Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

- haya ndio maisha yangu mkuu ninaposafiri nakaa sehemu kama hizi, hahahahahahhaa umri baki nao mimi naendelea na maisha U know hahahahahahahhaa

le Mutuz
 
- hahahahahhaa eti niambie wenye blog wote Tanzania wanasafiri hivi kama mimi? hahahahahhahahahaa

le Mutuz
Nonsense!!! Yaani we jamaa kama ingekuwa hujawahi hata kutoka nje ya Tanzania basi ungekuwa na ushamba uliopitiliza!!! Ndio maana hata usipoulizwa "....nimeishi majuu miaka 30!" Hata kama hakuna aliyekuuliza, utasikia "...nina degree 3!"
 
- hapo ni nyumbani kwangu sasa niambie kuna kids wanaishi hivi? hahahahahahha weka unapoishi basi tuone kama tunalingana hahahahahahaa

- huyo ni baba yangu mzazi siku ya sherehe za blog yangu kufikisha miaka 3 pale Kempisk Hotel, nimesoma Bunge Primary School, halafu Jamhuri Primary School Mnazi Mmoja, Sekondari Morogoro, nikaenda Majuu hiyo sio CV ya mshamba hahahahahaha mshamba ni wewe usijua lolote zaidi ya chuki na wivu utaisoma tu

le Mutuz
 
- haya ndio maisha yangu mkuu ninaposafiri nakaa sehemu kama hizi, hahahahahahhaa umri baki nao mimi naendelea na maisha U know hahahahahahahhaa

le Mutuz
Hata mtoto mzuri Tunda hayo ndo maisha yake....

Nonsense!!! Yaani we jamaa kama ingekuwa hujawahi hata kutoka nje ya Tanzania basi ungekuwa na ushamba uliopitiliza!!! Ndio maana hata usipoulizwa "....nimeishi majuu miaka 30!" Hata kama hakuna aliyekuuliza, utasikia "...nina degree 3!"

- Kigali hiyo, hahahahaha mkuu haya ndio maisha yangu mkuu mimi sio level yako, unapigana na ukuta now kumbuka nilienda huko kupiga kazi yangu ya Social Media hahahahahahahahhaa ki blog ona kinakonifikisha hahahahahaha

le Mutuz
 
- hapo ni nyumbani kwangu sasa niambie kuna kids wanaishi hivi? hahahahahahha weka unapoishi basi tuone kama tunalingana hahahahahahaa

le Mutuz
Nani kasema wewe ni kid?! Wewe ni mzee mwenye akili sawa na za high school kids na ndio maana ingawaje Instagram wapo wazee kama wewe lakini katu huwezi kuwakuta wame-post picha za chumbani na uzwazwa wako huo!!!
 
- hahahahaha umesema akili zangu ni za kitoto sasa nakuuliza ni watoto wangapi wana maisha kama haya yangu? je na wewe unayo haya maisha? au wewe ndio tunda mtoto mzuri? hahahahahahhahaaa

le Mutuz
 
- Kigali hiyo, hahahahaha mkuu haya ndio maisha yangu mkuu mimi sio level yako, unapigana na ukuta now kumbuka nilienda huko kupiga kazi yangu ya Social Media hahahahahahahahhaa ki blog ona kinakonifikisha hahahahahaha

le Mutuz
Mwenzako huyu hapa...

Ungekuwa na akili ungejiuliza kwanini nakuwekea picha za Tunda... provided there's someone paying for you, hakuna jipya!!! Na ndio maana tangia muda wote huo unaonesha picha za hotelini kwa sababu unalipiwa! Onesha nyumba yako!! Na usioneshe apartment ya kupanga NHC/Msajili wa Nyumba ambayo hata kama ipo town bado pango lake ni dogo kuliko mtu aliyepanga mahali kama Temeke!!!
 
