Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

- hahahahaha ningekuwa na umri kama wako nisingepoteza muda na majina ya bandia kurukia wanaume nisowajua kwenye mitandao licha ya kutafuta umri wao kwa mtoto wa kiume ungejiangalia wewe kwanza kama upo sawa au? hahahahahha

le Mutuz
Sawa mkuu wewe naona ni sikio la dawa, yaani huwezi ongea lugha inayoendana na umri wako kabisa, au laana!!. Hiyo TV yako ikiwa vizuri nitakuwa wa kwanza kuangalia.
 
- Maisha yangu yapo safi na poa sana, sijawahi kuiba cha mtu always ninaishi maisha yangu na sasa hivi ninafanya mambo yangu ya pesa bila tatizo, hahahahaha nashangaa kwa umri wako na kuandika kwa majina ya bandia ukiwa mzee si utakuwa mchawi kabisa hahahahahahaha mimi huniwezi ngoma kubwa sana hii jhahahahahah

le Mutuz
Uende kwa kaburi la mzee wetu mpendwa ukatambikiwe, hiyo laana ikutoke si bure. Kwanza kwa legacy ya mzee unamtia aibu sana
 
Sawa mkuu wewe naona ni sikio la dawa, yaani huwezi ongea lugha inayoendana na umri wako kabisa, au laana!!. Hiyo TV yako ikiwa vizuri nitakuwa wa kwanza kuangalia.

- seriously unataka nisikilize ushauri wa majina ya bandia? hahahahaha niende mbele ya watu wenye akili niseme huu ushauri nilipewa na watu wenye majina ya bandia? hahahahahahahhaha si watanishangaahahaha inaelekea una laana so unadhani kila mtu ni kama wewe hahahahahahahha

le Mutuz
 
Uende kwa kaburi la mzee wetu mpendwa ukatambikiwe, hiyo laana ikutoke si bure. Kwanza kwa legacy ya mzee unamtia aibu sana

- yaani mtu ukiishi maisha mazuri kama ninayoishi unakuwa na laana? basi naomba mniongezee ili nile batazz zaidi hahahahahaha

le Mutuz
 
- Maisha yangu yapo safi na poa sana, sijawahi kuiba cha mtu always ninaishi maisha yangu na sasa hivi ninafanya mambo yangu ya pesa bila tatizo, hahahahaha nashangaa kwa umri wako na kuandika kwa majina ya bandia ukiwa mzee si utakuwa mchawi kabisa hahahahahahaha mimi huniwezi ngoma kubwa sana hii jhahahahahah

le Mutuz
William huwa unanishangaza sana na matambo yako ya sijui pesa sijui nini vile! Hivi kama una pesa kiasi hicho nini sababu ya kuacha mama yako akafa katika dimbwi la umasikini namna ile kama tulivyoona zile picha? au wewe hukuwa na mpango naye shauri ya mabebez?
 
- yaani mtu ukiishi maisha mazuri kama ninayoishi unakuwa na laana? basi naomba mniongezee ili nile batazz zaidi hahahahahaha

le Mutuz
Hongera jomnba
Ila nasikia mwezihuu au Dec utahudhuria tena after school bash na kukaa siti za mbele km kawa
1bf78bb53901dbf32be0c44ed69db19c.jpg

Hivyo natarajia utajirekodi na kurusha Live kupitia Online TV unayoianzisha
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
IMG_20161031_234555.jpg

- Nitakuwa home relaxing kama hapo kwenye picha so au? hahahahhahahahaha

le Mutuz
 
William huwa unanishangaza sana na matambo yako ya sijui pesa sijui nini vile! Hivi kama una pesa kiasi hicho nini sababu ya kuacha mama yako akafa katika dimbwi la umasikini namna ile kama tulivyoona zile picha? au wewe hukuwa na mpango naye shauri ya mabebez?

- Biblia inasema ni makosa kujadili Marehemu na kama unataka fungua thread maalum for that hapa sio, pole sana bado mpaka leo una hasira na mimi kiasi hicho mkuu toka miaka ile tunaanzisha JF mpaka leo? maana haya maneno umeyaandika kwa hasira sana hahahahaha pole sana huku bongo maisha yanaendelea hatusumbuliwi na kelele za mlango ona hapa chini

PhotoGrid_1482781799877.png
 
@lemutuz_nation - THE GOOD NEWS.......LE MUTUZ TV ONLINE (LTO) ....nilianzia Jamiiforums ...nikaingia Facebook ...nikafungua Blog yangu Mwaka 2012....Mwaka 2014 nikajiongeza kwenye all the Social Media tools pamoja na Instagram ...kote humo tulichofanya ni KUJITOFAUTISHA NA WENGINE ndicho kilichotufanya tufikie hapa tulipo na Social Media ...now its about time NIAMEAMUA KUSOGEA MBELE TENA to the Next step ....yaani LE MUTUZ TV ONLINE & STREAMING LIVE ....ni an expensive PROJECT na ndio hasa iliyokuwa sababu ya Safari zangu za hivi Karibuni to CHINA, MACAU, HONG KONG na JOHANNESBURG/SOUTH AFRICA ...ilikuwa ni matayarisho ya kuingia into TV ONLINE ...so now I am ready to go ...kwanza ni makamilisho ya ujenzi wa Studio ambao tayari umeshaanza at the TANCOT HOUSE gorofa ya Tatu pale Posta Mpya ....ujenzi utachukua like Mwezi mzima wa June na by the middle of July tutaanza kuwa rasmi hewani ...na kama kawaida yangu kama nilivyofanya kwenye Social Media I am looking FORWARD TO CHANGE THE GAME sio kisindikiza wengine tu ....NEVER ...so guys huko kwenye Online TV Industry get ready I AM IN.. So help me God!... KAMA UNA USHAURI AU MAONI YA KUSAIDIA PLEASE NITUMIE NAYAPOKEA BILA UBISHI! - le Mutuz Nation -

Ameirusha saa moja iliyopita
View attachment 515599

==========
Hongera sana Mr. W. J. Malecela kwa wengi tunasubiria. Na mimi ni mmoja wa tulioanza kukusoma humu tangu... hadi instagram. Mola azidi kukuongoza na kukusimamia.

Umetumwa...?
 
Back
Top Bottom