Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Mshahara wa 2 rd engineer KWENYE meli...
0d2cc63f80eb71ef85dedf3135c84640.jpg
878eb0475565d193963df2210cb9fa86.jpg
21226f41d216e0f22cf3a151d2de7b4b.jpg
hizo ni nafasi za kazi zinatangazwa na Mshahara wake..
 
PART 16:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"


so nikajifunza kwamba the Niggazz ni binadam ambaye amezaliwa na Wazazi wote 2 wenye asili ya Utumwa huwa ni Watu wasiopenda kazi wala kujishughulisha na anything Zaidi ya kulala na kusubiri Social Security Checks kila ljumaa na wanaishi bure kwenye nyumba za Serikali maalum kwa ajili yao na Wazungu ni wajanja ili kuhakikisha Wanarudisha pesa Zao Wanazowalipa



Wamewawekea Bahati Nasibu au "LOTTO" kila ljumaa na bei rahisi ya Pombe Kali na Sigara ni guarantee pesa zote za Social Security kurudi Serikalini by Jumatatu ...kwa mara ya kwanza nikajifunza jinsi Wazungu walivyo wabaya sana cause it was very simple and clear to me that walipowachukua Utumwa Weusi


Africa hawakuwa na Plan B ya siku moja wangekuja kuwaachia Huru na infact hata kuwa kwao huru walilazimishwa na UN tu lakini hawakutaka so Wazungu wakaamua kuwapa Uhuru wa Uongo wakati Kisaikolojia bado walikuwa wanawatawala kwa mfano Wazungu waliwafundisha Weusi kucheza Basketball na kuwalipa mahela mengi sana kuchezea Pro.


matoke0 yake ni Weusi kukataa Shule na kucheza mpira asubuhi mpaka jioni huku Watoto wao wazungu wakienda Shule na kutumia fursa kibao za Serikali kujiendeleza usi wakiwa hawana habari kabi ni binadam wenye hasira sana Chuki na Wivu ndio maana wenzao.


wanapofanikiwa huhamia Hollywood cause wakibaki walipokulia Wataishia kuuliwa na wenzao kwa risasi ..Niggaz ni watu wa jela kila siku in and out infact huwa ni sifa wao wanaita "TO DO A TIME IN JAIL"


Wazungu walifanikiwa sana ku destroy Family Base yao cause Wanaume hawafanyi kazi mara nyingi unakuta ni Wanawake wao tu ndio wanaofanya kazi zungu wao kazi yao ni kuyarekodi maisha mabovu yao weusi na kuyaingiza kwenye Cinema as Kool kumbe ni upuuzi mtupu seriously I was stunned na my findings kuhusu maisha mabovu sana ya Niggaz as opposed na tunavyowaona kwenye Cinema na Music Videos ni watu wa hovyo sana that ukiwajua as l do huwezi hata kukubali kuitwa Niggazz nikaanza kuishiwa interest ya kuwa nao karibu nikaanza kufikiria kurudi College kusoma nikaenda Westchester Community College na kujiandikisha kujiunga nikafanya mtihani maalum nikafanikiwa kukubaliwa na Chuo,,,ITAENDELEA!
 
Melini hakuna cheo cha assistant engineer,, Kuna chief engineer,, 2nd engineer na 3rd engineer... Pia Mshahara wa 3rd. Au 2nd engineer ni zaidi ya dola 6000 kwa mwezi... Km angekuwa na level hyo leo asingekuwa mpambe wa BASHITE... Angekuwa kazini,,, asitumie tabia yake ya kuvaa MAKAPTULA na kuhangaika na teenage girls akasingizia UBAHARIA,,, ni vitu viwili tofauti... Pia asingekuwa hana pesa za kulala hata hotel baada ya kuacha KAZI,, ukiwa mwongo Uwe na KUMBUKUMBU
We ndio mburura mpuuzi no 1 hapa .
rudia yoote uliyoandika kumtuhumu le kokobangaz, ametoa maelezo yoote kuhusu hayo uliyomtuhumu.
We baharia gani fala tu mwenzio kasema aliacha kazi baada ya kushauriwa na capten kwani ni ya kilofa na watu wasio na elimu km wewe.
Kashasema alikua practical so hakua mfanyakazi.
Hujasoma maandiko yake yote unarukia kudefine vyeo vya baharini .
 
