Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

@lemutuz_nation - THE GOOD NEWS.......LE MUTUZ TV ONLINE (LTO) ....nilianzia Jamiiforums ...nikaingia Facebook ...nikafungua Blog yangu Mwaka 2012....Mwaka 2014 nikajiongeza kwenye all the Social Media tools pamoja na Instagram ...kote humo tulichofanya ni KUJITOFAUTISHA NA WENGINE ndicho kilichotufanya tufikie hapa tulipo na Social Media ...now its about time NIAMEAMUA KUSOGEA MBELE TENA to the Next step ....yaani LE MUTUZ TV ONLINE & STREAMING LIVE ....ni an expensive PROJECT na ndio hasa iliyokuwa sababu ya Safari zangu za hivi Karibuni to CHINA, MACAU, HONG KONG na JOHANNESBURG/SOUTH AFRICA ...ilikuwa ni matayarisho ya kuingia into TV ONLINE ...so now I am ready to go ...kwanza ni makamilisho ya ujenzi wa Studio ambao tayari umeshaanza at the TANCOT HOUSE gorofa ya Tatu pale Posta Mpya ....ujenzi utachukua like Mwezi mzima wa June na by the middle of July tutaanza kuwa rasmi hewani ...na kama kawaida yangu kama nilivyofanya kwenye Social Media I am looking FORWARD TO CHANGE THE GAME sio kisindikiza wengine tu ....NEVER ...so guys huko kwenye Online TV Industry get ready I AM IN.. So help me God!... KAMA UNA USHAURI AU MAONI YA KUSAIDIA PLEASE NITUMIE NAYAPOKEA BILA UBISHI! - le Mutuz Nation -

Ameirusha saa moja iliyopita
View attachment 515599

==========
Hongera sana Mr. W. J. Malecela kwa wengi tunasubiria. Na mimi ni mmoja wa tulioanza kukusoma humu tangu... hadi instagram. Mola azidi kukuongoza na kukusimamia.
Pamoja kaka.
 
Ubunifu zero kabisa kilakitu anamwiiga millardayo.com ukiangalia hata blog yake magazeti yote asubuhi anakopi kutoka millardayo.com tena yakiwa na logo ya millardayo
Shame on you....!
Hajitambui huyo mpenda saifa maana ni empty brain
 
- hahahahhaa hakuna lolote kule mimi ni Mkurugenzi na huku ni mali yangu mwenyewe binafsi, Clouds ni ya Joe na THT ni ya Ruge, lakini wapo pamoja Clouds, NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK!! HAHAHAHAHHA

LE MUTUZ
kwanini ulimuondoa Ruge kwenye group lenu la whatsapp la marafiki wa Bashite?
 
Le Mutuz akiwa na umri wa miaka 2 (1992)
c6b32dac7a21a6d1aa690443b80bb61b.jpg
Hivi iyo cheni ni hirizi au?

Maana hajaivua hapo shingoni tangu mwaka 1969
 
Dr Simba said:
Mimi ilo jamaa linanichefua sana

- SAwa sawa tatizo ni you are no body so it does not matter ok hahahahaha

le Mutuz
Juzi moshi tumekaa meza moja na wewe, kilewo, nsando, jacob nk. Nikakutazama maongezi yako nikacheka sana hasa kukumbuka ambacho unakiandika huku JF na ulichoenda kukiandika Insta baada ya pale [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
E bhana eh!! Kama Online TV tu imemfanya apite kote huko basi siku akija kuanzisha japo sawa na Star TV itabidi afike hadi mwezini; na akienda level za Azam TV atalazimika kwenda beyond the solar system kabisa!!!

Equipments for Online TV unaweza kuagiza hata ukiwa ndani ya daladala coz' all you need is internet connected device na online payment processor yenye pesa ya kutosha...!!! Sasa alienda kote huko kufanya nini!!!!!!

Anyway, Best Wishes Le Mutuz popote ulipo lakini majuzi tu hapa nilikuponda kuhusu blog yako ambayo ranking yake ni very low!!

Ungeanza kuipandisha chat blog yako ingekuwa umefanya jambo la maana sana kwa ajili ya hiyo Online TV!!!
Hizi comments zingine mnatuvunja mbavu kwa kweli. All the best Le Mutuz
 
Acha maneno weka mziki, haina haja ya kujinadi kihivyo. Weka vitu watu waone!

- pole sana mkuu hii ni biashara ya media ni lazima kujinadi mapema mapema pole sana ingekuwa kama wewe unavyouza mbuzi haina sababu ya kujinadi hahahahaha

le Mutuz
 
Messages:201
Likes Received:172
Trophy Points:60
New
chige said:
E bhana eh!! Kama Online TV tu imemfanya apite kote huko basi siku akija kuanzisha japo sawa na Star TV itabidi afike hadi mwezini; na akienda level za Azam TV atalazimika kwenda beyond the solar system kabisa!!!

Equipments for Online TV unaweza kuagiza hata ukiwa ndani ya daladala coz' all you need is internet connected device na online payment processor yenye pesa ya kutosha...!!! Sasa alienda kote huko kufanya nini!!!!!!

Anyway, Best Wishes Le Mutuz popote ulipo lakini majuzi tu hapa nilikuponda kuhusu blog yako ambayo ranking yake ni very low!!

Ungeanza kuipandisha chat blog yako ingekuwa umefanya jambo la maana sana kwa ajili ya hiyo Online TV!!!

- Nilipofungua Blog niliambiwa maneno kama haya mbona zipo nyingi sana, so ni maneno ya wakosaji wasiokuwa na maisha huwa siyasikilizi, Blog yangu iliishia kuwa tofauti na ndio hata hii TV online nakuja kivingine, kama unayoyasema ni kweli basi Millardayo asingetumia mamilioni kama yale kujenga studio ya online, pole sana ila utakufa kwa wivu na chuki

le Mutuz
 
- pole sana mkuu hii ni biashara ya media ni lazima kujinadi mapema mapema pole sana ingekuwa kama wewe unavyouza mbuzi haina sababu ya kujinadi hahahahaha

le Mutuz
Fuatilia kiundani kujua ni watu wangapi wanasoma habari za kiblog chako
 
Back
Top Bottom