Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

upload_2018-2-27_23-14-53.jpeg

PART 42:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"

Kazi na Biashara za mke wangu na kazi yangu we were strong kila kona kama kawaida yangu I was a no nonsense Man pole pole Wabongo wakaanza kumuingia mke wangu na ikafikia point that biashara aliyokua anaifanya ni lazima ashirikiane sana na Wabongo ndipo my Fears started to become a reality kwani Wabongo wakaanza kumuingiza kwenye mambo yao ya Wivu, Chuki na Umbeya. I did everything to resist it lakini mke wangu was full involved na pole pole wakaanza kutuvuruga then ikaja muuzaji wa Biashara zake huku Bongo ambaye ni Dada yake akawa ndiye almost Mungu wake mke wangu infact akaanza kupewa amri naye ...

Siku moja Dada yake akaja likizo nyumbani kwetu USA tukakaa naye kama Mwezi mmoja. By the time anaondoka nyuma hakutuacha salama, maelewano yakaanza kupungua toka siku ya kwanza ninamuoa mke wangu nilikua najua ana pungufu la kutojiamini my thinking was Mwanaume unapoamua kuoa ni lazima ujijue kua una mapungufu na uyajue mapungufu ya unayemuoa kusudi uyazibe yasijitokeze kwa urahisi mbele ya Jamii na yeye afanye the same on you pungufu langu namba moja lilikua AKILI NYINGI amounting to Mjuaji sana...

Nilikua ninajua mambo mengi sana nimepitia mengi sana na nimetembea nchi nyingi sana na nimepigana sana na maisha that ilikua sio rahisi infact mpaka leo kuni Convince anything bila strong FACTS I mean vita vyangu na Shetani na Maisha vilinifikisha mahali pa kua too strong to be shaken na mambo madogo madogo na the Worst of all nilifikia mahalia pa kua Emotionless yaani kitu kinaweza kumuogopesha kila binadam kwangu it was nothing ..

Niliamini kwamba kwa sababu I am not a Cheater to my wife na anajua then makosa yangu yoyote atanisamehe tu kama mimi ambavyo ninamsamehe cause na yeye never cheated but baadaye nikagundua kwamba my Character was too much yaani too Strong kwa kila mtu na people were intimidated with my presence that started taking a toll on our marriage na it is where Shetani got his chance and opportunity siku moja nilikua nimeenda kazini Saa Nane za Usiku kama kawaida yangu ilikua Ijumaa niliporudi nyumbani Saa Sita mchana nikakuta nyumbani kwangu hamna mtu! haikuwa kawaida nyumba yangu ilikua active sana..

ITAENDELEA!
 
Yani Mzee William hadi leo na akili yako yote ya kuishi marekani miaka 31 na kurudi bongo na dollars1000 bila karatasi yani a very big failure kwa jinsi how easy kupata green card US especially kwa wazee kama nyinyi mliokaaa kwa muda mrefu kule lakini kwa tatizo la akili yako ndogo umekosa green card na kubaki kunyenyee n watoto wadogo hapa na kufikiria kila mtu anaye kupa makavu ya ukweli ni mama watoto duh,punguza mzee baba kumbe madongo yangu ya ukweli yanakuchoma hadi unanipa shavu insta tulia babu gojo unazidi kujiaibisha na kusababisha watoto wako wazidi kukaa mbali na wewe,hivi lemutuz ningekuwa Mimi mke wako na siri zote za kuishi pamoja kweli si ningekuweka uchi kuliko Nasra na Mange walivyokuweka uchi na issue yako ya kibamia na kudangadanga kwa wanaume wenzakogrow up man unakaribia kuitwa babu sasa
 
Duh. The man is about to drop an atomic bomb against his ex-wife, and suddenly you turn up again begging him to stop? Makes you wonder if you could indeed be the ex-wife after all he has been saying about you.
 