Mshahara wa 2 rd engineer KWENYE meli...
0d2cc63f80eb71ef85dedf3135c84640.jpg
878eb0475565d193963df2210cb9fa86.jpg
21226f41d216e0f22cf3a151d2de7b4b.jpg
hizo ni nafasi za kazi zinatangazwa na Mshahara wake..
We jamaa ww, enzi hizo huyu jamaa anafanya practical baharini google haikuwepo na alikua practic hata mshahara hakuna kwake labda bonus .hao ma injinia miaka hiyo labda walikua wanapokea 800usd
Where your head failing dude?
 
Kinachowauma watu humu ni kwanini Le mutuz hakutumia cheo cha babaake kupata utajiri? Cjui unawasoma? Waafrika tunapendaga dezo na mteremko, hatuna tofauti na hao Niggaz anaowasimulia hapa, ni wenye upeo tu ndo wanaoweza kumuelewa Lemutuz kwa mapana. Mm pia namkubali kua ni kamanda af sio muoga
Licha ya Upimbi wake lakini huyu jamaa bado ni shujaa, alifanya haya yote wakati baba yake akiwa mtu mkubwa serikalini hadi kufikia cheo cha waziri mkuu na makamo wa pili wa Rais.

Big up sana kwake....ingekuwa ni mitoto ya siku hizi cjui ingekuwaje!
 
Menimeelewa km hakua ameajiriwa ila alikua poractical km assistant eng kutokana na elimu yake. Na mambo ya kuvaa pens wengi. Wanavaa wala co sababu ya ubaharia. Kuhusu kupenda ujana hiyo ni obvious wala yeye co wa kwanza tunao mitaani, kukaa baharini au mbali na familia zao kunawaathiri kisaikolojia.
Melini hakuna cheo cha assistant engineer,, Kuna chief engineer,, 2nd engineer na 3rd engineer... Pia Mshahara wa 3rd. Au 2nd engineer ni zaidi ya dola 6000 kwa mwezi... Km angekuwa na level hyo leo asingekuwa mpambe wa BASHITE... Angekuwa kazini,,, asitumie tabia yake ya kuvaa MAKAPTULA na kuhangaika na teenage girls akasingizia UBAHARIA,,, ni vitu viwili tofauti... Pia asingekuwa hana pesa za kulala hata hotel baada ya kuacha KAZI,, ukiwa mwongo Uwe na KUMBUKUMBU
 
Na wewe acha kutujazia thread kujifanya unaujua ubaharia ; eti tuangalie mshahara huko tugoogle. Hivi wewe una akili kweli??? Lemutuz kaacha ubaharia 35 years ago sasa unafikiri huo mshahara toka moaka hio na leo ni sawa?? Kingine hio mishahara haiwezi fanana kati ya meli na meli. Mwenzako kakaa US more than 25 years and mind you angetaka kutudanganya sana angeweza maana yy alikua ni mtt wa waziri mkuu na waziri wa mambo ya nchi za nje mbobezi mzee Malecela..angetulisha sana matunda pori lakini anaongea ukweli jinsi alivyopambana ; hutaki fungua uzi wako wa ubaharia ndio utuelezeee sawa.
 
