Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Hapana mkuu nashangaa muanzishaji wa thread alivyopotelea kimyakimya tu baada ya watu kujadili sana kwenye page nyingi za thread yake, zimepita siku kadhaa now tokea copy & paste ya mwisho aliyoileta
Acha unafk nimepotea nimeenda wapi?
 
Ila zinavutia endapo utaweka kando vituko vyake vyote.
Ni mpiganaji flani hv,toka kuendesha truck lenye 18 tyres mpaka kuja kupush Le Super Noahz..u know!
mbwembwe nyingi "Truck lenye tairi 18".... nilikubali kuvunja sheria[emoji23][emoji23][emoji23]. le KOKOBANGA na KOKOBANGA!!!! ila namkubali.
 
kweli kabisa URITHI siyo kipaumbele kwake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
na huu ndio ukweli na le mutuz amekubali kukomaa licha ya vizingiti vingi ndani ya familia yao! huu ni ujasiri wa ajabu mtoto wa waziri mkuu kuweka life yake hadharani ambayo ina mengi ya kujifunza
inaonyesha hata mzee malecela hujawahi
kumsuport vya kutosha (tungeona)
 
Aisee
Jamaa karudi juzi tu toka US na dola 500.
Kawapita kila kitu na wanamuita omba omba .
 
Mimi nina kaexposure flani vilevile, Le Mutuz atasema sehemu ya ukweli lakini si ukweli wote, ila kiukweli kabisa child support inaweza kuwa ni moja ya sababu ya yeye kukimbia Marekani.

Kwa sababu kazi aliyokuwa anafanya Le Mutuz kwa level za Watanzania janjajanja alikuwa na kazi nzuri sana yenye mshahara mzuri sana huu ndio ukweli ambao watu wote ambao hawajatembeatembea ningependa waujuwe kama walikuwa hawaujui ukweli huu.

Ila mchizi nadhani mtu ambaye alipaswa kuwa mfariji wake mkuu lakini kamzinguwa ni mke wake Neema Ngwilulupi, ila hapa ni pagumu sana, kwenye ndoa kumjuwa nani tatizo ni lazima ukae na wote wawili uwasikilize ndio unaweza kujuwa nani ni tatizo.

Huyu mimi huwa simzimii namuona mpumbavu kupita maelezo, huwa anadiriki kumtukana Freeman Mbowe kisa siasa uchwara wakati ndio age mate wake na washkaji zake, wakati kwenye siasa za Mbowe sijawahi kumuona akifanya personal attacks hasa kwa washkaji, huyu jamaa ni wa kumsamehe tu sometimes ana tatizo la kisaikolojia.
 
haya sema ukweli unaojua wewe!
 
Alikwenda Marekani kwa Meli!
Kafafanua border lote alikopita.
Ila alishafika before nafkiri akiwa ndani ya meli .
Maana kasema alikua na
Entry visa so ni rahisi kwenda tena na tena.
 
Aiseee
 
Le Mutuz ujana maji ya moto[emoji38][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wewe ni jamii ya mange tu, kumbe mmetumwa mumtukane Le mutuz kwa sababu ya mali ya urithi?? Nimemuelewa sana huyu jamaa ni hustler yuko vizuri, hayo mengine ni mambo binafsi maana hakuna binadamu perfect kila mmoja ana mapungufu yake. Big up le mutuz hii vita ni ya kifamilia zaidi mange ni kidaraja tu kinatumiwa kumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…