Le Mutuz kwanini umetudanganya?

duh!!
 
Seriously W. J. Malecela kindly re-think again on how you are portraying yourself to the community. This makes me wonder why you contested for the East African MP seat, Was this the kind of self you would have shown as an East African member of parliament?
 
- Hapa tunahitaji wafagiaji wa ofisi karibu sana maana bora usafishe ofisi kuliko kupoteza bundle zako huku JF bure wenzako tunapiga pesa hahahahahahahah

le Mutuz
Haina shida kama price is right naomba mchongo.
 
Sawa mlibelari
 
Mtu mzima kisoda huyo. Mwili mkubwa akili ka sisimizi

- hahahahahahhaha na bado umelipia bundle kuja kunijadili hahahahahahahahahha sasa mimi na wewe akili finyu ni nani? maana mimi napiga pesa wewe je? hahahahahahahha

le Mutuz
 
Piga kazi uje nikulipe.

- hahahahahaha ndio maana nipo hapa napiga kazi wewe huna kazi cause mwanaume mwenye kazi hawezi kup[oteza siku nzima kuingia social media na majina ya bandia kurukia rukia wanaume asiowajua lazima ana matatizo fulani ya jinsia hahahahahaha

le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…