Le mutuz na Lulu wakila bata: u know, le tamkoz coming soon

Le mutuz na Lulu wakila bata: u know, le tamkoz coming soon

I het pipo wanao mpenda kumuongelea huyu kifurugobe mxxxiii

We ni punga ulie anzisha huu uzi
 
Yani hili zee kama halijasoma vile wala kuishi nje yani ana mambo ya kishamba sana mzee malechela kala hasara kwa hili jitu
 
- Hahahahaa I am just having Fun with my life U know and U know I am in love with my lifstyle na ninajua kuwa watu wengi wangependa kuwa na my lifestyle ila hwana jinsi U know so waniwache niendelee na my Fun, sina shida ya uwaziri wala anything I just want to have fun with my life asiyetaka AFWE for me!!

Le Mutuz

Yeah have fun with your life we live once you know! Ha ha haaaaaa me love it. No need for stress za uwaziri you know hapa tunakula batazzzzz. Ruttashobolwa my brother you come this way you know! Ha ha haaaaaa!! This is the real life
 
Last edited by a moderator:
- I am committed kuwepo Arusha for Kristmas na New Year si umeona matangazo ya Biashara ya Mt. Meru Hotel yanatumia my picha so nitakuwa huko U know, Zari is my super friend so is Diamond I wish all great Show leo and I spoke to them this morning!!

Le Mutuz

hicho ndo nachokupendea buana.. hata utukanwe vipi hukasiriki... big up le mutuz..
 
Nimeamini kuishi kwingi ni kuona mengi! kama kuna bullet proof basi hata maneno proof ipo coz kama kusemwa! kutukanwa hili jamaa yote yake kama mshipa wa fahamu huyu umenyongorota!
 
Kwa mm huwa naona kama anaupungufu wa akili coz mtu mwenye akili zake timamu hawezi kufanya kama anayofanya huyu tahira wa malechela yan anawaibisha wagogo wenzie😀
 
Le Mutuz ..mi nataka nifanye project na sinta ... u know .. ma celebrities mnajuana u know. . Ila mi mtoto sinta ndo vilee
 
- Wewe sio Big Celebirty so Super Star Actress Lulu hawezi ku hang oout na mtu anayeona aibu U know so haya mambo tuwachie sisi Big Celebrity!!, halafu pale Hilton si unajua Soda Buku 10 so hahahahahaha lazima mtumzima uone aibu hata kuangalia le wabebezzz wa ukhuweeeeeee U know me I love it!!

Le Mutuz

haaaaaahaaaaaahaaaaaa!!!!!
 
- Chezeya The King Of All Bongo Social Media Network hivi Mwanaume gani humu JF asingependa ku hang out na le mbebezzz Super Star Actress Lulu Michael? Please wanaume wazima mnaacha kazi kufuatilia maisha ya wanaume wengine vipi jamani? I mean kama nipo na Super Star Lulu tunakula batazz na wewe nenda utafute le mbebezzz na wewe ukare batazz sio kulia lia hapa kama mtoto sasa unafikiri ndio Le wabebez Super star watakuonea huruma? Hapa mjini hapa kila mtu anakula kwa urefu wa kama yake!! hahahahahahaha and I love it!!

- Si niliwaahidi jamani kwamba nyie mtanisoma tu mpaka mkome kufuatil;ia maisha ya wanaume wasiowahusu U know!!

Le Mutuz

Unaishia kupiga nao picha tu au unawatafuna pia mkuu?
 
Kale katoto kalivyo kafupi jamaa limekaa na bado likaina ili limfikie huyo mzee wapige picha, ila nasikia jamaa eti ni Kamuzu, cjui ni kweli!

Haaaah! Mkuu unamaanisha ama?
 
Eeh Mungu nisaidie nizeeke vizuri wanangu na wajukuu wawe proud na umri wangu. Tuseme wote amen
 
Lulu si angelisukuma tu hapo yaishe.....sipati picha jinsi ambavyo lingedondoka kama gunia LA maharage...
 
Back
Top Bottom