View attachment 702227
PART 42:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"

Kazi na Biashara za mke wangu na kazi yangu we were strong kila kona kama kawaida yangu I was a no nonsense Man pole pole Wabongo wakaanza kumuingia mke wangu na ikafikia point that biashara aliyokua anaifanya ni lazima ashirikiane sana na Wabongo ndipo my Fears started to become a reality kwani Wabongo wakaanza kumuingiza kwenye mambo yao ya Wivu, Chuki na Umbeya. I did everything to resist it lakini mke wangu was full involved na pole pole wakaanza kutuvuruga then ikaja muuzaji wa Biashara zake huku Bongo ambaye ni Dada yake akawa ndiye almost Mungu wake mke wangu infact akaanza kupewa amri naye ...

Siku moja Dada yake akaja likizo nyumbani kwetu USA tukakaa naye kama Mwezi mmoja. By the time anaondoka nyuma hakutuacha salama, maelewano yakaanza kupungua toka siku ya kwanza ninamuoa mke wangu nilikua najua ana pungufu la kutojiamini my thinking was Mwanaume unapoamua kuoa ni lazima ujijue kua una mapungufu na uyajue mapungufu ya unayemuoa kusudi uyazibe yasijitokeze kwa urahisi mbele ya Jamii na yeye afanye the same on you pungufu langu namba moja lilikua AKILI NYINGI amounting to Mjuaji sana...

Nilikua ninajua mambo mengi sana nimepitia mengi sana na nimetembea nchi nyingi sana na nimepigana sana na maisha that ilikua sio rahisi infact mpaka leo kuni Convince anything bila strong FACTS I mean vita vyangu na Shetani na Maisha vilinifikisha mahali pa kua too strong to be shaken na mambo madogo madogo na the Worst of all nilifikia mahalia pa kua Emotionless yaani kitu kinaweza kumuogopesha kila binadam kwangu it was nothing ..

Niliamini kwamba kwa sababu I am not a Cheater to my wife na anajua then makosa yangu yoyote atanisamehe tu kama mimi ambavyo ninamsamehe cause na yeye never cheated but baadaye nikagundua kwamba my Character was too much yaani too Strong kwa kila mtu na people were intimidated with my presence that started taking a toll on our marriage na it is where Shetani got his chance and opportunity siku moja nilikua nimeenda kazini Saa Nane za Usiku kama kawaida yangu ilikua Ijumaa niliporudi nyumbani Saa Sita mchana nikakuta nyumbani kwangu hamna mtu! haikuwa kawaida nyumba yangu ilikua active sana..

ITAENDELEA!
Mbona sehemu ya 41 siioni,aliyeiona naomba anisaidie wakuu
 
upload_2018-2-28_12-50-38.jpeg

PART 43:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"

Picha ya siku ya harusi yangu with my best Man Athur nilikua nawaogopa sana Wabongo that hata best man wangu alikua mzungu ambaye we are still great friends mpaka leo ..now nikaendelea kupiga simu bila ya majibu I was in a total Shock nikamfahamisha Baba yangu Bongo akaniambia kama hawaonekani in one more hour waulize Polisi which I did nikapiga simu Polisi na kuripoti kua Mke na watoto na House Girl sijawakuta nyumbani na simu zao hazipokelewi Polisi wakaniuliza jina langu nikawapa wakaniambia Njoo kituoni now nikaenda about 10 from my home nilipofika kituoni sikuamini yaliyofuatia ...

Polisi wakaniambia Mke wako na watoto wapo salama isipokua jana mlikwaruzana kwa maneno na mke wako na kuna sms mlijibizana kwenye simu zimemfanya mke wako ameamua kuondoka na watoto na ameripoti hapa wakaniambia now unatakiwa kuelewa this is America Mwanamke akfanya haya aliyofanya wewe huna haki kabisa ila yeye ndiye mwenye haki na wakaniambia kwanza mke wako ni mjinga maana angekua na akili angekufukuza wewe kwenye nyumba tunashangaa kakimbia yeye ...

