Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
TehHa ha ha,
Kumbe eee??
Huo ni mtazamo wangu shark
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TehHa ha ha,
Kumbe eee??
Duh. The man is about to drop an atomic bomb against his ex-wife, and suddenly you turn up again begging him to stop? Makes you wonder if you could indeed be the ex-wife after all he has been saying about you.Yani Mzee William hadi leo na akili yako yote ya kuishi marekani miaka 31 na kurudi bongo na dollars1000 bila karatasi yani a very big failure kwa jinsi how easy kupata green card US especially kwa wazee kama nyinyi mliokaaa kwa muda mrefu kule lakini kwa tatizo la akili yako ndogo umekosa green card na kubaki kunyenyee n watoto wadogo hapa na kufikiria kila mtu anaye kupa makavu ya ukweli ni mama watoto duh,punguza mzee baba kumbe madongo yangu ya ukweli yanakuchoma hadi unanipa shavu insta tulia babu gojo unazidi kujiaibisha na kusababisha watoto wako wazidi kukaa mbali na wewe,hivi lemutuz ningekuwa Mimi mke wako na siri zote za kuishi pamoja kweli si ningekuweka uchi kuliko Nasra na Mange walivyokuweka uchi na issue yako ya kibamia na kudangadanga kwa wanaume wenzakogrow up man unakaribia kuitwa babu sasa
Case was my ex wifeDuh. The man is about to drop an atomic bomb against his ex-wife, and suddenly you turn up again begging him to stop? Makes you wonder if you could indeed be the ex-wife after all he has been saying about you.
Mbona sehemu ya 41 siioni,aliyeiona naomba anisaidie wakuuView attachment 702227
PART 42:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"
Kazi na Biashara za mke wangu na kazi yangu we were strong kila kona kama kawaida yangu I was a no nonsense Man pole pole Wabongo wakaanza kumuingia mke wangu na ikafikia point that biashara aliyokua anaifanya ni lazima ashirikiane sana na Wabongo ndipo my Fears started to become a reality kwani Wabongo wakaanza kumuingiza kwenye mambo yao ya Wivu, Chuki na Umbeya. I did everything to resist it lakini mke wangu was full involved na pole pole wakaanza kutuvuruga then ikaja muuzaji wa Biashara zake huku Bongo ambaye ni Dada yake akawa ndiye almost Mungu wake mke wangu infact akaanza kupewa amri naye ...
Siku moja Dada yake akaja likizo nyumbani kwetu USA tukakaa naye kama Mwezi mmoja. By the time anaondoka nyuma hakutuacha salama, maelewano yakaanza kupungua toka siku ya kwanza ninamuoa mke wangu nilikua najua ana pungufu la kutojiamini my thinking was Mwanaume unapoamua kuoa ni lazima ujijue kua una mapungufu na uyajue mapungufu ya unayemuoa kusudi uyazibe yasijitokeze kwa urahisi mbele ya Jamii na yeye afanye the same on you pungufu langu namba moja lilikua AKILI NYINGI amounting to Mjuaji sana...
Nilikua ninajua mambo mengi sana nimepitia mengi sana na nimetembea nchi nyingi sana na nimepigana sana na maisha that ilikua sio rahisi infact mpaka leo kuni Convince anything bila strong FACTS I mean vita vyangu na Shetani na Maisha vilinifikisha mahali pa kua too strong to be shaken na mambo madogo madogo na the Worst of all nilifikia mahalia pa kua Emotionless yaani kitu kinaweza kumuogopesha kila binadam kwangu it was nothing ..
Niliamini kwamba kwa sababu I am not a Cheater to my wife na anajua then makosa yangu yoyote atanisamehe tu kama mimi ambavyo ninamsamehe cause na yeye never cheated but baadaye nikagundua kwamba my Character was too much yaani too Strong kwa kila mtu na people were intimidated with my presence that started taking a toll on our marriage na it is where Shetani got his chance and opportunity siku moja nilikua nimeenda kazini Saa Nane za Usiku kama kawaida yangu ilikua Ijumaa niliporudi nyumbani Saa Sita mchana nikakuta nyumbani kwangu hamna mtu! haikuwa kawaida nyumba yangu ilikua active sana..
ITAENDELEA!
Mbele ya make up hakunaga mbayaWakati mwingine watu wanavumilia mengi!