Nimepitia hyo HISTORY YAKO ya UBAHARIA,,, nimegunduwa ni UONGO MTUPU,, wewe mzee hukuwahi kuwa Baharia,, pengine ni STORY TU za VIJIWENI Umeamua kutuletea humu,,,, labda niwaeleze wakuu kwa faida ya wote... Ktk story yako umesema ulikuwa assistant engineer... Elewa kuwa ktk meli hakuna cheo HICHO.. Pili umesema umeshuka melini ukaenda marekani UKAWA unalala nje,,, means hukuwa na PESA,,, wakati BAHARIA YEYOTE pesa zake zinatiwa KWENYE account,,, ukishuka unazikuta zimejaa kwahyo km ulikuwa unafanya kazi melini kwa cheo HICHO ni lazima ungeshuka na pesa nyingi mno,, sasa why ulale nje? Ukose hata pesa za hotel? Wewe unataka kuhalalisha mambo yako ya hovyo unayofanya UTUDHALILISHE SEAFARERS... kumbe SEAFARERS ni watu wanaojielewa..... KWENYE meli Kuna MASTER,, CHIEF OFFICE ,,, OFFICES.,, BOSSEN,,,AB wa deck. .. na OS... hawa ni watu wa DECK.. Nina maana wanaofanya kazi juu ya meli..... Kuanzia MASTER ambaye Ndy CAPTAIN,, yeye ni mkuu wa meli,,, anafata chief officer ambaye yeye ni mkuu baada ya CAPTAIN,, kwa watu wa deck... Halafu Kuna 2nd officer,, 3rd OFFICE.. halafu Ndy officers wa kawaida.. Na hao AB wa deck na OS Ndy BAHARIA wa MWISHO... huko KWENYE injini ROOM Kuna CHIEF ENGINEER,, ndy mkuu wa mambo ya ufundi,,, 2nd engineer,, 3 rd engineer,, OFFICERS wa kawaida,, AB wa engineer.. Na OS,, sasa atwambiye huyo assistant engineer ni cheo gn? Msipigwe porojo za VIJIWENI,,, humu Kuna SEAFARERS kibao,,, asitudhalilishe na MAKAPTULA YAKE,,, anapaswa AOE,, na aache kuvaa MABUKTA kwa kisingizio cha UBAHARIA,, hiyo level yake ya mambo ya meli aliyokuwa nayo sio ya kwenda kubeba box marekani,,,, hata leo angekuwa na cheo HICHO cha mambo ya meli asingekuwa mpambe wa BASHITE,, hebu gougle Mshahara wa chief engineer,, au 2nd engineer,, kama hujaambiwa dola 8000 kwa mwezi... ubaharia hauna limit ya umri... Huyo mwongo kweupe,,,, mwambiye atuwekee pch YUPO on duty melini..... Wee mzee wacha fix... Nyie Ndy mabaharia wa kujichora NANGA MIKONONI,, hata meli hamuijuwi.. Mshahara wa ORDINARY SEAMAN(OS) ni dola 1000 hadi 1500 kwa mwezi.... Huyo ni mtu wa chini melini,,, OFICCERS wa kawaida wanakula DOLA 3500 hadi 4000 kwa mwezi,,, huyo 2nd. A 3rd engineer wanakula zaidi ya dola 6000 kwa mwezi.. Na kazi ni za mikataba miezi sita au tisa,,, unashuka likizo,, mwezi mmoja inchi KAVU.. Ni DOLA ngp angekuwa nazo? Aje awe mpambe wa BASHITE? atawadanganya wengine but sio SEAFERARS.. Awache meli akaendeshe malori,, ni UONGO
Uko sawa ,hili lizee liongo tuu
 
Na wewe acha kutujazia thread kujifanya unaujua ubaharia ; eti tuangalie mshahara huko tugoogle. Hivi wewe una akili kweli??? Lemutuz kaacha ubaharia 35 years ago sasa unafikiri huo mshahara toka moaka hio na leo ni sawa?? Kingine hio mishahara haiwezi fanana kati ya meli na meli. Mwenzako kakaa US more than 25 years and mind you angetaka kutudanganya sana angeweza maana yy alikua ni mtt wa waziri mkuu na waziri wa mambo ya nchi za nje mbobezi mzee Malecela..angetulisha sana matunda pori lakini anaongea ukweli jinsi alivyopambana ; hutaki fungua uzi wako wa ubaharia ndio uruelezeee sawa.
Hata kama alipata dola 500... Hyo Ilikuwa pesa nyng sana kwa wakati huo,,, asingeweza kuacha,,, akalale nje marekani,,, pia LEMUTUZ hana umri mkubwa wa kushindwa kuwa melini hata sasa,,, Kuna watu wana 60 na still wapo on board... melini,,,, yeye ni 2RD ENGINEER ni cheo kikubwa mno melini,,,, ana copy maisha ya watu analeta humu.... Mwongo..
 
Back
Top Bottom