Le Mutuz naye ampopoa Paul Makonda, amwambia dharau zimemponza

wewe...huyu jamaa.. ni true definition ya CHAWA HALISI.....huyu Lemutu na jamii ya wahindi hawana tofauti kabisa......Mhindi atakuwa rafiki ya MHESHIMIWA..HATA NYUMBANI KWAKE ..NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WANAWATAMBULISHA CHEO KIKIISHA TU NA NUMBER WANAFUTA KABISA......

KUNA MTU ALIMTETEA MAKONDA KAMA LEMUTU.....NAKUMBUKA HATA Roma Mkatoiki alivyotekwa ...Lemutu alikana hamjui kabisa....sishangai ili chawa aishi mjini kuwa hivi sio ajabu.........Ulivyoumwa jamaa hakuwa na mkono wake kwa matibabu yako.....Bora ufe umesimama kuliko KUWA CHAWA
Nature teaches beasts to know their friends.
 
ZE AKILI ZANGU ZA ASUBUHI LIVE! WARAKA WANGU LIVE KWA NDUGU YANGU MARKO: Nimeusoma kwa MASIKITIKO MAKUBWA SANA WARAKA WAKO WA Baadhi ya Makundi katika Jamii kutaka KUKUMALIZA NA HASA KUKUNYONGA....NINAANDIKA WARAKA huu KWA SABABU YA MY AMERICAN SPIRIT ni kwamba wewe ni Ndugu yangu sana

SIJASAHAU the FACT That kuna WAKATI ULIKUWA UNANIAMINI MPAKA KUTOKA NA KUNIACHIA KINYWAJI CHAKO NA UKIRUDI UNAENDELEA NACHO..Ninakumbuka jinsi ULIVYONIPELEKA MPAKA KWENYE FAMILIA YAKO NA KUWAASA KWAMBA MIMI NI NDUGU YAKO na IKITOKEA UMEKUFA KWA SUMU MIMI NDIYE NILAUMIWE CAUSE NDIYE RAFIKI ULIYEKUWA UKINIAMINI 100%......

SERIOUSLY Wakati umefika kwa WATU WALIOKUWA KARIBU YAKO LIKE ME KUKUAMBIA UKWELI AMBAO NINAAMINI KWANZA UNAWEZA KUKUSAIDIA WEWE NA JAMII AT LARGE AMBAYO BADO INAHANGAIKA KUELEWA UNAYOYAPITIA ......NA NINAKUANDIKIA KWA NIA NJEMA KABISA ILI KUKUSAIDIA TU! ....

NI kwamba mimi na wewe tulikutana Mwaka 2012 kwa mara ya kwanza uso kwa uso wewe ukiwa unagombea UKUU WA UVCCM TAIFA na mimi ninagombea UBUNGE WA EAST AFRIKA ....na tulikutanishwa sana na Marehemu Masaburi kwenye Vikao vya kutafuta KURA ....Baada ya Uchaguzi ndipo TULIPOANZA KUWA KARIBU SANA ....

Then ukawa DC WA Kinondoni ninakumbuka nilivyopigana sana na @stevenyere2 KUKUFANYIA DINNER PARTY YA KUKUPONGEZA tukiwa na MFADHILI WA ILE PARTY .....MAMBO YALIKUWA POA KABISA TUKAWA TUNAHANGAIKA PAMOJA KUTAFUTA WAFADHILI WA MIRADI MIRADI YAKO MINGI KAMA DC NA SIKU ZOTE TULIFANIKIWA KWA SABABU .....TABIA YAKO ILIKUA PERFECT.......

Kwangu Urafiki uliongezeka Pale siku moja BABA YANGU MZAZI ALIPONIOMBA NIKUPIGANIE BAADA YA KUMSHAMBULIA LOWASSA ambapo ni kama Dunia nzima ILIKUKIMBIA .....NIKAANZA KUKUPIGANIA KWENYE SOCIAL MEDIA....

ULIKUWA BINADAM NA KIONGOZI WA KWELI KWA SABABU ULIKUWA HUMBLE NA ULISIKILIZA SHIDA YA KILA MTU TULIYEMLETA KWAKO .....LAKINI YOTE HAYO MAZURI YAKABADILIKA SIKU ULIPOPATA UKUU WA MKOA WA DAR Ndipo pole pole BINAFSI nikaanza kuiona TABIA YAKO MPYA KABISA AMBAYO NIKUAMBIE UKWELI NDUGU YANGU NDIYO INAYOKUGHARIMU SANA LEO ....ULIANZA TABIA YA KUMDHARAU KILA MTU IWE KIONGOZI WA JUU AU WA CHINI ....Isipokuwa ULIMHESHIMU RAIS CHUMA PEKE YAKE .....

PART TWO!: WARAKA WANGU KWA MARKO!: Ndugu yangu Marko Kosa lako kubwa sana liliokuletea haya MATUNDA MABOVU YANAYOKUSUMBUA leo ...NI HUKUWA NA HESHIMA KWA VIONGOZI WENZAKO....

