Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

I'm not fan of him(lemutuz) but ukiangalia vizuri ile comment ya Instagram inatia mashaka, kuna tatizo kwenye grammar ambapo mtoto aliyezaliwa na kukisoma tangu miaka ya mwanzo wa maisha yake kingereza hawezi kufanya.
Black American English ile JOMBA ......Hata ukiona wasanii wa Marekani especially black english yao ni shida wanaelewana wao kwa wao ........
 
I'm not fan of him(lemutuz) but ukiangalia vizuri ile comment ya Instagram inatia mashaka, kuna tatizo kwenye grammar ambapo mtoto aliyezaliwa na kukisoma tangu miaka ya mwanzo wa maisha yake kingereza hawezi kufanya.
Kwahiyo unawasiwasi na kiingereza cha mtu aliyekulia marekani?? Wale wanajitoa akili na lugha ya ki gang
 
Kapiga lock mpaka DM
Labda mida hii ila 3 hours ago nilim DM .kamkosea sana le baharia, ila nadhani mama yake naye ka play role ya kuweka chuki kwa watoto
Baharia anahitaji matibabu tu
By the way hata mwanae anapenda wabebez
Screenshot_2018-09-19-21-51-35.jpg
 
I'm not fan of him(lemutuz) but ukiangalia vizuri ile comment ya Instagram inatia mashaka, kuna tatizo kwenye grammar ambapo mtoto aliyezaliwa na kukisoma tangu miaka ya mwanzo wa maisha yake kingereza hawezi kufanya.

Naona wewe kingereza cha Kimarekani ndio kimekuchanganya hasa cha hao Black! Hizo “was” ndivyo wanavyozitumia mkuu!
 
Is it worth ku poison akili ya mtoto kwa baba ake hivi-yaani nimetoka goosebumps.Breakup ya marriage should never be this bitter
 
- Ok nilikua natoka Shuleni Saa Nne za usiiku, ninaenda kazi yangu ya USiku kwenye Jumba la Cinema la Co-op City/Bronx ninaingia kazini Saa Tano usiku, nikifika ninalala mpaka Movie ziishe katika ya Saa Saba, ninasafisha Ukumbi kwa lisaa Limoja au Mawili depending na uzuri wa Movie cause kuna siku ukumbi unakua msafi kwa kukosa waangaliaji wengi, Ninalala Kuanzia Saa Tisa naamka Saa Kumi na Moja na Nusu naingia kazini kuendesha Malori,

- Ninatoka kazini Saa Tisa mchana ninarudi nyumbani kulalaa, Saa Kumi na Mbili Jioni naingia Shuleni mpaka Saa Nne, hiyo ndio iliyokua routine ya maisha yangu kwa Miaka karibu 8, ndio maana mpaka leo siwezi kulala zaidi ya masaa 4 na ninaweza kulala mahali popote pale bila tatizo na saa yoyote ile, kwenye my story nimeandika niliyoyapitia tu so ni vigumu sana kwako kutafuta makosa cause hayapo ni maisha niliyoyaishi.

- Ningekua nimeandika uongo popote pale ungewaona Diaspora nilioishi nao USA wangeshajitokeza hapa au my ex, umeona kajaribu jaribu kakimbia!

Thanks.

le Mutuz
True hustler 👏 big up brother.Ila baada ya yote hayo hukustahili kuwa kibaraka wa mchoma mkaa wa Mbezi Luis Bashite
 
aisee nimesoma kipandee tuu nimevutiwa na hadithi yake sijui ndio somo ila ni stori nzuri sanaa
 
Back
Top Bottom