Ni mwongo,, sababu huwezi kuwa assistant engineer kwa miaka 3,UKAWA KIBARUA,, , Kuna kitu melini wanaita SEA TIME,,, Ndy practical,,, yaani ukitoka chuoni level ya OS (OS) means ORDINARY SEAMAN,, unakuwa huja specialized ni position gani melini utafanya kazi... unakwenda sea time,, ili upate uzoefu,, ukirudi unakwenda tena chuoni,,, unasoma Kuna kitu wanaita ratings .. either ya DECK or engine,hapo Ndy unachaguwa unataka unafanya kazi sehem gani melini,, unasoma EITHER DECK,, OR ENGINE.. ,ukimaliza unakuwa AB means ABLE SEAMAN.. .. wa deck au engine,,, , sasa hapo KWENYE engine Ndy unakwenda NGAZI KWA NGAZI,,, OFICCER,,,engineer,, halafu,, 3rd engineer ,, 2nd engineer ,,, then chief engineer,,, na huko KWENYE deck AB,, OFICCER,, then chief officer,, then CAPTAIN..Nina maana huwezi UKAWA ENGINEER tena assistant (2rd engineer,,) , , fundi mkuu wa meli msaidizi wake,, huwezi kuwa unafanya practical for 3 years,,, ,, ni uongo,, sea time ni 6 months tu....au miezi 9,, Tena ukiwa sio wa rank ya OS.. ukiitwa OFICCER unakuwa USHAPITA KOTE KTK SEA TIME NA MENGINEYO.. NINA maana ili uwe OFICCER unatakiwa uwe na 3 years experience tena meli kubwa,,, Ndy unaweza kusoma officer wa meli,,, sasa yeye LEMUTUZ alikuwa zaidi ya OFICCER melini,, hawezi kuwa ni KIBARUA,, SI KWL... huwezi kuwa 2rd engineer Uwe KIBARUA,, means unajifunza,, sio kwl... Melini ni kama jeshini,, watu wanaheshimiana kwa CHEO... Huyo mzee mwongo,,,na kujifunza ni KWENYE OS...