jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.
Alikuwa anajivunia kile cheo chake cha kuteka,kutesa,kuua na hatimae kwenda kutupa ufukweni chini ya Bregedia JiweHuyu jamaa alikuwa anawambia kuwa wanahisi wana vyeo kuliko yeye kumbe yeye ana cheo invisible.
Dah ila mako
William ndio alikua anamwambia kanyaga twende tumechelewa sana!
Highest level of hypocrisy.
William, Mungu anakuona.ULIKUWA BINADAM NA KIONGOZI WA KWELI KWA SABABU ULIKUWA HUMBLE NA ULISIKILIZA SHIDA YA KILA MTU TULIYEMLETA KWAKO .....LAKINI YOTE HAYO MAZURI YAKABADILIKA SIKU ULIPOPATA UKUU WA MKOA WA DAR Ndipo pole pole BINAFSI nikaanza kuiona TABIA YAKO MPYA KABISA AMBAYO NIKUAMBIE UKWELI NDUGU YANGU NDIYO INAYOKUGHARIMU SANA LEO ....ULIANZA TABIA YA KUMDHARAU KILA MTU IWE KIONGOZI WA JUU AU WA CHINI ....Isipokuwa ULIMHESHIMU RAIS CHUMA PEKE YAKE
cocochanel mbona umemtenga best yako baada ya kukosa cheo?
chuma cha mjerumani
Hii itajibu wengi.. na inbox zitapunguwa pia..
Enzi za kuburudika kuudhiana humu.. Mshana Jr alinikomentia siku moja kunifundisha juu ya kuacha.. kuandika maneno.. maana hata ya kiutani.. ilibidi nijifunze zaidi kidini.. yanafungamana na you.. na hivyo nikatambua.. vitagonga tu ndani kwako.. niliungama kuachana na maneno ya kuudhi tu watu.. was fun kubishana humu.. ila siku zimepitaa. Hadi kesho huwa siwezi kumsahau Mshana kwa kunifungua macho mapema kwenye maisha ya mtandaoni.. maneno.. .. nami ni mwananchi wa kawaida sina cheo wala chama.
Na mimi ni maarufu sana humu JF.. hilo halina Ubishi.. 😃.. najua kujiburandi 🤩
Nakumbuka hii slogan ilikuwa balaaWilliam ndio alikua anamwambia kanyaga twende tumechelewa sana!
Highest level of hypocrisy.
***...ya kale hayanuki, hayo yalikuwa enzi zile za giza, tuyazike Sasa na tugange yajayo.Hili jamaa ni linafki.Lilimtukana Nape kisa maamuzi ya kuunda tume kuchunguza uvamizi clouds fm.
Atakaambia alikuwa anamwogopa le kamandaHili jamaa ni linafki.Lilimtukana Nape kisa maamuzi ya kuunda tume kuchunguza uvamizi clouds fm.
HATA YULE MSANII MWENYE KIDERI HARMONIZEMakonda na Le Mutuz wote wanapenda kuandika in all caps.
Hili ni tatizo la elimu au nini?
Wakat wote walikua wanachumishwa mchicha na jerr muro[emoji23]Haha Lemutuz leo ni wa kumrarua bashite namna hii tena hadharani [emoji23][emoji23][emoji23]
AiseeWakat wote walikua wanachumishwa mchicha na jerr muro[emoji23]