William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
kama hiyo passport ni feki mhusika ni nani? Usituone wajinga
Uje na Mombasa basi nitakulipia yahkeeeee
kwahiyo wewe una uraia wa nchi mbili (dual citizenship) au hivi sasa wewe ni raia wa marekani na ulishaukana uraia wa Tanzania?- Muulize aliyeleta hizo papers nimeishije USA Miaka 30 bila Green Card wala Uraia kwanza ndio utapata majibu mengine hahahahahahahaha hahahahahahah mnanivunja mbvu sana sasa hilo karatasi ndio nini hasa? hahahahahahahahahah
le Mutuz
kwahiyo wewe una uraia wa nchi mbili (dual citizenship) au hivi sasa wewe ni raia wa marekani na ulishaukana uraia wa Tanzania?
Mzee kama una mindset ya kujisifia kulipiwa safari,malazi na party na vitu kama hivyo then ipo haja ya kujitathmini- hahahahahaha wikiendi hii nimealikwa Arusha kwenye special party ya Celebs, kiingilio 100,000 nimealikwa ninalipiwa tiketi ya ndege na Five Star Hotel, ndio maana ya kuwa Star au na wewe umealikwa? hahahahahahahahaha
le Mutuz Nation
Mkuu hujanijibu swali langu iwapo wewe ni raia wa nchi mbili (Marekani na Tanzania) au nchi moja (Marekani) badala yake unachenga kutoa jibu!- hahahahahahaha nilikuambia as long as it is in the Social Media nitakuchezesha muziki wangu tu, sasa tizama ulikoanzia na document zako mpaka ulipofikia sasa jipange tena hahahahahahahahah
le Mutuz
Mzee kama una mindset ya kujisifia kulipiwa safari,malazi na party na vitu kama hivyo then ipo haja ya kujitathmini
Mkuu hujanijibu swali langu iwapo wewe ni raia wa nchi mbili (Marekani na Tanzania) au nchi moja (Marekani) badala yake unachenga kutoa jibu!
duh uyu mzee naisi ana matatizo ya ubongo
Ni vigumu kuamini kuna watu wazima wanafuatilia posts za Le Mutuz.
Basi faru john alikuwa superstar kuliko wewe...- I am big Celeb ndio maana unanijadili hapa maana huu ni uwanja wa Celebs, ukitaka kujua kama ni Super Star angalia mada na viewers hahahahahahaha I am Super Star Celebs na sio kwa bahati mbaya U know and I love it!!
le Mutuz Nation
Le Mutuz una watoto wangapi hadi sasa? I mean wa kuwazaa ww?ha a haha yamefanyaje?
Bichwa kuuuuubwa ndani akili ya mende hahahaaaaa
Ndani kuna stock ya chakula cha milenia
Ni vigumu kuamini kama Le Mutuz ni mtu mzima,post zake ziko kama za kijana aliyebarehe mwaka huu.
Tuna watoto wa viongozi wawili ni ma super star. Le mtuzi le baharia na Andrew NyerereSeriously W. J. Malecela kindly re-think again on how you are portraying yourself to the community. This makes me wonder why you contested for the East African MP seat, Was this the kind of self you would have shown as an East African member of parliament?
Ndiyo maana mkewe huko Marekani hataki hata watoto wake wamjuwe baba yao.....Just think of this: Mtu una mume ambaye akili zake anajifananisha na mwanaye au marafiki wa watoto wake. Mtu yuko 60 lakini anacheza michezo ya kitoto, kujipiga picha anakunya na kubandika fesibuku.
Wawekee original umalize kilimi chao mkuu le mtuzi- Siku nikfikia huo umri nitakushitua kwa sasa ngoja niendelee kula batazzz batannn hahahahahahah ninawatesa mpaka mnaleta papers feki hahahahahahahahah U know
le Mutuz