Le Mutuz naye ampopoa Paul Makonda, amwambia dharau zimemponza

Wananchi huwa wanabadilishwa kiurahisi tu,wewe huonagi wananchi wanamlaani kiongozi amewaletea maisha magumu kwa miaka 5 lakini wakati wa uchaguzi ujao wanalainishwa kwa maneno matamu wanampigia tena kura kiongozi huyo huyo.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
wasukuma wanadharau tena uzao wenye umri wa kijana
 
Maisha yanakimbia mbii za marathon jamani, chuma kashaufyata sasa miti inapigana
 
Unamshauri rafiki yako kwa kupitia Kipaza Sauti ili kila mtu asikie au unamshauri faragha ?

Kweli Binadamu na Unafiki ni Chanda na Pete....
 
Mjinga tu huyu Le mutuz pamoja na huyo mwenzake Makonda. Uzi mrefu lakini sio wa kumtaka Makonda aombe radhi kwa wananchi, bali anataka aombe radhi viongozi. Kwa mtazamo wake Makonda aliwakosea na kuwadharau viongozi tu.
Umemaliza kusoma uzi wote?
 

wewe...huyu jamaa.. ni true definition ya CHAWA HALISI.....huyu Lemutu na jamii ya wahindi hawana tofauti kabisa......Mhindi atakuwa rafiki ya MHESHIMIWA..HATA NYUMBANI KWAKE ..NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WANAWATAMBULISHA CHEO KIKIISHA TU NA NUMBER WANAFUTA KABISA......

KUNA MTU ALIMTETEA MAKONDA KAMA LEMUTU.....NAKUMBUKA HATA Roma Mkatoiki alivyotekwa ...Lemutu alikana hamjui kabisa....sishangai ili chawa aishi mjini kuwa hivi sio ajabu.........Ulivyoumwa jamaa hakuwa na mkono wake kwa matibabu yako.....Bora ufe umesimama kuliko KUWA CHAWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…