Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Hili jamaa ni lipambanaji haswaaaa. Tukiachilia mbali chuki binafsi na porojo, kwa watu tuliowahi kuishi maisha ya ughaibuni (Kazi na Shule) huyu jamaa ni mmoja wa wapambanaji wa kiwango cha SGR.

Wito wangu kwa TEAM B- 13 na King Kong III
Leteni hii stori hii stori katika mtiririko na spidi nzuri. Ili iweze kuwa MSUKUMO (Inspiration) kwa Vijana wengi wa Kitanzania wanaoshinda kwenye mabanda ya kubeti na kulialia "vyuma vimekaza".
 

Haina tatizo leo ameishia hapo,akileta ya 10 itakuwa Updated hapa....Yap Jamaa ni Fighter,Hes humbled you know.
 
Sio 56 nadhani mwaka huu anagonga 60 kama sikosei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…