Alisema kuna vipengele ataviruka atie kwa kitabuMbona sehemu ya 41 siioni,aliyeiona naomba anisaidie wakuu
Okay sawa aisee!!Alisema kuna vipengele ataviruka atie kwa kitabu
Amesema kairuka ili aje aiweke kwenye kitabu,Mbona sehemu ya 41 siioni,aliyeiona naomba anisaidie wakuu
Amesema anaruka episode mtakutana nazo kwenye kitabu etiMbona sehemu ya 41 siioni,aliyeiona naomba anisaidie wakuu
Yani Mzee William hadi leo na akili yako yote ya kuishi marekani miaka 31 na kurudi bongo na dollars1000 bila karatasi yani a very big failure kwa jinsi how easy kupata green card US especially kwa wazee kama nyinyi mliokaaa kwa muda mrefu kule lakini kwa tatizo la akili yako ndogo umekosa green card na kubaki kunyenyee n watoto wadogo hapa na kufikiria kila mtu anaye kupa makavu ya ukweli ni mama watoto duh,punguza mzee baba kumbe madongo yangu ya ukweli yanakuchoma hadi unanipa shavu insta tulia babu gojo unazidi kujiaibisha na kusababisha watoto wako wazidi kukaa mbali na wewe,hivi lemutuz ningekuwa Mimi mke wako na siri zote za kuishi pamoja kweli si ningekuweka uchi kuliko Nasra na Mange walivyokuweka uchi na issue yako ya kibamia na kudangadanga kwa wanaume wenzakogrow up man unakaribia kuitwa babu sasa
Huyu sio yule mwanzo Jackie huyu mwingine le mbebezi unajua kuchagua- Hahahaha unahangaika bure dawa yako tayari hahahaha nilikua nakulia timming tu sasa hivi kwishney humdanganyi mtu tena, kama kibamia umeishi nacho toka ukiwa Girlfriend miaka 10 na ndoa miaka 15 hukuiona kukimbia umekijua leo? hahaha sina sababu ya kukuvua nguo ila ulishajivua nguo mwenyewe kuolewa mke wa pili maana yake ni hakuna mwanaume single anayeweza kukuoa miaka 52 watoto 2 kuzaa tena huwezi, ndio maana una hasira sana na ulitegemea maisha yatanishinda bongo ulikosea maana mimi nilipigana na maisha USA mpaka nikakupeleka na ndugu zako 2,
![]()
![]()
![]()
- hahahaha babe wangu huyo jipime hapo jana hiyo maisha yangu yanaendelea wewe endelea kulia lia kwenye mitandao watakuonea huruma watakusaidia nikurudie hahahahahahaha jipime hapo kwa mbebe Lisa Mahaba huyo kitu ya miaka 22 sio miaka 52, hahahahaha I love it
Le Mutuz Nye! Nye! Nye!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]- hahahahaha magari gongana nini mkuu mjini hapa U know hahahahaa!!, hakuna wivu hapa hahahahaha U know
le Mutuz
Hahahahahaaa- Hahahaha unahangaika bure dawa yako tayari hahahaha nilikua nakulia timming tu sasa hivi kwishney humdanganyi mtu tena, kama kibamia umeishi nacho toka ukiwa Girlfriend miaka 10 na ndoa miaka 15 hukuiona kukimbia umekijua leo? hahaha sina sababu ya kukuvua nguo ila ulishajivua nguo mwenyewe kuolewa mke wa pili maana yake ni hakuna mwanaume single anayeweza kukuoa miaka 52 watoto 2 kuzaa tena huwezi, ndio maana una hasira sana na ulitegemea maisha yatanishinda bongo ulikosea maana mimi nilipigana na maisha USA mpaka nikakupeleka na ndugu zako 2,
![]()
![]()
![]()
- hahahaha babe wangu huyo jipime hapo jana hiyo maisha yangu yanaendelea wewe endelea kulia lia kwenye mitandao watakuonea huruma watakusaidia nikurudie hahahahahahaha jipime hapo kwa mbebe Lisa Mahaba huyo kitu ya miaka 22 sio miaka 52, hahahahaha I love it
Le Mutuz Nye! Nye! Nye!
Nihatari zigo hilo mzee baba- Hahahaha unahangaika bure dawa yako tayari hahahaha nilikua nakulia timming tu sasa hivi kwishney humdanganyi mtu tena, kama kibamia umeishi nacho toka ukiwa Girlfriend miaka 10 na ndoa miaka 15 hukuiona kukimbia umekijua leo? hahaha sina sababu ya kukuvua nguo ila ulishajivua nguo mwenyewe kuolewa mke wa pili maana yake ni hakuna mwanaume single anayeweza kukuoa miaka 52 watoto 2 kuzaa tena huwezi, ndio maana una hasira sana na ulitegemea maisha yatanishinda bongo ulikosea maana mimi nilipigana na maisha USA mpaka nikakupeleka na ndugu zako 2,
![]()
![]()
![]()
- hahahaha babe wangu huyo jipime hapo jana hiyo maisha yangu yanaendelea wewe endelea kulia lia kwenye mitandao watakuonea huruma watakusaidia nikurudie hahahahahahaha jipime hapo kwa mbebe Lisa Mahaba huyo kitu ya miaka 22 sio miaka 52, hahahahaha I love it
Le Mutuz Nye! Nye! Nye!