Le Mutuz: Hayati Magufuli alikuwa rafiki yangu binafsi

Unavyovingelea hivyo vimejengwa zaia ya miaka 100 .. Magufuli kaafanya vyote ndani ya miaka 6 tu.

Kichwa chako kimejaaa chuki.chuki.chuki. hauna shukrani.

Binafsi nilimwelewa sana JPM.

Ndio rais pekee aliyefanya hii nchi ikatulia...tukaanza kusafiri usiku kucha. Huduma zikawa zinatolewa kwa urahisi.

Sasa hivi walamba asali walamba vibaya mno........ barabara zinazomaliziwa sasa hivi ni kituko..mfano..mwendo kasi wa mbagala, ilala..na daraja la keko..nk...mamaaaa.. Mungu mfufue Magufuli.
Vyote vipi? SGR ilikua ikamilike kwenda Moro kabla ya kifo chake imekamilika? Achilia mbali isaka?

Stigglers gorge?

Mradi mgani mkubwa wa Magufuli unaweza utambia hapa?

Kikwete 10 years alipandisha mishahara kila mwaka, barabara za lami zaidi ya 2500KMs, mashule, hospitali n.k n.k

Hizo story kawapigie kina mama wenzio kwenye vijiwe vya mchicha!
 
Duh..wewe utakuwa unalamba asali sio u=bure.

Aliyofanya JPM ndani ya miaka 6 ni mara tano ya JPM kwa miaka yake 10.

Hujaona Ndege za Airt Tanzania? Hujaona Madaraja yote (flyovers) hapo Dar. Umeamua ktunga data za uongo ndugu yangu.. eti 2500KMs acha uongo.

JPM alishashusha kodi mara mbili na watu wakalamba mpunga mrefu mno.

Miradi ya Maji alikamimisha mingi mno.. Dar Maji yalikuwa bwelele..kikwete wako alituacha tukinunua maji dumu moja la lt20 kwa TZS800.

Kwenye issue ya Maendeleo...mlinganisha JPM na wazungu lamba lakini sio hawa marais weusi.
 
Free education you know[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Me mwenyewe magu alikua anakuja sana kigamboni tunakaa nae bichi moja ya jeshi tunapiga sana stori.
Na hata alipotaka kujenga tanzanite bridge nilimpa idea ya kuweka ule mwenge juu pale.

Imeisha hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa watoto wa mjini si watajua kuwa alikuwa akiwasnitch? Ajifunze kunyamaza huyu babu
 
Vyote vipi? SGR ilikua ikamilike kwenda Moro kabla ya kifo chake imekamilika? Achilia mbali isaka?

Stigglers gorge?

Mradi mgani mkubwa wa Magufuli unaweza utambia hapa?

Kikwete 10 years alipandisha mishahara kila mwaka, barabara za lami zaidi ya 2500KMs, mashule, hospitali n.k n.k

Hizo story kawapigie kina mama wenzio kwenye vijiwe vya mchicha!
Upandishwaji mishahara wa kuongezewa sh 3000 na huo utasema upandishwaji au danganya toto🤥
 
Duh..wewe utakuwa unalamba asali sio u=bure.

Aliyofanya JPM ndani ya miaka 6 ni mara tano ya JPM kwa miaka yake 10.

Hujaona Ndege za Airt Tanzania? Hujaona Madaraja yote (flyovers) hapo Dar. Umeamua ktunga data za uongo ndugu yangu.. eti 2500KMs acha uongo.

JPM alishashusha kodi mara mbili na watu wakalamba mpunga mrefu mno.

Miradi ya Maji alikamimisha mingi mno.. Dar Maji yalikuwa bwelele..kikwete wako alituacha tukinunua maji dumu moja la lt20 kwa TZS800.

Kwenye issue ya Maendeleo...mlinganisha JPM na wazungu lamba lakini sio hawa marais weusi.
Nyerere alivyoondoka alicha ndege ngapi?
 
..Ni kweli ametendewa wema na Magufuli.

..hiyo haimaanisha hakuna waliotendewa unyama na Magufuli.

..waliotendewa wema wana haki ya kumkumbuka na kumlilia Magufuli.

..waliodhulumiwa na kuteswa jamii ina wajibu wa kuwafariji kwa kuwasikiliza na serikali kuwafidia.
 
..urafiki wa Magufuli na Le Mutus ulianza kabla au baada ya Dr.Mwele Malecela kufukuzwa kazi?
 
Siku moja nipo Mikocheni nikapigiwa simu na mtu mmoja anaongea kigogo, akaniambia sogea pembeni hapo kuna kelele, akaniuliza unajua unaongea na nani, nikasema mpaka hapa nishaelewa wewe ni Rais Magufuli, akaniambia uko wapi nikamwambia Mikocheni akasema kaa hapo hapo namwagiza mtu aje akuchukue,mara paa huyu hapa Magufuli,tukaongea pale kama masaa mawili,hadi mwisho nikaelewa nia njema aliyokuwa nayo Rais Magufuli kwa Watanzania,hakuwa na nia ya kuiba, mwisho, akanipa zake zote za simu za binafsi na za msaidizi wake, akaniambia hata saa nane usiku nipigie ukinikosa piga namba ya msaidizi wangu.

