Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

Despite all the drama Le Mbebez is a cool fella.
Creative and entertaining.... Kila mtu ana mapungufu yake. At least yeye anafanya kitu.

- Mapungufu anayajua Mungu aliyeniumba tu, hahahahaha wengine wote ni binadam tu kama wengine wote so relax man hahahahahahaa ninaweza nikawa na mapungufu ila sio low mpaka kutukuana wanaume nisiowajua kwenye mitandao that can be the lowest binadam can get hahahahahahahaha hawa wote hawaniwezi si unaona hata picha za maisha yao hawana wanaogopa nini? hahahahahaha ndioo maana siku zote hapa wananipa platform ya kujitangaza na kuongeza biashara zangu za social media bila kujijua hahahahahahaha wajinga ndio waliwao

le Mutuz
 
Mungu amjalie hekima maana anapo elekea anapajua mwenyewe
 
- hahahahaha haibadilishi anything wewe na maisha yako madogo na mimi na maisha yangu ya batazzz ambayo huna hahahahaha

le Mutuz
Uambiwe tu ukweli hufai kuwa brand hata kidogo anayekujaza naye ajazwe personality na umri wako unatakiwa kupewa kituo cha orphans uwe unawachekesha na kuwapigia hadithi watokwe na upweke
Ni ushauri tu think about it grandpa
 
- hahahaha ona vitu hivyo hahahahahahahaha nafwaaazzz u know hahahaha

le Mutuz
 
Mshukuru sana kinje
 
- kazi ya kukarabati my new Studio inaendelea soon tutaanza kurusha matangazo ya Online TV na Streaming live from here na ikiisha itakuwa kama hiyo picha hapo pembeni ok hahahahaha ni maisha yangu ya taabu hayo hahahahahaha

le Mutuz
Kuna mkono wa kinje
 
Ndiyo maana watu wanakuona kuwa wewe ni empty brain,yaani unadhani wewe ndiyo una ela kuliko watanzania wengine?mbona hawajionyeshi kama wewe unavyofanya huo ulimbukeni?mshukuru sana kinje
 
Despite all the drama Le Mbebez is a cool fella.
Creative and entertaining.... Kila mtu ana mapungufu yake. At least yeye anafanya kitu.
Ni mtumwa wa kinje huyo nyie hamjui
 
Ndiyo maana watu wanakuona kuwa wewe ni empty brain,yaani unadhani wewe ndiyo una ela kuliko watanzania wengine?mbona hawajionyeshi kama wewe unavyofanya huo ulimbukeni?mshukuru sana kinje

- HAO unaowasema kazi yao sio Social Media kama mimi so ona maisha yangu ya taau haya hapo hahahahahahaha batazzz with Super Diva hahahahahahha maisha ya taabu hahahahahahahaha

le Mutuz
 
Jisikitikie

Wewe umeiga nini kama unadai mtu kuanzisha kitu ni kuiga!? Ingekuwa hivyo basi kila kitu duniani kingekuwa kimja kimoja.

Haya mambo yanakuja na ubunifu, wote hawawezi kuendesha kiusawa..so kaa mkao wa kupata uhondo ikianza.

Swahili TV mmeachana nayo?
 
Ni mtumwa wa kinje huyo nyie hamjui

- hahahahaha kijana mdogo tizama ulikoanzia mpaka ulipofikia hahahahaha Kinje ndiye alioyenilipia maisha yangu majuu miaka 30 hahahahaha maana anakulipia na wewe usingejua asingekuwa anakulipia hahahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…