Le Mutuz kwanini umetudanganya?

Le Mutuz kwanini umetudanganya?

kama hiyo passport ni feki mhusika ni nani? Usituone wajinga

- Muulize aliyeleta hizo papers nimeishije USA Miaka 30 bila Green Card wala Uraia kwanza ndio utapata majibu mengine hahahahahahahaha hahahahahahah mnanivunja mbvu sana sasa hilo karatasi ndio nini hasa? hahahahahahahahahah

le Mutuz
 
kwahiyo wewe una uraia wa nchi mbili (dual citizenship) au hivi sasa wewe ni raia wa marekani na ulishaukana uraia wa Tanzania?
 
kwahiyo wewe una uraia wa nchi mbili (dual citizenship) au hivi sasa wewe ni raia wa marekani na ulishaukana uraia wa Tanzania?

- hahahahahahaha nilikuambia as long as it is in the Social Media nitakuchezesha muziki wangu tu, sasa tizama ulikoanzia na document zako mpaka ulipofikia sasa jipange tena hahahahahahahahah

le Mutuz
 
- hahahahahaha wikiendi hii nimealikwa Arusha kwenye special party ya Celebs, kiingilio 100,000 nimealikwa ninalipiwa tiketi ya ndege na Five Star Hotel, ndio maana ya kuwa Star au na wewe umealikwa? hahahahahahahahaha

le Mutuz Nation
Mzee kama una mindset ya kujisifia kulipiwa safari,malazi na party na vitu kama hivyo then ipo haja ya kujitathmini
 
- hahahahahahaha nilikuambia as long as it is in the Social Media nitakuchezesha muziki wangu tu, sasa tizama ulikoanzia na document zako mpaka ulipofikia sasa jipange tena hahahahahahahahah

le Mutuz
Mkuu hujanijibu swali langu iwapo wewe ni raia wa nchi mbili (Marekani na Tanzania) au nchi moja (Marekani) badala yake unachenga kutoa jibu!
 
Mzee kama una mindset ya kujisifia kulipiwa safari,malazi na party na vitu kama hivyo then ipo haja ya kujitathmini

- hahahahaha kwenye maisha kuna FACT OF LIFE so kulipiwa kila kitu ili uonekane tu kwenye Special Show ndio maana ya Celebrity, sasa wewe huwezi kufanyiwa hivyo cause sio Celeb, hii ni FACT OF LIFE kubali tu yaishe maana unabisha nini it is just simple wewe sio Celeb so hata utamaduni wa Ma Celebs huujui pole sana hahahahahahaha

le Mutuz
 
Mkuu hujanijibu swali langu iwapo wewe ni raia wa nchi mbili (Marekani na Tanzania) au nchi moja (Marekani) badala yake unachenga kutoa jibu!

- hahahahahahaha tizama ulikoanzia mpaka ulipofikia hahahahahah umegiundua unacheza muziki wangu hahahahahaha

le Mutuz
 
- I am big Celeb ndio maana unanijadili hapa maana huu ni uwanja wa Celebs, ukitaka kujua kama ni Super Star angalia mada na viewers hahahahahahaha I am Super Star Celebs na sio kwa bahati mbaya U know and I love it!!

le Mutuz Nation
Basi faru john alikuwa superstar kuliko wewe...
 
le mbululazzzz..le akili kubwazzzzz.
Majibu yako burudani sana km mziki wa singeli.
ha ha ha haaa
u know!
 
Huyu jamaa nimepewa habari zake toka kwa mfanyakazi wao wa ndani.....!! Kadai jamaa huwa anafungiwa chumbani.... na kama akifunguliwa simu zake hukuta zimefichwa.....

Mara nyingi hutumia simu za BEKI TATU kuposti maupuuzi yake....[emoji23][emoji2][emoji16][emoji6][emoji2]
 
Ni vigumu kuamini kama Le Mutuz ni mtu mzima,post zake ziko kama za kijana aliyebarehe mwaka huu.

Ndiyo maana mkewe huko Marekani hataki hata watoto wake wamjuwe baba yao.....Just think of this: Mtu una mume ambaye akili zake anajifananisha na mwanaye au marafiki wa watoto wake. Mtu yuko 60 lakini anacheza michezo ya kitoto, kujipiga picha anakunya na kubandika fesibuku.
 
Seriously W. J. Malecela kindly re-think again on how you are portraying yourself to the community. This makes me wonder why you contested for the East African MP seat, Was this the kind of self you would have shown as an East African member of parliament?
Tuna watoto wa viongozi wawili ni ma super star. Le mtuzi le baharia na Andrew Nyerere
 
Ndiyo maana mkewe huko Marekani hataki hata watoto wake wamjuwe baba yao.....Just think of this: Mtu una mume ambaye akili zake anajifananisha na mwanaye au marafiki wa watoto wake. Mtu yuko 60 lakini anacheza michezo ya kitoto, kujipiga picha anakunya na kubandika fesibuku.

- hahahahahahahahaha wewe utanisoma tu na kunijadili maana mimi ni Big Celeb wewe sio hahahaha halafu amuaeni nina miaka mingapi 58 au 60 hahahahahahaha

le Mutuz
 
- Siku nikfikia huo umri nitakushitua kwa sasa ngoja niendelee kula batazzz batannn hahahahahahah ninawatesa mpaka mnaleta papers feki hahahahahahahahah U know

le Mutuz
Wawekee original umalize kilimi chao mkuu le mtuzi
 
Back
Top Bottom