- hahahahaha umesema akili zangu ni za kitoto sasa nakuuliza ni watoto wangapi wana maisha kama haya yangu? je na wewe unayo haya maisha? au wewe ndio tunda mtoto mzuri? hahahahahahhahaaa

le Mutuz
Wewe sio mtoto bali ni zee linalokaribia 60 years lakini thinking capacity yako ni ya high school kid!!! Umekazana kuonesha picha za hotel ambazo unalipiwa wakati kwa mtu wa umri wako altitakiwa kuonesha nyumba anayomiliki!!!!!
 
- naomba nikuambie hivi nitaishi mjini maisha yangu yote, pamoja na kwamba nina shamba na nyumba pichani hapo juu na sasa hivi najenga mpya Mbweni pia, nashangaa unashindwa kuweka maisha yako u naweka ya tunda hahahahahahahha vipi huna maisha nini?

le Mutuz
 
Wewe sio mtoto bali ni zee linalokaribia 60 years lakini thinking capacity yako ni ya high school kid!!! Umekazana kuonesha picha za hotel ambazo unalipiwa wakati kwa mtu wa umri wako altitakiwa kuonesha nyumba anayomiliki!!!!!

- hahahahahahahahaha unasema watoto wote Tanzania wanamiliki shamba na nyumba kama mimi? hahahahahahahaha

le Mutuz

- hapo ni shambani kwangu niambie watoto wote Tanzania wana shamba kama mimi na wana nyumba kama mimi
 
Sasa huyo ndo wewe na umburula wako huo wa kutuwekea picha za vyumba vya mahoteli unayolipiwa!!!!

Sasa thaminisha hivyo unavyomiliki kisha rejea kwenye umri wako!!!! Kibanda hadi kanaotea majani hata finishing inakushinda halafu unakuja na mbwembwe zako hapa!!!!
 
Wewe sio mtoto bali ni zee linalokaribia 60 years lakini thinking capacity yako ni ya high school kid!!! Umekazana kuonesha picha za hotel ambazo unalipiwa wakati kwa mtu wa umri wako altitakiwa kuonesha nyumba anayomiliki!!!!!

- hahahahahahaha hili ni shamba langu Mbweni mkuu nimeshaanza nyumba ndogo kazi inakuja so relax hahahahahah

- na ujenzi wa Studio for Online TV ndio hivi unaendelea sasa suka unyoe hubadilishi kitu hahahahahahhaa pole sana hakuna mtoto anaweza kufanya haya mambo ni mazito na makubwa, by the way weka maisha yako hapa mkuu tuone kama tunalingana hahahahahaa

- IN THREE WEEKS NI SAFARI YA KOREA SOUTH KIKAZ ZAIDI HAHAHAHAHAHA

le Mutuz
 
- hahahahahahaa sasa mbona huweki nyumba yako tuone iliyokwisha hahahahahahaa wacha wewe tisha wajinga wenzako

- hahahaha umeona South hiyo hahahahahahaha

le Mutuz
 
- hahahahahahaha hili ni shamba langu Mbweni mkuu nimeshaanza nyumba ndogo kazi inakuja so relax hahahahahah
Sasa linganisha na majigambo yako ya kujifanya umepatia wakati ukithaminisha hapo hata 50 Million haifiki!!!
Kuhusu Online TV wadanganye maju'ha wenzako lakini wenye akili wanafahamu kuanzisha not that expensive!! Utaishia kuweka mapicha ya kwenye internet lakini cha maana hapo hakuna!!!

Jengo ni la NHC ambalo gharama zake ni ndogo hata ukilinganisha na majengo binafsi yaliyopo Uswahilini!!!!
 
- hahahahaha nikitaka ninaweza kuuza hapa nikamaliza ile nyumba, siipendi ile nyuma kwa sababu ipo karibu na my ex ndio maana natafuta mnunuzi nyumba yangu ya ukweli itakuwa hapa ok mkuu so wachana na mimi sio size yako nipo mbali sana na maisha hahahahahahahaha

le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…