Siku moja niliandika makala moja nzito kupinga kikokotoo kipya, ikamfikia akaisoma akanipigia simu, nikaenda kumuona, nikamwambia Mzee wasaidizi wako wamekudanganya kwenye suala hili la kikokotoo kipya,kwa maana wastaafu tegemeo lao lipo kwenye mafao sasa yanapochezewa wanakuwa hawana pa kwenda, wasaidizi wako wanakufanya ugombane na Wananchi wako ambao daima wana imani na wewe,kwa hakika alinisikiliza na akakifuta kikokotoo kipya, nilifundishwa na Baba yangu, kiongozi anapokosea basi tafuta maneno ya busara kumweleza ikiwamo kumwambia wasaidizi wako wamekudanganya,hata unajua kabisa hili suala ni yeye kakosea.

Nilipokuwa naumwa nilimwambia akanisaidia, nilipelekwa hospital ya Jakaya, Mama yake Rais Magufuli alikuwa amelazwa pale akahamishiwa Chato, Magufuli akawaambia madaktari wanipe mimi ile suit aliyokuwa anakaa Mama yake Magufuli pale hospital ya Jakaya, nilikaa miezi miwili baadae Magufuli na rafiki yangu mmoja mfanyabiashara walinisaidia kwenda Afrika kusini kwa matibabu zaidi, nilipopata nafuu nikarudi bongo, tarehe 22 February 2021 nilikutana na Rais Magufuli uso kwa uso nikamwambia nataka kwenda India kwa matibabu, akanipa kiasi fulani cha pesa akaniambia nikifika India kama hela haijatosha nimpigie simu, kwa hakika Magufuli aliokoa maisha yangu, namshukuru sana.

Tarehe niliyosikia amekufa, it was my difficult day, mpaka leo siamini kama Magufuli amekufa, kuna watu wawili Mzee Mengi na Magufuli, siamini kama kweli wamekufa, sijawahi kwenda kwenye makaburi yao kwa sababu naogopa nikienda kwenye makaburi yao nitaamini kweli wamekufa, Magufuli alikuwa na nia njema kwa Watanzania,ndio kuna sehemu alicheza faulo lakini kwa maslahi ya Wananchi na Watanzania kwa ujumla,tunapotaka kumuhukumu mtu,tuangalie kwanza nia yake na dhamira yake, seriously , Magufuli hakuwa na nia ya kuiba katika kila jambo alilofanya, I live my American spirit, hii ni interview yangu ya kwanza baada ya miaka mitatu niliyokuwa nimepumzika.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078853

-Bachelor of Business Administration in International Business

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the effect of Micro-Financing on Poverty Reductio

-Assessment on the effect of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Siku moja niliandika makala moja nzito kupinga kikokotoo kipya, ikamfikia akaisoma akanipigia simu, nikaenda kumuona, nikamwambia Mzee wasaidizi wako wamekudanganya kwenye suala hili la kikokotoo kipya,kwa maana wastaafu tegemeo lao lipo kwenye mafao sasa yanapochezewa wanakuwa hawana pa kwenda, wasaidizi wako wanakufanya ugombane na Wananchi wako ambao daima wana imani na wewe,kwa hakika alinisikiliza na akakifuta kikokotoo kipya.
👆👆👆Kaka Tafadhali andika Tena Makala Kuhusu Hiki Kikokotooo. Wamesubiri Amafariki Wamekileta. Wazee wa hii Nchi Wastaafu Awamu hii watakufa Kwa Stress. Ona wanapewa Kikokotooo ilihali hawakuwahi kuongozwa Mishahara miaka 6.
 
Le mutuz ni very genuine person...binafsi naamini Le mutuz Yuko kama alivyo hate him or love him ..

Haya ya Magufuli kaongea ukweli wake kabisa alivyomuona Magufuli
 
Ni mnafiki mbaya sana. Anajivunia umbo lake na sauti yake (therefore hadi kujiita Le Mutuz). Nilisoma PMs zake enzi zile za forum ya BCSTimes baada ya kudukuliwa na Condor Dragon nikachukua fursa ya kuwa admin wa forum ya BCSTimes. Alikuwa anamsema Mzee Mwanakijiji kwa jamaa mmoja aliyekuwa anajiita Brutus eti Mzee Mwanakijiji ana sauti ya kike kwenye podcasts zake za enzi zile 2007-2008. Kwa wasiyoelewa, ikumbukwe, forum ya BCSTimes.com ndiyo mama au inspiration ya JamboForums na badaye JF.
 
Mi naamini maana magufuli alikuwa mtu wa busy for nothing! Alilala usiku wa manane kwaajili ya petty issues kama kusoma faragha za watu, umbea na uchimvi.

Alikua na muda mwingi wa kuchezea.
Umemuelezea vizuri sana huyu dhalim mwendazake
 
[QUOTE="JF Member, post: 44343003, member: 264177"

Hakujawahi kuwa na crisis ya maji wala umeme kwa kiasi hiki.

.[/QUOTE]Kwani dhalim alikuwa na karama ya kutengeneza mvua?
 
Back
Top Bottom