Le Mutuz naye ampopoa Paul Makonda, amwambia dharau zimemponza

Nitaisoma
 
Kwangu Urafiki uliongezeka Pale siku moja BABA YANGU MZAZI ALIPONIOMBA NIKUPIGANIE BAADA YA KUMSHAMBULIA LOWASSA ambapo ni kama Dunia nzima ILIKUKIMBIA .....NIKAANZA KUKUPIGANIA KWENYE SOCIAL MEDIA....
Hi point hi, hi point nimeielewa sana...., nikiunganisha na ile point ambayo Fred aliwahi kumjibu jamaa yako those days, "kwamba Marko, nimekusaidia sana" halafu kumbe kuna na mzee wako nae, anyway iendelee kunyesha tu, panapo vuja paendelee kuonekana
 
Mjinga tu huyu Le mutuz pamoja na huyo Makonda mwenzake. Uzi mrefu lakini sio wa kumtaka Makonda aombe radhi kwa wananchi, bali anataka aombe radhi viongozi. Kwa mtazamo wake Makonda aliwakosea na kuwadharau tu viongozi!
Umeandika exactly niliyokuwa nayaona wakati naendelea kusoma comments zake, yaani yeye anaamini akiwaomba msamaha viongozi yote yanayomkuta yataisha !! Ndio maana kumbe walikuwa marafiki !! Thinking capacity zao zinafanana !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…