Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

Jibu hayo maswali we mstaafu ili tuone ni kama ni kweli una hizo sifa za kujiita social media king!
Kilichopo kwako ni hata mimi hivi sasa naweza kujiita Social Media Emperor kwa sababu ulichofanya ni kujiita tu ingawaje hizo sifa haina!!!
 
Jibu hayo maswali we mstaafu ili tuone ni kama ni kweli una hizo sifa za kujiita social media king!

Kilichopo kwako ni hata mimi hivi sasa naweza kujiita Social Media Emperor kwa sababu ulichofanya ni kujiita tu ingawaje hizo sifa haina!!!

- tatizo sio kujiita ila ni kama kweli unalipwa pesa kwa kazi ya Social Media, mimi siku nikiacha kulipwa ndio nitaamini maneno yako lakini kwa maisha ninayoishi sasa bado ninajiamini sana na ndio maana ninapigana kuingia kwenye Online TV, unachokipigania hata sikielewi maana unatumia majina ya bandia lakini unataka kuongea ukweli HAIWEZEKANI hahahahaha so nakuona ni kichekesho na ninaomba tufike page 30 niondoke so keep on coming

le Mutuz
 
Kwanini uwaambie how popular you are kupita JF wakati publishing unafanyia kwingine?!

We tafuta watu wa kudanganya wewe!!! Yaani nikupe tangazo langu kwa sababu threads za JF kuhusu wewe zinakuwa na posts nyingi wakati tangazo linataka kuwa posted kwenye ka-blog kako?!

NI maju'ha wenzako ndio wanaweza kutumia maelezo kama hayo!!!!!

Kama tangazo langu nataka liwe instagram, nitaufanyia evaluation instagram account yako... PERIOD! Kama nataka Tweeter, nitaifanyia evaluation Tweeter Account yako!!!

Na kama kuna mtu anayekupa tangazo la kutolewa Instagram lakini evaluation anaifanyia JF basi hao ni mazwazwa wenzako wasiofahamu ni namna gani haya mambo yanaenda!!!
 

- hahahahahaha ni lazima niitaje JF kwa sababu ni Social Media pamopja na my other tools, unayejidanganya ni wewe mwenyewe mimi maisha yanaenda na infact tumeshafika page 30 tayari, so naomba uniruhusu niondoke maana ndicho nilichokuwa ninakitaka, hahahahahahaha pole sana mkuu, ila kuna Vijana ninaowaajiri ndio maana ile blog ipo on 24 hours, bakiza maneno maana nikianza online TV utaabikia sana cause ninajua ninachokifanya hahahahahahaha


le Mutuz
 
Sio ufike page 30 uondoke sema lazima uondoke manake badala ya kwenda kupambana na wanaomponda bwana mkubwa wako Makonda leo umepoteza muda JF kubandika picha za wasichana unaowafanyia ukuwadi!!! Na kama hujafokewa leo sio mimi!!!

Kuhusu majina bandia ni hoja ya kiju'ha manake ni ju'ha tu ndie anaweza ku-challenge kitu ambacho ni official!!! Na ni ju'ha tu ndie anaweza kuamini huwezi kuongea mambo ya msingi mpaka utumie real name!!!

In short huna hoja na ndio maana unaishia kujificha kwenye viroja!!!
 
Tatizo la kukumbuka SHUKA pamekucha...
Le Mutuzz alitakiwa awafundishe mtu kama J.Makamba, R.Kikwete n.k .(jinsi ya kutoka kimaisha)

Ajabu wao wako mbele na mbali zaidi yake..!!

Kaishi Ng'ambo kwa kula BATA, akajisahau kwamba iko SIKU Daddy atatoka MADARAKANI.

Anaamua kurudi Nyumbani, anadhani fikira na mawazo ya Wabongo alio waacha bado ni yaleyale..

Watanzania wa leo (majority) wako more advanced than Le Mutuzz..

Mtakuja kunipa majibu...
 
Eti JF ni your other tool!! Una-link vipi JF na kale ka-blog kako hadi useme ni nyenzo yako?
Btw, unasema nikuruhusu kwanu nilikuita? Sema wakati umefika wa kwenda kumtumikia Makonda ju'ha wewe!!!
 

- nonsense!

le Mutuz
 
Hivi kwa nini WAZEE wote waliokuwa WAUMINI wa sera ya UJAMAA walizaa MITOTO TAAHIRA...

Jaribu kuwafuatilia wote...King***e.. Mal****a.. Jec**a (znz) ..endelea na wengine...
 
Nimrkua follower wako i guess since 2012, i hv been see u expanding... hongera mkuu
 


- hahahaha now you are talking maana huwezi kumjua kuwadi unless alikuuza kwa wanaume hahahahahahahaha

le Mutuz
Dah[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi kwa nini WAZEE wote waliokuwa WAUMINI wa sera ya UJAMAA walizaa MITOTO TAAHIRA...

Jaribu kuwafuatilia wote...King***e.. Mal****a.. Jec**a (znz) ..endelea na wengine...
Lakini kwa huyu mzee ndo too much!! Yaani leo ndo nimejua huyu jamaa hamna kitu! Eti bila aibu anasema kwake hakuna umuhimu wowote kujenga kwa sababu hata Wahindi hawajengi! Wakati huo huo anasahau kwamba ana watoto aliowakimbia US ambao anatakiwa kuwaachia msingi kwavile bado ni wadogo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…