Le Mutuz naye ampopoa Paul Makonda, amwambia dharau zimemponza

View attachment 2185858

Nyota ya Makonda ni kali sana....machawa wa family ya Jakaya msimalize maneno
Mama hawezi kumvuta huyo anajuwa sumu na itamletea majanga kwenye siasa hakuna rafiki ni maslahi ya wakati huo tu. Makonda ukweli alikuwa na kiburi na dharau za ajabu huwezi kulalamikiwa na kila mtu halafu usiwe na kosa. Imagine mkuu wa mkoa tu kiburi kile huyu akiwa Raisi atafanya nini? kuna clip nyingi tu maneno ya shombo dhararu na kiburi juu ya watu leo wale wengine makatibu wa kuu wa chama wengine makamu na wengine mawaziri unadhani ana nafasi gani humo hakuna wanajuwa huyo mtu kafanya mengi mabaya na hata sijui siri ni nini JPM alimkumbatia mpaka dakika za mwisho akamtupa maana naamini JPM angetaka leo angekuwa mbunge wa Kigamboni lakini alimpiga chini alimuona ni hatari kwake pia. Kuna siri nzito yeye na JPM ningetamani sana kujuwa nini kilikuwa baina yao kufikia kumpa kiburi hichi.
 
Mag alipokua anatumbua watu ambao wengine walikua ni marafiki zake,akina Kangi na Kitwanga kwa mfano,watu walikua wanadhani ni mtu katili,hawakua wanajua kua JPM alijua wanafiki ni wengi.Uzuri Makonda kajionea mwenyewe na bilashaka kajifunza kitu kuhusu watu.
 
Wakuu tuwe na akiba! Ohoo!! Wauza madawa ya kulevya wana nguvu sana!! Tuwe makini! Makonda ana yake maovu, ila !!!!!?!!?
 
Sasa makonda aangalie aina ya marafiki aliokuwa nao.
MTU yeyote ! Narudia tena Mtu yeyote ambaye anapenda kusifiwa sifiwa na watu huwa anapata marafiki wengi waongo waongo ambao watakuwa wanamdanganya tu mambo mengi ya kumsifu ili wapate wanachokitaka kutoka kwake !! Lakini moyoni huwa hawako naye !! Wanasemaga mshahara wa mjinga Sifa !!!
 
Mjinga tu huyu Le mutuz pamoja na huyo mwenzake Makonda. Uzi mrefu lakini sio wa kumtaka Makonda aombe radhi kwa wananchi, bali anataka aombe radhi viongozi. Kwa mtazamo wake Makonda aliwakosea na kuwadharau viongozi tu.
wewe ndo mjinga
Lemutuz inawezekana kaangalia kundi ambalo linaweza kumfikia makonda na kumtwanga kirahisi au hata kumtenga hao wakikutenga umekwisha Mana hawezi kua hata mwenyekiti wamtaa wa ACt wazalendo wala balozi kundi hilo akiwaomba msamaha mojakwamoja mfano kikwete akasema tumemsamehe akamwombea nakwenu wanyonge Kama wewe nini kitaendelea hakuna
 
AGAIN NIMEAMUA KUKUANDIKIA KWA NIA NJEMA SANA ILI USIENDELEE KUKAA GIZANI NA KUJIDANGANYA KWAMBA UNACHUKIWA SANA ....HAPANA ....UKIKITATHMINI KWA UMAKINI SANA NI KWAMBA CHUKI NYINGI ZINAZOKUTESA LEO ULIJILETEA MWENYEWE ! Namuomba MUNGU AKUSAIDIE NA KUKUONYESHA NJIA SAHIHI YA KUPAMBANA NA MATATIZO YAKO..KUNA WATU ULIWAKOSEA WAOMBE RADHI!! -
 
huy
Huyu jamaa hawezi kumuandikia huyo rafiki yake bila kututukana sisi Wapumbavu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…