZA WAKE ZAO NA WATOTO WAO! JAMANI ASUBUHI NJEMA SANA! - le Mutuz
Amesahau mama yake pia alikuwa mchepuko wa mzee wa Malecela
Ok guys get this straight huwezi kwenda kwa Mungu ukanisingizia mimi kuhusu dhambi zako mimi I am gademu Single so it is ok Biblia inakataza UZINZI ambao maana yake ni kuwa kwenye ndoa na kuchepuka na ndio maana mimi sigusi mke wa mtu NEVER...I mean mnaotaka kunibebesha Dhambi zenu mshindwe mazafantazzz mimi nikushauri wewe mtumzima na akili zako unayejua kutafuta mkate wako wa kila siku eti nianze kukushauri ubaya wa kuwa na mchepuko are you kidding me or what mbele ya Mungu kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe I got absolutely nothing to do with your gademu problems cause I got tons of my Own problems besides mimi mwenyewe nina dhambi zangu za kujibu kwa Mungu so unafikiri mimi ni mjinga wa kufikiri kwamba nitaenda kwa Mungu kujitetea eti rafiki yangu hakunishauri kutokuwa na gademu michepuko ndio maana nikafanya dhambi hahahah WAFWA....tena nikupe siri Mungu ukimwambia ni fulani sio mimi ndio unajiongezea adhabu mara mbili kumbuka huu moto tunaoutumia hapa Duniani huwa umepozwa kwenye maji mara gademu 7 hahahaha Imagine Original moto uliowekewa wenye dhambi ambao haujapozwa kabisa ukoje?...I mean kama vipi badilika wachana na michepuko ni dhambi yako sio ya rafiki yako wala yangu ni gademu yako mazafantazzz back off mbele ya Mungu kila mtu na dhambi zake....so usiniambie maneno ya gademu ushauri mimi dhambi zangu ni zangu 100% my full gademu responsibility now take your responsibility mazafantazzz!!! - le Mutuz