Babuu blessed
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 1,362
- 490
Mimi nipo later 20. Naitwa kijana huyu mzeee unamfananisha na mm ca monUnatia huruma kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nipo later 20. Naitwa kijana huyu mzeee unamfananisha na mm ca monUnatia huruma kijana
Kama ni gari basi hiyo nut ni ya kwenye gear box
Mzee wake kahesabu hasara[emoji23] [emoji23] au kama umetia chumvi kwenye rejeta
Mzee wake kahesabu hasara
Ni aibu sana mkuuAisee ni soo Nshonzi
Akiwa ndugu yangu namkana
Ataendaje msibani na pensiEndelea kumweka sawa huyo ajuza, naona anaweweseka huko aliko [emoji2] [emoji3]
- hahahahaha haibadilishi anything wewe na maisha yako madogo na mimi na maisha yangu ya batazzz ambayo huna hahahahaha
le Mutuz
Nimekua nikimkosoa sana Lemutuz Popote , ila kwa aliteweka hii kitu humu nadhani kakosea . , hakuna haja ya kufanya hivi kwa mtu , kitu hiyo ipo Too personal halafu pia kuna haja Gani ya kumkumbusha mtu machungu yake Jus B'cause of hizi Discusion tunazoendelea nazo humu.Endelea kumweka sawa huyo ajuza, naona anaweweseka huko aliko [emoji2] [emoji3]
Keep it up man, when it comes to hustling na muheshimu sana mtafutaji.- Mapungufu anayajua Mungu aliyeniumba tu, hahahahaha wengine wote ni binadam tu kama wengine wote so relax man hahahahahahaa ninaweza nikawa na mapungufu ila sio low mpaka kutukuana wanaume nisiowajua kwenye mitandao that can be the lowest binadam can get hahahahahahahaha hawa wote hawaniwezi si unaona hata picha za maisha yao hawana wanaogopa nini? hahahahahaha ndioo maana siku zote hapa wananipa platform ya kujitangaza na kuongeza biashara zangu za social media bila kujijua hahahahahahaha wajinga ndio waliwao
le Mutuz
Mzee wake kahesabu hasara
Huyu babu lemutuz mjinga sana kwa umri wake sio wa kuwa kwenye entertainment atafute shamba alime afuge kuku awe na assert za kumsogeza akijishindwa sabab siku siyo nyingi pale
Umetoa wapi hii na inahusiana nini na hiki ulichoandika hapa chini?
Halafu unaandika:Eti wivu na chuki!!! Yaani we jamaa unaona kila mtu ana wivu na wewe...!! Yaani hata mtu anayejaribu kukushauri unamuona ana wivu na chuki na wewe!!! What's so special ulichonacho cha mtu kukuonea wivu?!
Kama kuwa na blog yenye poor traffic na Instagram Account yenye less than 1M followers nakuonea wivu; Millard Ayo atasemaje nikikutana nae?!
Oh! Millard Ayo nimeenda mbali sana! Jamaa wa Bongo5 au hata Swahili Times watasema nini?!
Sorry mkuu, huwa siwezi malumbano naona umekasirika sana na wakati mzee naye ana matusi kwelikweli. Ungeona comments zangu za jana ungejua namuunga mkono kwa hako kaproject kake ila apunguze sifa na awe na PR nzuri tu. Otherwise tukubali kutofautiana wakati mwingine, natumai hakuna la ziada mkuu. Weekend njema
Duuh! nadhani inategemeana na quailty,Le Mutuz yeye anasema anawekeza 40M,wewe unasema ni google account tu,duuh! umetisha,sasa kufanya interview utakua unafanyia kwenye google account au kwenye chumba maalum ambacho ni sound proof ?jamani TV online mbona rahisi sana hata Mimi nafungua tu ilimradi Nina google account