Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

safi sana LE MUTUZ Uzuri wako unajibu maswali na unajiamini na unachokiamini.Angekuwa Mange hapa angeshablock wengi
1. Sijawahi kunywa pombe wala kuvuta sigara pesa zangu nilikua ninaweka benki nikaanza kuzitumua kusoma Shule mpaka namaliza Degree ya pili pamoja na kuoa mke na watoto 2 zilikua zimeshaisha na well spent.

2. Comfortability kwa binadam inatofautiana kwangu ni kuishi vizuri bila wasi wasi, kulala vizuri, kula vizuri, stable income, pesa mfukoni na kufanya lolote ninalolitaka within my range bila tatizo ndio maisha yangu ila sijui kama na wewe its like that.

3. Unga nimeuona kwa mara ya kwanza nikiwa Primary School, kijana mmoja darasani alipewa na kaka yake Baharia sikuelewa ni nini na sikuwahi hata kujali kuelewa, lakini nikaja kukutana nao tena USA kwa kuwaona watu wanautumia na wanaouza, lakini never in my life sikuwahi kujihusisha nao never!

I hope nimekusaidia

le Mutuz Mobimba
 
Kuna mabaharia walikua na kelele naona zimenyamazishwa zote![emoji23].. W. J. Malecela keep livin yah life!...Kitu ingine mshauri na yure mpinzani wako arudie account yake humu basi tujifunze current US life!..
Kwa yule utajifunza matusi tu
 
Siku ZOTE WABONGO mnapenda POROJO kuliko STORY ZA KWELI...
27857858_890529534462779_6911976504132179957_n.jpg

- I hope nimekusiadia kidogo maana sikutaka kuweka evidence kama hizi mapema hahahahaa nitakuletea na my Seamen Book maana kila Meli unayopanda lazima ugongewe muhuri kipo so futa kauli zako za kipumbavu sana, Meli nilipanda labda kabla hujazaliwa na kina Hussein Machen hukuwepo hapa Duniani kubali tu

le Mutuz Kokobanga
 
story yako nimeifurahia sana, inaleta picha fulani funzo kwa vijana wetu, tafadhali toa kitabu. kuna mengi huwa sikuheshimu lakini katika hili nakuheshimu mkuu.
 
27857858_890529534462779_6911976504132179957_n.jpg

- I hope nimekusiadia kidogo maana sikutaka kuweka evidence kama hizi mapema hahahahaa nitakuletea na my Seamen Book maana kila Meli unayopanda lazima ugongewe muhuri kipo so futa kauli zako za kipumbavu sana, Meli nilipanda labda kabla hujazaliwa na kina Hussein Machen hukuwepo hapa Duniani kubali tu

le Mutuz Kokobanga

haya yuko wapi yule baharia uchwara aje abishe na hii.... alafu nahisi yule jamaa anayebishabisha ni baharia wa mitumbwi ya wavuvi na sio meli

LE MUTUZ BOMAYE.. LE MUTUZ CITWA YEEEN.... LE MUTUZ MOBIMBA... LE MUTUZ NYE NYE NYE MUTU YA EVIDENCE hahahah
 
Safi sana le Mutuz life circle yako ni yakipekee toka mdogo na unaexposure ya maana tu
 
Mtu asiyekuwa na malengo ni wa kumuonea huruma tu! mtu kama ulikuwa hunywi, huvuti sigara na baharini hakuna mademu huyu jamaa alikuwa na starehe gani kipindi hicho na hela yake aliifanyia nini na kwake kipimo cha kuwa na comfortable life ni kupanda ndege na kulala hoteli nzuri duh duh !!! Ningemuomba Le Mutuz atuelezee uzoefu wake kuhusu habari za mabaharia wengi kutumika kusafirisha unga na madereva pia wa magari makubwa pia na yeye amefanya kazi sehemu hizo mbili!!! Je alishatumia unga, aliwashawahi kuuza unga na alipokuwa na maniggaz wengi pia kazi zao ni hizo.Je ilikuwaje kote huko stori za kutumia au kuuza unga hatujazisikia!!!!!!
Namjibia le mutuz hapo, pesa yake aliitumia kusoma na kua akili kubwaz si unaona ana jina kubwa la Malecela former PM lakini alivyorudi bongo hakutaka kulitumia kupata ujiko akazindua his label and brand ya "le mutuz" ambayo kwa sasa inajulikana na kila mtu. Shule muhimu sana katika maisha.
 
Safi sana le Mutuz life circle yako ni yakipekee toka mdogo na unaexposure ya maana tu

- Thanks Boss, on a serious note watu hasa vijana wadogo wanatakiwa kusoma hii "TRUE STORY" of my life na kujitafakari wapi inawahusu nawajua watoto wengi wa Viongozi hapa Mjini wanaoranda randa no life, kisa walilewa na Majina ya Baba zao na sifa za watu wanafiki,

1. Sijawahi kujuta kukosa kuishi in power ya Baba yangu yaani UWaziri Mkuu na Makamu wa Rais, ingawa mara nyingi aliniomba nirudi nilimkatalia katakata, leo ninawaona Watoto wengi ambao alikulia kwenye power wanavyohangaika ninamshukuru sana Mungu, ingawa sio wote wapo ambao Baba zao walizitumia nafasi zao wapo sawa lakini sifurahishwi na maisha yao ya kujificha ficha kuogopa watu wasiwaseme kuhusu baba zao.

