Sorry Chief kama nimekukwaza,,mimi hata sijui kama ana blog,coz mara nyingi taarifa zake huwa nazisoma hapa hapa JF na ndo nikapata kufahamu kumbe jamaa ni mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu
Binafsi namuona mpambanaji kwa sababu ni watoto wachache sana wa viongozi wakuu Serikalini,na hasa Serikali za nchi zetu za Kiafrika,,kutafuta maisha kwa staili ngumu kama alivyofanya mchizi,jamaa anasema alifanya vibarua USA vikiwemo vya kudeki kumbi za sinema ili apate ada ya kulipia Chuo,,mimi sijui ni watoto wa mawaziri wakuu wangapi toka Shitholes Countries wanaweza fanya hayo mambo
Najua inawezekana kwenda nje hakupata ugumu sana kama wengine walivyopata,,lakini kwa nafasi ya Mzee wake naona bado kulikuwa na changamoto ambazo zilitakiwa kuwapata vijana wa mitaani na si yeye
Anyway,,ngoja tuendelee kupata uhondo wa simulizi ya hii stori