Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Ipi hiyo??Mkuu umetoa avatar yako ile tamutamu,dah?[emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipi hiyo??Mkuu umetoa avatar yako ile tamutamu,dah?[emoji4]
Hahahahahahahahahaha duuuuh!!!
Nmefuta tyr mkuu. Respect to uHahahahahahahahahaha duuuuh!!!
Umetisha sanaaaa.
Nimeamua kujipumzisha.
Sema nini?? ifute basi itakaa mbele ya huu uzi.
Shukran sana ndugu yangu.Nmefuta tyr mkuu. Respect to u
Bad for him...Matola yuko toka JF inaanzishwa 2007 huko
AnytimeShukran sana ndugu yangu.
Katika story yoote haya ndio unayowaza ?? Poor you na akili yako ya ki shithole.mabaharia nasikia wana tabia mbaya za kulana tigo!
Naked truth[emoji119][emoji119][emoji119]Kuna watu wakiweka historia zao za kweli humu, zile za kuzaliwa uswahilini mbuzi kalamba reli, mama muuza gongo baba mpigisha kolokolo. Wame-hustle kichizi mpaka leo respect wanaburuza life, huyu Le Mutuz cha mtoto tu. Huyu kakua anakula mayai ya bure Ikulu ataongea nini, wakati watu wamezaliwa uswahilini mayai anasa.
Umeongea bonge la point..Watu km Lemutuz huwa waishi miaka mingi na yenye kwakua wanaishi maisha yasiyohitaji stress. Kwa wengine itawasumbua lkn ni kwaajiri yake na afya yake. Siwezi kuishi km yeye lkn ni mtu anae take things easy af anasonga. Tunaishia kupata stress, magonjwa hatimae vilema na pengine vifo kutokana na kufikiria kuhusu watu wengine mf. familia, mke, watoto, majirani, marafiki na hata jamii zinazo tuzunguka ndo sababu kubwa znazofanya hata wengine kuchanganyikiwa au kunywa sumu. Wanaweza wakawa wanakusema au wewe mwenyewe ukawa unajistukia kuwa labda wananionaje, au wananidharau n.k. Unaweza ona wenzio uliosoma nao wapo mbali kimaisha ww bado, wengine ni Mawaziri lkn ww hata uwenyekiti wa s/mtaa huna, wengine wamejenga wewe huna hata sehemu ya kulima bustani. Tunapaswa tuishi kwa imani kuwa Mungu ana wkt wake na kumshukuru kwa anachokupa kwa wkt huo na kufurahi kwakuwa afya yako bado ni njema, burudika, cheza Mziki, lala usingiz mnoono huku ukiendelea kumkumbusha Mungu kitu ulichokua unamuomba maishani mwako.
Umeongea bonge la point..
Na wakati ukimuomba mungu usisahau kufanya kazi kwa bidii
Ujue nataman kujua historia yake zaid ya hii anayoitoa yeye kwan anasimulia upande mmoja tu wa kuhustle kwakoWanamlipa sh. Ngapi sisi ndio tunamjua huyu ndio mana tunasema hivi Katelekeza Familia yake New york kwa rafiki yake halafu useme analipwa sijui nin nin upambanaji kukimbia familia
Ujue nataman kujua historia yake zaid ya hii anayoitoa yeye kwan anasimulia upande mmoja tu wa kuhustle kwako
Nipe historia ake kidogo nahic kuna vitu unafaham zaid ya ivi anavosimulia
familia ya nn ..hata Albert Einstein hakuwa nayo ..kinacho muhukumu NI matumizi yake ya akiliNasubiri kujua kama ana familia
[emoji119]Nikupe historia yake we kama nani sina mda mchafu wa kutoa history ya mtu