Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

Huyu babu lemutuz mjinga sana kwa umri wake sio wa kuwa kwenye entertainment atafute shamba alime afuge kuku awe na assert za kumsogeza akijishindwa sabab siku siyo nyingi pale
 
Endelea kumweka sawa huyo ajuza, naona anaweweseka huko aliko [emoji2] [emoji3]
Nimekua nikimkosoa sana Lemutuz Popote , ila kwa aliteweka hii kitu humu nadhani kakosea . , hakuna haja ya kufanya hivi kwa mtu , kitu hiyo ipo Too personal halafu pia kuna haja Gani ya kumkumbusha mtu machungu yake Jus B'cause of hizi Discusion tunazoendelea nazo humu.
Umefika mbali. , mm nadhani hata Lemutuz huwa anaelewa Binadamu walivyo, unapotaka kufanya kitu usitegee jamii nzima ukikubali , lakini sasa kufika ulipofika ww ni dhairi hata hujui maana ya maisha nini.
Tuchalengiane kibiashara and so on. .. but huku duuh.
 
Hii service ingekuwa nzuri kwangu, ila kwa vile nishakuona tu wewe bhaaaasi, hii ishakuwa batili...ni wale wale

Fuatilia wewe na bwanako sisi huku tunajenga taifa

Cc: Cocochannel
 
Keep it up man, when it comes to hustling na muheshimu sana mtafutaji.
 
Mzee wake kahesabu hasara


- JANA kuelekea batannn na Rangi ya Mtume, sasa imagine makelele yote haya sisi maisha yanaendelea kama kawaida hahahahahahah poleni sana ona maisha hayo yaani kazi na batazzz na Super Mtindizz hahahaha U know

le Mutuz
 
Huyu babu lemutuz mjinga sana kwa umri wake sio wa kuwa kwenye entertainment atafute shamba alime afuge kuku awe na assert za kumsogeza akijishindwa sabab siku siyo nyingi pale


- hahahahahha kama kawaida Friday Night batannn pamoja na makelele yote haya watu tunaishi tunakula bata na wabebezz Rangi ya mtume, wewe piga kelele huku sisi tunaendelea na maisha U know hahahahahahahha I lov it

le Mutuz
 


- hahahahahha ona maisha yanavyoendelea na makelele yako yote hahahahahaha nipe wiki 3 nitakuwa hewani na Online TV, na hutabadili lolote, tayari nimeshaingia mkataba na Vodacom, ASAS, pamoja na Amariah Hotel. Hao wote uliowataja size yangu ni Millard tu wote tunadhaminiwa na Vodacom, hao wengine nitajie wadhamini wao hahahahahahahhaa

- Pole sana hapa ni ngoma kubwa mkuu wewe piga kelele zako huko vichochoroni sisi huku mjini tunafanya kweli hahahahaha

le Mutuz
 


- Halafu ninakribia kuoa le mbebezzz so ni lazima kumtambulisha kwa Rafiki wa kweli, here majuzi na my babe Hilton Hotel hahahahahaha wewe piga kelele huku JF sisi huko Duniani tunaishi kweli hahahahahahaha U know

le Mutuz
 
jamani TV online mbona rahisi sana hata Mimi nafungua tu ilimradi Nina google account
Duuh! nadhani inategemeana na quailty,Le Mutuz yeye anasema anawekeza 40M,wewe unasema ni google account tu,duuh! umetisha,sasa kufanya interview utakua unafanyia kwenye google account au kwenye chumba maalum ambacho ni sound proof ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…