Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

AISEEEE MPKA HAPA NAONA NI. 2 : 1.UBAO UNASOMEKA HIVI AISEEE ...
WEWE JAMAA UKO VIZURI AISEEE ..NILIKUWA NASUBIRI KUONA JINSI UTAKAVYOWEZA KUZIPNGUA ZILE HOJA ..ILA KWA SASA NAFSI IMETAKASWA..

ILA JAMAA ALISEMA ANAMILIKI APARTMENT POSTA..MBONA HILO HUJAGUSIA MKUU
We jamaa ni mchonganishi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
- Ni historia ya "MY INSTAGRAM'S DATING EXPERIENCE" ni muhimu sana vijana wakajua yanayoendelea nyuma ya pazia la Instagram mimi ninayaishi now wewe huyajui so subiri nitakapoandika maana pamoja na mengi yaliyomo ni pamoja na uwezo wa kutembea na Wabebezz wengi kwa wakati mmoja huku wanajuana, sio jambo la kawaida au unasemaje?

- Ni muhimu tukawekana sawa kabla sijaendelea na Chapter zingine za my "AMERICAN EXPERIENCE"

le Mutuz
Aiseee
Hao mabebez wana moyo wa pekee wanajuana wote wanakulwa na mwanaume mmoja
 
Kwa wote wanaomdisi Le Mutuz, Nye Nye Nye Mimi nawaona ni maboya tu, jamaa amehaso alafu mnamchukulia poa kisa alikua mtoto wa kigogo. Just imagine kama Wewe Ungekua mtoto wa waziri ungekubali hata kwenda ughaibuni kutest zali na wakati huku nyumbani maishani uhakika? Acheni kuleta hobby za kisiasa kwenye personal life. Nye Nye Nye achana na masnitch fanya mambo yako you can't be perfect to all people.
Hahaha wewe ni mpuuzi namba moja, eti historia ya JF? What has that got to do with me??yaani nipoteze mida kubishania ujinga kama huo ili iweje?? mzazi wako aliona wazi anapoteza muda kuwekeza kwa pimbi kama wewe ambae mpaka umri huo mama ako ANAFARIKI ukashindwa kujenga ata kaburi, mpaka umri huo bado UMAISHI kwenye apartments za kupanga..mjinga ambae mpaka umri wa uzee bado PICHA ZA UCHI na aibu zinasambaa mitandaoni!!

baba yako aliona mbali ndio sababu ulitelekezwa mapema sana..maana ni mzazi au ndugu tahira tu anaweza jivunia wewe..wasped sperm!!!
 
Huoni tatizo kuwa mtu mwenye akili kubwa na mafanikio kumuacha mama yake mzazi kufariki kwenye kichuguu??? Duh lord have mercy!!

akili huna ndondocha kabisa wewe..umesema maisha uliyoyapata bongo six years back wenzio wa majuu wanasema ni afadhali kuliko ulikokuwa mbele...!!?

Hii inamaana miaka yako tangu uzaliwe, ujana wako yaaani miaka 20- 45 ulikuwa kapuku tu..yaani sasa katika miaka 60+ ndio una hustle??? This is absurd!! Ujana wako wote ulikuwa unatukanana na mama wa watoto wako mitandaoni tu!!

Emu tizama hii picha kosha uniambie ni mtu gani mwenye akili timamu na umri wa uzee kama wako anafanya uzuzu kama huu??

View attachment 698167

tizama kundi la vijana walioko hapo kisha jiringanishe na ww..alafu uniambie ww kichwani ni mzima kweli??

