Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

- Ruge ana THT na Joe ana Clouds International, lakini wanakutana Clouds Media so na mimi kule ni hivyo hiyvo LE Mutuz TV ni yangu hahahahahahaha

le Mutuz

[emoji23] [emoji23] [emoji23] mtazamaji wako bashite
 
Messages:201
Likes Received:172
Trophy Points:60
New
Umetoa wapi hii na inahusiana nini na hiki ulichoandika hapa chini?
Halafu unaandika: Eti wivu na chuki!!! Yaani we jamaa unaona kila mtu ana wivu na wewe...!! Yaani hata mtu anayejaribu kukushauri unamuona ana wivu na chuki na wewe!!! What's so special ulichonacho cha mtu kukuonea wivu?!

Kama kuwa na blog yenye poor traffic na Instagram Account yenye less than 1M followers nakuonea wivu; Millard Ayo atasemaje nikikutana nae?!

Oh! Millard Ayo nimeenda mbali sana! Jamaa wa Bongo5 au hata Swahili Times watasema nini?!
 
Na mosha ingawa saa zingine mosha huwa anaona aibu kuongozana nae
Kweli mkuu huyu jamaa anatia aibu sana yaani umri kama wake anaona ufahari kuhangaika na mademu?sijui hata kama Ana mtoto wa kumuita baba
 
Hongera Le Mutuz kwa kumiliki TV ya online you are humbled you know ha ha ha ha.
 

Jamaa inaonekana huyu bwana lemutuz una wivu naye sana. Unajua kumuongelea mtu usiyemjua sio kawaida sana labda saloon. Moja ya matatizo la WTZ ni Wivu na kutopenda Maendeleo ya mwingine. MTU kaweka Tangazo sasa haya maneno mengine umri sijui wabebezi yanatoka wapi. Why kuanza kuangalia "HALF EMPTY GLASS OF WATER BADALA YA HALF FULL GLASS OF WATER ".Unaona kabisa yani Watu Kama wametumwa Hivi maneno juuuu. Mitandaoni Ni mahali pa kusoma Watu wanapenda nini na wewe unatumia hiyo Kwa faida yako mwenyewe. Watu wa humu hawanaga akiba ya maneno. Ikiwa ya mtu anayemshabikia utaskia Maisha yake binafsi we yanakuhusu nini. Ila upande wa pili yanakuhusu. Ushauri wa bure Kama we kweli hupendi na wala hutaangalia basi kaa kimya mana 50mll TZNS ni wengi. Heri kufanya kitu kuliko kuwa mtu wa maneno ya kukashfu jitihada Za wengine Kwa kisingizio cha ubaguzi iwe jinsia. Umri kabila etc.
 
Hah
Hahahahahahahahaha, waache wana JF wachangie hamna wivu wala nini, Babu naye ana matatizo yake kwa umri wake. So kubalini both positive and negative comments, hahahahahahaha
 
Hah

Hahahahahahahahaha, waache wana JF wachangie hamna wivu wala nini, Babu naye ana matatizo yake kwa umri wake. So kubalini both positive and negative comments, hahahahahahaha
Kubali wivu au unamaanisha kuchangia ni kujamba .hufikiri huangalii mada. Hapo neno comment unaelewa msingi wake .na positive na negative unaelewa kweli tofauti yake na majungu. The deed is always judge by its intention.hakuna anayekataza kuchangia ila una changia au unamwaga frustrations zako .
 
Sorry mkuu, huwa siwezi malumbano naona umekasirika sana na wakati mzee naye ana matusi kwelikweli. Ungeona comments zangu za jana ungejua namuunga mkono kwa hako kaproject kake ila apunguze sifa na awe na PR nzuri tu. Otherwise tukubali kutofautiana wakati mwingine, natumai hakuna la ziada mkuu. Weekend njema
 
- hayo yalikuwa ni maisha ya mama yangu Tunduma, labda ukuonyesha maisha bora ya mama yako kijijini ndio utakuwa na moral ya kuulizia wengine hahahahahaha kalete zingine hahahahahahahhaha



le Mutuz

Muone huyu [emoji23][emoji23] mama yangu kazaliwa mjini anaishi mjini na wala haitaji msaada wangu wewe wako alikuitaji ila ukampotezea na kumuacha kwenye mazingira ya kimasikini huku mjini ukijidai unakula bata looh aibu yako hii haifutiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…