Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Story yake haihusu mshahara we kenge mbona mgumu kuelewa
 
Wtf with this stupid,
kasome maandishi yake huko nyuma kasema alifanya field baadae akawa promoted so ni km kuna muda mdogo aliajiriwa akapiga kazi kama kibarua,kuna emergency anatakiwa cover up wa haraka.
mi niliajiriwa motel agip enzi hizo sijui kama hata unajua ilipo,sababu ni yule aliyekuwa kwenye station nnayojifunzia aliumia mguu,
so solution ikawa badala ya kuitisha interview mpeni huyo bwa mdogo kazi maana ameonekana anaimudu
nikaaachiwa kazi kilaini,aliporudi jamaa baa ya muda mrefu nikatupwa banquet.
ndio pale le mutuz akashauriwa ateme kazi maana ni ya kifala na akatema kweli.
 
Acha ujuaji wa google, apply hiyo kazi wewe uchukue hayo mahela. Mtu anaongelea ubaharia miaka ya 80s wewe unaleta google search za 2017
Mazuzu wapo wengi sn,,, unajuwa kama SEAFARER never dies? kama yeye alikuwa 2nd engineer,,, kwnn now asirudi melini? na vyeti anavyo? Pili story yake imejaa uongo... Na mm ninaongea na ww ni SEAFERAR.. Najuwa vng vya meli,, na Nina story ya really zaidi ya huyo mzee mwongo.... Na kama alipanda meli miaka ya 80 bado alikuwa anapata pesa nzr sn kwa rank yake ya 2nd engineer.. Kwnn akalale nje marekani,,, why atoke melini bila dollars? Akawe mbeba box mitaani? jibu ni hakuwa melini.... Kuna watu nawajuwa ni SEAFERARS Tangia miaka hyo na bado SEAFERARS hadi now,, tena ni wazee kuliko LEMUTUZ.. huyo hakuwahi kuwa SEAFERAR,,, na hawezi kuwa
 
Babu mbona una ,shupuria ,Chuna mzee ..kama uongo ama ukweli ni juu yake mzee ...acha wenge ...chaliii!!
 
Hivi rank ya 2rd engineer ni ya kifala? unajuwa kama ni mtu mkubwa sn melini? Tena ni incharg.. Iweje awe kibarua?. ukiwa melini sea time unafanya ukiwa OS.... endeleeni kudanganywa.... Siku zote ukitaka kujifunza jambo liwe really,, likiwa na uongo uta fail.... Hivi unadhani meli unapanda tu kama unavyopanda BAISKELI?
 
piga kimya mzee si hata kukaa kimya nako kujifunza mzee!! Usijifanye wajua sana mzee ukahisi kila mtu humu zuzu !! Watu wamepiga kmya wanajifunza ...
Labda wewe na mazuzu wenzako mnajifunza jinsi ya kupiga porojo na fix na si kwa mtu yeyote makini makini kutetea longolongo hizi.
 
Izo meli unaongelea wenzio tunapanda Cruise to carribean,malaga and barbados nothn new .
Unajiona mjanja kufanya kazi humo maybe hata meli huijui
 
Story yake haihusu mshahara we kenge mbona mgumu kuelewa
Kenge mama yako mzazi, ni kwa nini unalazimisha watu kusikiliza hizi porojo zisizo na ithibati?

Jitu limekaa tu linalishwa jabari bila kuhoji, sioni hata wa kuuliza ni kwa nini huyo cha uongo alipitia Canada?

By that time hakukuwa na tatizo mtu aliyepo Canada kwenda USA kwahiyo huyu chauongo alifika na kukaa Canada kwanza na kuvuka weekend kuingia USA na kuzamia wakati watu wa Viza Nation tuliruhusiwa kuingia USA kutokea Canada bila non migration viza.

Halafu anatokoa khanisi mmoja anadhani kila mtu anasikiliza porojo za Willy na kwamba sisi wenyewe huwa hatusafiri.
 
Kumbe hapa hamjifunzi.... Mnapenda kudanganywa? Haya endeleeni kusikiliza porojo... From now on sijibu Quiet za yeyote

Aisee
Embu tupe basi story yako ya kweli basi maana naona hasira zimekupanda.. kama vile unaotaka wakubaliane nawe wanataka kufanya hayo unajitahidi kuelezea.

Na hapo kwa "quiet" wamaanisha nini haswa?
 
[emoji23] [emoji23] mama ukitaka kufaidi ubuyu kule usipinge chochote[emoji23]wee soma tuuu unless otherwise unakula kufuli,nlishalamba kufuli kwa dada wa taifa kisa nmeweka emoji ya [emoji57] [emoji57] hahaha sijui ilikuaje nikafunguliwa
Dada wa taifa ndo yupi huyo? may i ask..
 
Alikuwa anafumuliwa marinda tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…