Umri huo unapigwa PICHA ZA UCHI??? Mzee ulitakiwa uwe unacheza na vitukuu huku ukimeza ka ugoro kidogo sio kuonuesha izwazwa na maumbile yako kama puto mitandaoni eti akili kubwa..idiot labisa

- so far sijaona anything serious like unapingana na my story, I am fine Majuu nilikua na maisha mazuri sana Materialistically lakini Bongo quuality of life ni bora kuliko niliyokua nayo majuu, ninamshukuru Mungu in my life sijamuibia mtu wala kupora cha mtu,

- Nimepigana nimejisomesha, nimerudi bongo na akili kubwa kuliko niliyoenda nayo na sasa hivi ninaishi kama ninvyotaka, ya kwako ni makelele tu ya mlango, kazi yangu ni Social Media ni lazima niwepo wanapikuwepo wateja wangu ndio hizo picha, hahahahaha

- Eti vipi utaiweka nyumba na kaburi uliomjengea mama yako tulinganishe au ni maneno tu ya shombo ambayo kwangu ni kawaida sana hahahahahaha weka nyumba uliyomjengea mama yako na kaburi kwanza uwe na authority ya kucheka wengine.

le Mutuz
 
Kwa wote wanaomdisi Le Mutuz, Nye Nye Nye Mimi nawaona ni maboya tu, jamaa amehaso alafu mnamchukulia poa kisa alikua mtoto wa kigogo. Just imagine kama Wewe Ungekua mtoto wa waziri ungekubali hata kwenda ughaibuni kutest zali na wakati huku nyumbani maishani uhakika? Acheni kuleta hobby za kisiasa kwenye personal life. Nye Nye Nye achana na masnitch fanya mambo yako you can't be perfect to all people.

- Well, thanks boss ila I wish mnegkua mnawajua watoto wengi wa Viongozi wa zamani wanaohaha hapa mjini kwa sababu baba zao walipokuwa kwenye power hawakufikiria nafasi zao kuna siku zitaisha, ninamshukuru Mungu kila siku kwa maisha aliyonipa na ninayoyapigania kila siku na ninafanikiwa.

le Mutuz
 
Aiseee
Hao mabebez wana moyo wa pekee wanajuana wote wanakulwa na mwanaume mmoja
mkuu haupo kwenye list ya waliokulwa IG. wewe haupo..!? naomba le kokobanga akiwa anataja idadi yao aweke na kapicha kidogo tuwaone ndio itanoga mambo yakutupa akapela wakati technology inaruhusu hatutaki ni sawa na kupewa wali bila mchuzi ..halafu kumbe Jamaa mnamsingizia hana kibamia wala nini maana kama angekuwa na kinukta wadada wasingekuwa wanapnga foleni kwaajili yakukulwa..hahaa..

KIBONGO BONGO KUMBE KUTEMBEA NA MADEMU WENGI NA KUONA FASHION MBALI MBALI ZA PICHU ZAO ..NIMAFANIKIO. PIA AISEE..
 
hahaaa wabongo nyokooo ..hiyo line ya mwisho ninecheka mnooo aiseee

- Well, wanasema kwa Shujaa hua ni kilio ila kwa muoga ni kicheko so ila sijaona anything, ninayoishi ni maisha mazuri sana na ninajua sio Wabongo wote Millioni 55 wanayo na ndio maana kuna kelele nyingi za Mlango hapa maana sio wote humu wenye maisha mazuri so lazima walie lie!

le Mutuz
 
mkuu haupo kwenye list ya waliokulwa IG. wewe haupo..!? naomba le kokobanga akiwa anataja idadi yao aweke na kapicha kidogo tuwaone ndio itanoga mambo yakutupa akapela wakati technology inaruhusu hatutaki ni sawa na kupewa wali bila mchuzi ..halafu kumbe Jamaa mnamsingizia hana kibamia wala nini maana kama angekuwa na kinukta wadada wasingekuwa wanapnga foleni kwaajili yakukulwa..hahaa..

KIBONGO BONGO KUMBE KUTEMBEA NA MADEMU WENGI NA KUONA FASHION MBALI MBALI ZA PICHU ZAO ..NIMAFANIKIO. PIA AISEE..