Maandishi yako YANANISIKITISHA SANA cause HUONEKANI KUELEWA TATIZO LAKO MWENYEWE sasa kama kawaida UNAANZA KULAUMU MAKUNDI YANAYOTAKA KUKUMALIZA Ungejiuliza Swali moj a la msingi kabla ya kukimbilia kulalamika Instagram....

HIVI NI WEWE PEKE YAKO NDIYE ULIYEKUWA KARIBU NA CHUMA? kwani Waziri Mkuu hakufanya kazi Karibu na "CHUMA?" Kwani Rais wa sasa hakufanya kazi Karibu na "CHUMA" ...Mbona hakuna MAKUNDI YANAYOPANGA KUWAMALIZA KWENYE JAMII ISIPOKUWA WEWE TU? ....Ndugu yangu MTAFUTE MUNGU MPIGIE MAGOTI AKUSAMEHE MAKOSA ULIYOWAFANYIA KWANZA VIONGOZI WENZAKO.....

Narudia tena mimi nilikuwa mtu wako wa Karibu sana KOSA LAKO LA KWANZA UNALOTAKIWA KUUNGAMA MBELE YA PUBLIC NI KUWAKOSEA ADABU VIONGOZI WAKUBWA WENGI WA TAIFA ....TAFUTA VIONGOZI WA DINI WAKUSAIDIE KUWAFIKIA UWAOMBE RADHI KWA UKOSEFU WAKO WA ADABU MIMI NI SHAHIDI ULIWADHARAU SANA.....

Kwa mfano VITA YAKO NA MAKAMU WA RAIS DR. MPANGO ....Mwishoni mwa ile Vita mimi niligundua kwamba ULIKUWA NA MAKOSA kwa sababu "CHUMA" Aliniambia kwa simu akiwa Chato kwamba "NI WAZIRI WA FEDHA PEKE YAKE NDIYE MWENYE MAMLAKA YA KUSAMEHE KODI"...Nikaamua kumuandikia Waziri Mpango WARAKA WA KUMUOMBA RADHI IN the PUBLIC kama "CHUMA alivyonituma.....

ULIPOUONA ULE WARAKA UKANIKASIRIKA SANA HATA SHEREHE YANGU YA UZINDUZI WA KITABU CHANGU UKAGOMA KUJA KWA HASIRA ...sasa leo ungejitahidi KUWAOMBA RADHI VIONGOZI KAMA DR. MPANGO KWA JINSI ULIVYOWAKOSEA ADABU yeye na hata CAG Kichere......

Ninakumbuka siku moja WAZIRI WA SASA WA ARDHI alivyohangaika kukualika Sherehe yake Serena akaniomba nikufukishie ujumbe NAKUMBUKA SANA JIBU ULILONIPA yaani DHARAU NA UKOSEFU WA ADABU......

Ndugu yangu ninajua for a FACT jinsi Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne alivyokusaidia katika Maisha yako ya Siasa MPAKA AKAKUPA U DC ......lakini kumbuka uliyomlipa KUMTANGAZA MTOTO WAKE KUWA NI MUUZA UNGA....

Ndugu yangu hawa wote WANAHITAJI KUOMBWA MSAMAHA WA DHATI KUTOKA MOYONI .....ndugu yangu nimeamua kuvunja ukimya baada ya kuona UNAANZA KUTOKA NJE YA MSTARI so NIKAAMINI .....

PART THREE!:
WARAKA WANGU KWA MARKO!: Wabongo wengi ni wapumbavu sana cause hawana uwezo mkubwa wa kufikiri na KUONA MBALI .....ETI KWANINI NINAANDIKA HAPA? So Foolish yeye kwani KAANDIKA WAPI? INBOX AU INSTAGRAM?

.....ETI KWANINI HUKUMSHAURI ZAMANI kwa akili yako ndogo sana RC aliyekuwa anashindana na Mawaziri UNAWEZA KUMSHAURI NINI AKAKUSIKIA? WEWE NI NANI? ....AKILI NI MALI KILA MTU NA ZAKE ninamuandikia ndugu yangu SUPER FACTS sio kweli kwamba wote TUNAMCHUKIA ...lakini ni muhimu AKAKUBALI MAKOSA YAKE AMBAYO NDIYO YEMFIKISHA HAPO ALIPO YA KUTAKA KUMALIZWA NA BAADHI YA MAKUNDI YA JAMII KAMA NI KWELI....

Amtafute Mungu wake AMSAMEHE NA MUNGU ATAMUONYESHA NJIA YA KUWAFIKIA VIONGOZI WA JUU ALIOWAKOSEA SANA ADABU WAKATI ULE .....NI FACT HAMNA MAJUNGU na wewe Mwananchi wa kawaida kama kweli unampenda MARKO MUOMBEE AWEZE KUMUONA MUNGU AMSAMEHE ...

