Messages:
201
Likes Received:172
Trophy Points:
60
New
chige said:
↑
E bhana eh!! Kama Online TV tu imemfanya apite kote huko basi siku akija kuanzisha japo sawa na Star TV itabidi afike hadi mwezini; na akienda level za Azam TV atalazimika kwenda beyond the solar system kabisa!!!
Equipments for Online TV unaweza kuagiza hata ukiwa ndani ya daladala coz' all you need is internet connected device na online payment processor yenye pesa ya kutosha...!!! Sasa alienda kote huko kufanya nini!!!!!!
Anyway, Best Wishes Le Mutuz popote ulipo lakini majuzi tu hapa nilikuponda kuhusu blog yako ambayo ranking yake ni very low!!
Ungeanza kuipandisha chat blog yako ingekuwa umefanya jambo la maana sana kwa ajili ya hiyo Online TV!!!
- Nilipofungua Blog niliambiwa maneno kama haya mbona zipo nyingi sana, so ni maneno ya wakosaji wasiokuwa na maisha huwa siyasikilizi, Blog yangu iliishia kuwa tofauti na ndio hata hii TV online nakuja kivingine, kama unayoyasema ni kweli basi Millardayo asingetumia mamilioni kama yale kujenga studio ya online, pole sana ila utakufa kwa wivu na chuki
le Mutuz