- Hivi wanawake wa Kibongo wanaweza kukubali kama wanajua huna mafanikio ya maisha? Seriously?

le Mutuz
 
- Well, wanasema kwa Shujaa hua ni kilio ila kwa muoga ni kicheko so ila sijaona anything, ninayoishi ni maisha mazuri sana na ninajua sio Wabongo wote Millioni 55 wanayo na ndio maana kuna kelele nyingi za Mlango hapa maana sio wote humu wenye maisha mazuri so lazima walie lie!

le Mutuz
wajua William usione nimecheka ukahisi na kudhihaki nope ...siko serious nachukulia huu nikama mjadala baada ya hapa tuna maisha yetu mengine kabisa ambayo nitofauti na hii mitandao ..nasisi wengine huwa tunapnda kufurahi na kuwafanya wengine wafurahie kile kinachotupatia furaha means washiriki nasi ktk furaha yetu ..siwezi kukudhihaki kwasbabu cjui umepitia mangapi katk maisha kama ambavyo wewe hujui kwangu mimi pia ..

salute
 
- Hivi kweli unaamini wewe unaweza kunisumbua mimi? hahahahahahhaa like seriously?

le Mutuz
 
- Nafikiri umenisaidia sana kuwa kuishi vizuri ni definition ya kila mtu, ila the ishu ni wangapi Tanzania wanaweza ku afford kuishi kama ninavyoishi kwa sababu watuwangu wengi nilowaacha Majuu wanakubali kua nina maisha mazuri kuliko nilipokua kule.

- So far sielewi point yako ni nini hasa maana sijui kama nimewahi kukuomba pesa au anything in my life, unajaribu kulazimisha kunijua kwa nguvu wakati wala haihusu hapa ni historia ya Maisha yangu nikiwa Marekani, vipi uliishi Marekani? Kujiita Akili Kubwa ni uamuzi wangu kwa kuangalia nilikotoka na maisha ninayoishi sasa na ninlicho accomplish,

- Maisha mazuri kwangu ni Kulala vizuri, Kula vizuri, Stable Source of Income, na pesa mfukoni, Mabebezzz ni extra thing cause sio Wanaume wote wanayo access ya Wabebezz wazuri kama mimi, mengine utajaza mwenyewe ila nakushangaa eti unapigania nini hasa?

le Mutuz
Mkuu ahahaha, sipiganii chochote hapa, ndo maana nilisema ngoja tubaki kwenye hoja ili nisikuvunjie heshima na flow yako ya satory ya America iendelee vizuri nisikudisturb, sema tu kuna baadhi ya mawazo tulitofautiana ila yaliyo mengi ninakuunga mkono. Ok, tafadhali endelea na story yako tupate kujua zaidi. kama ni kuishi ni kwamba, nimesoma na kuishi Canada (Waterloo Ontario), nimeishi Toronto pia, nimeishi Italy kwa masomo pia, nchi za Ulaya ambako sijagusa nafikri ni Ureno (namaanisha Ulaya magharibi). hata hivyo hii haina maana kwa yeyote, none of business ya wengine. thanks kwa hoja.lete story mkuu.
 
mkuu haupo kwenye list ya waliokulwa IG. wewe haupo..!? naomba le kokobanga akiwa anataja idadi yao aweke na kapicha kidogo tuwaone ndio itanoga mambo yakutupa akapela wakati technology inaruhusu hatutaki ni sawa na kupewa wali bila mchuzi ..halafu kumbe Jamaa mnamsingizia hana kibamia wala nini maana kama angekuwa na kinukta wadada wasingekuwa wanapnga foleni kwaajili yakukulwa..hahaa..

KIBONGO BONGO KUMBE KUTEMBEA NA MADEMU WENGI NA KUONA FASHION MBALI MBALI ZA PICHU ZAO ..NIMAFANIKIO. PIA AISEE..
Mfyuuuu zako una nini lakini ningekuwa kwenye list yake ningekula block
 
Back
Top Bottom