Ndugu yangu MIMI SINA TATIZO NA WEWE NEVER lakini NINAKUTANA KILA SIKU NA VIONGOZI NA WANANCHI WA KAWAIDA WENYE MATATIZO LUKUKI NA WEWE INASIKITISHA SANA WAKIANZA KUONGEA MAMBO ULIYOWAHI KUWAFANYIA .......Binafsi hukuwa kunifanyia Jambo kubwa baya na NINAKUBALI KUNA SEHEMU NYINGI ULINISAIDIA KAMA NA MIMI NILIVYOJITOA UFAHAMU KUKUPIGANIA......

Lakini leo mambo yamebadilika ....NIMEAMUA KUFUPISHA WARAKA ILI KUKUPA NAFASI YA KUKITATHMIN Ndugu yangu usije ukhangaika sana na MAADUI WA NJE anza kwanza na ADUI YAKO WITHIN WEWE MWENYEWE .. KUNA VIONGOZI ULIWAKOSEA NA KUNA WANANCHI PIA ULIWAKOSEA...

SIMAMA JUU UHESABIWE WAOMBE RADHI NA HASA MUOMBE MUNGU WAKO AKUSAMEHE MAMBO MENGI SANA AMBAYO YANAKUTESA LEO BILA YA WEWE KUJUA SABABU.....

AGAIN NIMEAMUA KUKUANDIKIA KWA NIA NJEMA SANA ILI USIENDELEE KUKAA GIZANI NA KUJIDANGANYA KWAMBA UNACHUKIWA SANA ....HAPANA ....UKIKITATHMINI KWA UMAKINI SANA NI KWAMBA CHUKI NYINGI ZINAZOKUTESA LEO ULIJILETEA MWENYEWE ! Namuomba MUNGU AKUSAIDIE NA KUKUONYESHA NJIA SAHIHI YA KUPAMBANA NA MATATIZO YAKO..KUNA WATU ULIWAKOSEA WAOMBE RADHI!! -

Le Mutuz Mobimba Nye Nye Nyeee umetema Super Facts[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Maisha yanabadilika tuishi na watu vizuri
FB_IMG_16497869137622637.jpg
 
View attachment 2185858

Nyota ya Makonda ni kali sana....machawa wa family ya Jakaya msimalize maneno
Sasa kwa hiyo picha mnataka wananchi wamueleweje huyu mama? Kumbukeni Rais/ mumewe/ mkewe hatakiwi kuwa na shutuma zitakzovunja heshima yake kwa jamii anayoiongoza!!
Mama amuangalie sana Bashite atamuharibia kazi ni vyema akamuweka mbali sana kama mwenye ukoma!
 
Heshima kwake professor Lemutuzi
 
Jiwe hakustahili kuwa hata baba wa familia. That dude was unstable in every sense of the word. That's a mf you keep on leash, a very tight leash.
Matatizo yanatokea kwenye familia zetu waafrika kwa sababu kama hizi. Kama sio Kila mtu anaweza kuwa kiongozi. Ndivyo hivyo siyo kila mtu anafaa kuwa baba au mama wa familia.
 
Kweli kabisa, mkuu. Kuna watu wengi sana hawapo sawa, ila tunachukulia mambo kirahisi tu.
 
MAISHA YA KUTEGEMEA CHAWA

⛔Ijapokuwa maisha ya sasa kwa watu maarufu na matajiri suala la kuwa na CHAWA wako wa kukusifu , kuwajibu wanaokushambulia n.k halikwepeki ila kumbuka yafuatayo wewe unayafuga machawa

⛔Kujishikiza chawa kwako ni kama beneficial paracite, kuna watu wamezaliwa wao maisha yao ni uchawa na hawawezi kufanya kazi nyingine yoyote mpaka anazeeka

⛔Kategory kubwa ya machawa wa mjini kwa sasa ni wajasiriatumbo,wameshagundua kuwa wewe ni mpenda sifa, muoga wa migogoro wao wanaifanya hiyo kazi na usidhani sifa wanazokumwagia ni za kweli, ni ili ufurahi wakuchune kiulaini

⛔Sasa wewe unayefuga CHAWA kumbuka kuna siku lichawa litapata akili ya kujitegemea, basi atabadilika kuwa ndio adui yako mkuu , ili apate umaarufu ataanza kukushambulia wewe

⛔Kuna siku CHAWA atanunuliwa au kwenda upande wa mpinzani wako, Hapa ndio utajua ukigeugeu wa chawa atakugeuka na kwa kuwa ana siri zako zote atakushambulia kana kwamba hajawahi kufaidi chochote kwako

OGOPA KUFUGA CHAWA KUNA SIKU ATAKUGEUKA
 
Kama kweli alikua mtu wake wa karibu na aliempambania basi uwezo wa kumshauri alikua nao.

Na si ajabu kwa sasa hawana huo urafiki ndio maana anamuandikia waraka insta. Sasa kwanini sasa hivi hawana urafiki ilhali hadi ana ukuu wa mkoa walikua bado wana.
Huyu lemutuz nae ni wa maslahi tu, hakuna urafiki hapo.
 
Back
Top Bottom