2. Enzi za utoto wangu ni Ubaharia na Soccer za Yanga na Simba ndizo zilizokua na impact za kutoboa kimaisha bila kusoma, lakini kwenye Ubaharia ilikua ni more fantasy than reality ambayo niliiona mwenyewe nikiwa baharini Mabaharia walikua wakirudi hawasemi hadithi yote kwa mfano mateso ya kuvuka "Bermuda Triangle" Mishahara midogo kumbuka kwenye ubaharia kulikua na Cheap Labor ya Wafilipino so malipo yalikua madogo sana ila kwa sababu walikua wanakaa muda mrefu bila kuchukua mshahara wakiwa safarini ndio maana walionekana wana pesa waliporudi ingawa pesa haikudumu sana kwa sababu tatizo halikua pesa ila akili ndogo za Mabaharia, nilitaka sana kuepuka kurudi namna hiyo and I did.

3. Nia na lengo langu kwenda ilikua kutafuta Elimu na Maisha bora zaidi nilipofika Majuu nikaishia kupata kitu muhimu sana ambacho sikukifikiria mwanzoni nacho ni "EXPOSURE" ndio maana leo ninawasumbua sana wabongo wenye akili finyu ni kwa sababu hiyo tu. Bongo kuna watu wana pesa lakini hawajui cha kuzifanyia, mimi sina pesa nyingi lakini ninajua what to with my little money. Wananishangaa kwa sababu wanaamini sina pesa sasa ninapofanya mambo yangu ya kipesa ambayo wao wanaamini wanatakiwa wayafanye wao ninawashangaza sana,

- Kuna siku mtu mmoja aliniambia kwamba "SIKU HIZI UNA PESA SANA" nikamuuliza kistaarabu sana ni lini aliwahi kuniona na pesa au nikiwa sina? hakuwa na jibu kwa sababu nilijifunza kwa Baba yangu kua pesa sio our thing,

4. Ninaomba kuchukua nafasi hii kusema bila kupindisha kwamba hii topic hapa imenishangaza sana kwa sababu ni kwa mara ya kwanza kua na mjadala unaonihusu humu JF ambao ni Fair toka nibadili ID yangu fake miaka mingi iliyopita na kua mimi mwenyewe. Nilipokua na Fake ID nilikua maarufu humu JF kuliko wote labda MWanakijiji tu ndiye tulikua level moja, lakini nilipobadili tu ID na kua mwenyewe siku zote imekua negative silalamiki cause ndiyo sababu leo ninakusanya Millions kutokana na Social Media kwa sababu nilianzia hapa JF. Nimefarijika sana kwamba kumbe sio Wabongo wote ni wajinga huu mjadala ukiusoma wote utaona Unbalance ya Negativity ambayo ni ndogo sana kulinganisha na Positive comments. Infact ni kwa mara ya kwanza nimeona watu wengi wakitetea my works in the Story,

- Ingawa pia ninaomba kuwashukuru sana Jamiiforums kwa kuamua kuibeba hii Story of my life, ninawashangaa sana wanaopinga kwa kushindwa kurekebisha wanachokipinga, ukisema hapa anasema uongo unatakiwa uuseme ukweli. Guys this is not about me it is about what I have faced in my life na jinsi nilivyopigana kufikia nilipo, binafsi sina wasi wasi na nilipo ni ninajua kua bila ya kwenda Majuu nisingekua hapa nilipo utajiri wangu mkubwa niliorudi nao ni AKILI KUBWAZZZ I am so proud of myself for that.

- Halafu Haters poleni sana maana bado ninataka kuandika Vitabu vingi, kuna "MY JF EXPERIENCE", "MY FACEBOOK EXPERIENCE", "MY INSTAGRAM EXPERIENCE" "MY BONGO'S EXPERIENCE" so mna kazi sana ya kupinga pinga bila Facts hahaha saty tuned!

le Mutuz Mobimba! Le Mutuz Nye! Nye! Nye!
 
- Thanks Boss, on a serious note watu hasa vijana wadogo wanatakiwa kusoma hii "TRUE STORY" of my life na kujitafakari wapi inawahusu nawajua watoto wengi wa Viongozi hapa Mjini wanaoranda randa no life, kisa walilewa na Majina ya Baba zao na sifa za watu wanafiki,

1. Sijawahi kujuta kukosa kuishi in power ya Baba yangu yaani UWaziri Mkuu na Makamu wa Rais, ingawa mara nyingi aliniomba nirudi nilimkatalia katakata, leo ninawaona Watoto wengi ambao alikulia kwenye power wanavyohangaika ninamshukuru sana Mungu, ingawa sio wote wapo ambao Baba zao walizitumia nafasi zao wapo sawa lakini sifurahishwi na maisha yao ya kujificha ficha kuogopa watu wasiwaseme kuhusu baba zao.