Seriously this was the biggest joke of my life nikaanza kucheka Polisi hawakuamini lakini sasa wakaniambia the Worst kwamba siruhusiwi kusogea Maili 2 kutoka anapokaa na siruhusiwi kuwasogelea watoto kwa Maili Moja na ili nionane nao ni lazima awepo mtu mwingine siwezi kua nao peke yangu mpaka kwa ruhusa tu ya mke wangu well now nikaanza kubadilika cause it was getting serious na wakanisisitiza sana kwamba niwe makini sana cause nikicheza nitaishia Jela kama Weusi wengine yakaisha nikaondoka kituoni kurudi nyumbani nikiwa hoi ...

Swali kubwa kichwani mwangu was ameenda wapi? na kosa nililomkosea mpaka kuondoka like that na kutishiana Polisi WHY? niliogopa kuoa Wamarekani kwa sababu ya kuogopa haya mambo ambayo now yamenikuta na mke mbongo! again nikampigia Baba yangu na Mama yake mke wangu na kuwafahamisha yaliyojiri nikaanza kufikiria What is next? na nikagundua yule mdada aliyekua anafurahia kurudishwa kwake Bongo ndiye Kiongozi wake huko aliko maana nikaanza kusikia maneno toka kwa wabongo kila kona ya USA tayari dunia nzima ilishajua haya mapya yaliyonipata, mjanja kapatikana!

..ITAENDELEA!
 
Yani Mzee William hadi leo na akili yako yote ya kuishi marekani miaka 31 na kurudi bongo na dollars1000 bila karatasi yani a very big failure kwa jinsi how easy kupata green card US especially kwa wazee kama nyinyi mliokaaa kwa muda mrefu kule lakini kwa tatizo la akili yako ndogo umekosa green card na kubaki kunyenyee n watoto wadogo hapa na kufikiria kila mtu anaye kupa makavu ya ukweli ni mama watoto duh,punguza mzee baba kumbe madongo yangu ya ukweli yanakuchoma hadi unanipa shavu insta tulia babu gojo unazidi kujiaibisha na kusababisha watoto wako wazidi kukaa mbali na wewe,hivi lemutuz ningekuwa Mimi mke wako na siri zote za kuishi pamoja kweli si ningekuweka uchi kuliko Nasra na Mange walivyokuweka uchi na issue yako ya kibamia na kudangadanga kwa wanaume wenzakogrow up man unakaribia kuitwa babu sasa

- Hahahaha unahangaika bure dawa yako tayari hahahaha nilikua nakulia timming tu sasa hivi kwishney humdanganyi mtu tena, kama kibamia umeishi nacho toka ukiwa Girlfriend miaka 10 na ndoa miaka 15 hukuiona kukimbia umekijua leo? hahaha sina sababu ya kukuvua nguo ila ulishajivua nguo mwenyewe kuolewa mke wa pili maana yake ni hakuna mwanaume single anayeweza kukuoa miaka 52 watoto 2 kuzaa tena huwezi, ndio maana una hasira sana na ulitegemea maisha yatanishinda bongo ulikosea maana mimi nilipigana na maisha USA mpaka nikakupeleka na ndugu zako 2,

28279780_898368420345557_4289844878802128247_n.jpg

28279868_898368503678882_5167988395472627708_n.jpg

28468039_898368477012218_1751019767562343041_n.jpg

- hahahaha babe wangu huyo jipime hapo jana hiyo maisha yangu yanaendelea wewe endelea kulia lia kwenye mitandao watakuonea huruma watakusaidia nikurudie hahahahahahaha jipime hapo kwa mbebe Lisa Mahaba huyo kitu ya miaka 22 sio miaka 52, hahahahaha I love it

Le Mutuz Nye! Nye! Nye!
 
Huyu sio yule mwanzo Jackie huyu mwingine le mbebezi unajua kuchagua
 
Hahahahahaaa
 
Nihatari zigo hilo mzee baba
 
Back
Top Bottom