Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Watu km Lemutuz huwa waishi miaka mingi na yenye kwakua wanaishi maisha yasiyohitaji stress. Kwa wengine itawasumbua lkn ni kwaajiri yake na afya yake. Siwezi kuishi km yeye lkn ni mtu anae take things easy af anasonga. Tunaishia kupata stress, magonjwa hatimae vilema na pengine vifo kutokana na kufikiria kuhusu watu wengine mf. familia, mke, watoto, majirani, marafiki na hata jamii zinazo tuzunguka ndo sababu kubwa znazofanya hata wengine kuchanganyikiwa au kunywa sumu. Wanaweza wakawa wanakusema au wewe mwenyewe ukawa unajistukia kuwa labda wananionaje, au wananidharau n.k. Unaweza ona wenzio uliosoma nao wapo mbali kimaisha ww bado, wengine ni Mawaziri lkn ww hata uwenyekiti wa s/mtaa huna, wengine wamejenga wewe huna hata sehemu ya kulima bustani. Tunapaswa tuishi kwa imani kuwa Mungu ana wkt wake na kumshukuru kwa anachokupa kwa wkt huo na kufurahi kwakuwa afya yako bado ni njema, burudika, cheza Mziki, lala usingiz mnoono huku ukiendelea kumkumbusha Mungu kitu ulichokua unamuomba maishani mwako.
 
Kuna watu wakiweka historia zao za kweli humu, zile za kuzaliwa uswahilini mbuzi kalamba reli, mama muuza gongo baba mpigisha kolokolo. Wame-hustle kichizi mpaka leo respect wanaburuza life, huyu Le Mutuz cha mtoto tu. Huyu kakua anakula mayai ya bure Ikulu ataongea nini, wakati watu wamezaliwa uswahilini mayai anasa.
Naked truth[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Watu km Lemutuz huwa waishi miaka mingi na yenye kwakua wanaishi maisha yasiyohitaji stress. Kwa wengine itawasumbua lkn ni kwaajiri yake na afya yake. Siwezi kuishi km yeye lkn ni mtu anae take things easy af anasonga. Tunaishia kupata stress, magonjwa hatimae vilema na pengine vifo kutokana na kufikiria kuhusu watu wengine mf. familia, mke, watoto, majirani, marafiki na hata jamii zinazo tuzunguka ndo sababu kubwa znazofanya hata wengine kuchanganyikiwa au kunywa sumu. Wanaweza wakawa wanakusema au wewe mwenyewe ukawa unajistukia kuwa labda wananionaje, au wananidharau n.k. Unaweza ona wenzio uliosoma nao wapo mbali kimaisha ww bado, wengine ni Mawaziri lkn ww hata uwenyekiti wa s/mtaa huna, wengine wamejenga wewe huna hata sehemu ya kulima bustani. Tunapaswa tuishi kwa imani kuwa Mungu ana wkt wake na kumshukuru kwa anachokupa kwa wkt huo na kufurahi kwakuwa afya yako bado ni njema, burudika, cheza Mziki, lala usingiz mnoono huku ukiendelea kumkumbusha Mungu kitu ulichokua unamuomba maishani mwako.
Umeongea bonge la point..
Na wakati ukimuomba mungu usisahau kufanya kazi kwa bidii
 
Yes, nilichukulia kwa wanaofanya kaz kwa bidii maana sio wote wachapakazi wanatoka kimaisha na sio wote wanaotoka ni kimaisha ni wachapa kazi. Hata Lemutuz kwa alivotusimulia haionyeshi km ni mvivu, illa ktk vita kunawkt mipango inafail inabidi ujaribu mbinu ingine. Lkn yote ni Maisha.
Umeongea bonge la point..
Na wakati ukimuomba mungu usisahau kufanya kazi kwa bidii
 
Wanamlipa sh. Ngapi sisi ndio tunamjua huyu ndio mana tunasema hivi Katelekeza Familia yake New york kwa rafiki yake halafu useme analipwa sijui nin nin upambanaji kukimbia familia
Ujue nataman kujua historia yake zaid ya hii anayoitoa yeye kwan anasimulia upande mmoja tu wa kuhustle kwako

Nipe historia ake kidogo nahic kuna vitu unafaham zaid ya ivi anavosimulia
 
Back
Top Bottom