Le Mutuz kwanini umetudanganya?

Le Mutuz kwanini umetudanganya?

Mkuu, sijaelewa hapa maana kama na ww umo ktk hao wanaofuatilia?

Mkuu mimi ni member wa JF, huwa ninashangaa kuona posts za kumponda Le Mutuz zinaletwa humu, tena unakuta ni kwa vitu alivyoviandika Instagram.

Sasa najiuliza kama kila siku mnamlalamikia kwamba ana utoto mwingi na ninyi ni watu wazima, kwa nini mwendelee kufatilia posts zake?

Imagine thread kama hii eti ya "Kwa nini umetudanganya". Kipi mlichokitegemea kutoka kwa mtu mnayesema ana utoto kila siku? Hivi, ni nani anatakiwa kuonekana mtoto hapa?
 
Ok.nimekusoma, Mkuu.
 
ANapenda showoff sana mimi kila nikipishana na gari yake huwa nabaki na sikitika tu noah imegongwa gongwa nahisi zaidi ya kuangalia maji na oil hakuna service inayofanyika, superstar anatembelea gari mbovu? bora mm na ka ist kangu walau nakapenda

anapenda vile mnavyomshangaa wala hataitengeneze muendele kuongea hahahahaha karibu kambale
 
Huyu Jamaa kakosea aisee. nahisi alikuwa anataka asifiwe, atakuwa kainunua hiyo VERTU.
Alijua wote wanaomfuatilia ni tungusha kama yeye,hao wote walio-like hiyo post yake ni wale mashabiki maandazi wasiokuwa na uwezo wa kuchanganua mambo huo upuuzi ukiwa muelewa huwezi uka-like.
 
Kutokana na hiyo join date yako bila shaka utakuwa bado na kumbukumbu ya FM ES Masauti ya Umeme; mzee wa nondo!!!!

Mimi mwenyewe kwa kumbukumbu zangu leo ndo nimemkejeli Le Mutuz kwa sababu bado nina kumbukumbu za FM ES!!!! Lakini ukishazipoteza hizo kumbukumbu, utashangaa tu na wewe unaanza kumkejeli!!!

Namkumbuka sana jamaa sana Field Marshal, sana!

Kinachoboa ni ile unakuta mtu analalamika kwamba jamaa anamboa lakini ndo wa kwanza kuvisit insta page ya jamaa, kuvisit blog ya jamaa na kutuletea habari huku, sasa kama anaboa kwa nini uendelee kutafuta kuboreka?

Ni kama vile unajua mahali fulani kuna kinyesi kinatoa harufu halafu na una jinsi ya kukikwepa lakini kila siku unaenda huko kwenye harufu ukiikuta unalalamika, kesho unarudi tena na tena na kila siku unakuta hakuna mabadiliko na bado unakuja kulalamika.

Kama unakuwa entertained na utoto wa jamaa automatically na wewe unakuwa ni mtoto; hiko ndo nilichomaanisha.
 
Sijui fast jet lini itasitisha safari za huko kusini, manake naona sasa kumeingiliwa.
 
Namkumbuka sana jamaa sana Field Marshal, sana!

Kinachoboa ni ile unakuta mtu analalamika kwamba jamaa anamboa lakini ndo wa kwanza kuvisit insta page ya jamaa, kuvisit blog ya jamaa na kutuletea habari huku, sasa kama anaboa kwa nini uendelee kutafuta kuboreka?

Ni kama vile unajua mahali fulani kuna kinyesi kinatoa harufu halafu na una jinsi ya kukikwepa lakini kila siku unaenda huko kwenye harufu ukiikuta unalalamika, kesho unarudi tena na tena na kila siku unakuta hakuna mabadiliko na bado unakuja kulalamika.

Kama unakuwa entertained na utoto wa jamaa automatically na wewe unakuwa ni mtoto; hiko ndo nilichomaanisha.
Sehemu moja ndo naipenda zaidi! Le Mutuz mara kwa mara amekuwa akisema yeye ni Super Star na wanaopenda kumponda wataanza kumponda kwamba hana ustaa wowote! Lakini cha ajabu ndo hao hao ndio wanaoanzisha threads za Le Mutuz thus concluding kwamba kweli ni star!!!!
 
Wanaucheza muziki wake huku wanalalamika, kwa sababu yeye anapata rating kutokana na jinsi watu wanavyotembelea site zake, na ameshajua wabongo ni wafuatiliaji wa vitu vya kitoto na kijinga jinga, so anazidi kukazia hapo hapo.
 
Ahsante... watu wa social network and digital marketing watakuwa washaelewa kwa 105%!!!
 
ANapenda showoff sana mimi kila nikipishana na gari yake huwa nabaki na sikitika tu noah imegongwa gongwa nahisi zaidi ya kuangalia maji na oil hakuna service inayofanyika, superstar anatembelea gari mbovu? bora mm na ka ist kangu walau nakapenda
Turushie picha ya hiyo noah ya our first tanzania star
 
Back
Top Bottom