2. Enzi za utoto wangu ni Ubaharia na Soccer za Yanga na Simba ndizo zilizokua na impact za kutoboa kimaisha bila kusoma, lakini kwenye Ubaharia ilikua ni more fantasy than reality ambayo niliiona mwenyewe nikiwa baharini Mabaharia walikua wakirudi hawasemi hadithi yote kwa mfano mateso ya kuvuka "Bermuda Triangle" Mishahara midogo kumbuka kwenye ubaharia kulikua na Cheap Labor ya Wafilipino so malipo yalikua madogo sana ila kwa sababu walikua wanakaa muda mrefu bila kuchukua mshahara wakiwa safarini ndio maana walionekana wana pesa waliporudi ingawa pesa haikudumu sana kwa sababu tatizo halikua pesa ila akili ndogo za Mabaharia, nilitaka sana kuepuka kurudi namna hiyo and I did.

3. Nia na lengo langu kwenda ilikua kutafuta Elimu na Maisha bora zaidi nilipofika Majuu nikaishia kupata kitu muhimu sana ambacho sikukifikiria mwanzoni nacho ni "EXPOSURE" ndio maana leo ninawasumbua sana wabongo wenye akili finyu ni kwa sababu hiyo tu. Bongo kuna watu wana pesa lakini hawajui cha kuzifanyia, mimi sina pesa nyingi lakini ninajua what to with my little money. Wananishangaa kwa sababu wanaamini sina pesa sasa ninapofanya mambo yangu ya kipesa ambayo wao wanaamini wanatakiwa wayafanye wao ninawashangaza sana,

- Kuna siku mtu mmoja aliniambia kwamba "SIKU HIZI UNA PESA SANA" nikamuuliza kistaarabu sana ni lini aliwahi kuniona na pesa au nikiwa sina? hakuwa na jibu kwa sababu nilijifunza kwa Baba yangu kua pesa sio our thing,

4. Ninaomba kuchukua nafasi hii kusema bila kupindisha kwamba hii topic hapa imenishangaza sana kwa sababu ni kwa mara ya kwanza kua na mjadala unaonihusu humu JF ambao ni Fair toka nibadili ID yangu fake miaka mingi iliyopita na kua mimi mwenyewe. Nilipokua na Fake ID nilikua maarufu humu JF kuliko wote labda MWanakijiji tu ndiye tulikua level moja, lakini nilipobadili tu ID na kua mwenyewe siku zote imekua negative silalamiki cause ndiyo sababu leo ninakusanya Millions kutokana na Social Media kwa sababu nilianzia hapa JF. Nimefarijika sana kwamba kumbe sio Wabongo wote ni wajinga huu mjadala ukiusoma wote utaona Unbalance ya Negativity ambayo ni ndogo sana kulinganisha na Positive comments. Infact ni kwa mara ya kwanza nimeona watu wengi wakitetea my works in the Story,

- Ingawa pia ninaomba kuwashukuru sana Jamiiforums kwa kuamua kuibeba hii Story of my life, ninawashangaa sana wanaopinga kwa kushindwa kurekebisha wanachokipinga, ukisema hapa anasema uongo unatakiwa uuseme ukweli. Guys this is not about me it is about what I have faced in my life na jinsi nilivyopigana kufikia nilipo, binafsi sina wasi wasi na nilipo ni ninajua kua bila ya kwenda Majuu nisingekua hapa nilipo utajiri wangu mkubwa niliorudi nao ni AKILI KUBWAZZZ I am so proud of myself fro that.

le Mutuz Mobimba! Le Mutuz Nye! Nye! Nye!
Ila lazima ujue kua bongo hapo watu wenye akili kubwaz za kutengeneza pesa si wengi sana kama wenye kubwazz; kwa sababu wengine badala ya kukuomba ushauri na vipi watoke kwenye ufukara wanaingizwa mkenge na kigagulaz na kuanza kukushambulia bila hata kujijua.Nakushauri pia ukiweza fungua kitengo cha councelling uwasaidie vijana hapo bongo kujikwamua..Salute!
 
Unajua wewe jamaa ni mbishi sana?? Sasa mie nakuambia hapa huko bongo niliacha kazi niliokua nikifanya customs kila siku nikitoka job nina kama tshs 2m. Nikaja huku US nikaanza kazi za kubeba mabox kwanza huku nasoma hadi sasa nimekaa vizuri nina kazi nzuri na familia na maisha yansonga msuano. Itakuwa kuacha ubaharia kazi ya kukaa miezi 6 majini tu. Hio kitu acha kabisa inaitwa sacrifice. Na hapo le mutuz ni kua dad ake alikua PM lakini aliamua kuingia front mwenyewe kwenye kikosi cha mizinga kujilipua. Acha ubishi wa kwenye ghahawa za saigon .

Aiseee Hizi chai nyingine mnazotunywesha mtupumzishe wazee,milioni mbili kwa siku then ukaona hailipi ukaamua uachane nayo,wazee tumechokaa mwambie na jamaa yako Lemutuz huko tumechooka...
 
Back
Top Bottom