Jibu hayo maswali we mstaafu ili tuone ni kama ni kweli una hizo sifa za kujiita social media king!![]()
- hahahahahahaa wewe piga kelele weee mpaka ulie machozi, Social Media is my field ndiyo inayonipa mkate na nitaendelea mpaka nifikie kumiliki Radio na TV, ndiko ninakoelekea wewe piga kelele hapa pole sana hahahahahaha, nitatoa ajira na ukitaka utapewa ajira hahahahahahha
le Mutuz
Kilichopo kwako ni hata mimi hivi sasa naweza kujiita Social Media Emperor kwa sababu ulichofanya ni kujiita tu ingawaje hizo sifa haina!!!Una followers wangapi instagram?
Engagement rate kwenye post zako ipoje?
Unapata likes kutoka kwenye posts zako?
Una Followers wangapi Tweeter?
Rate ya Retweet kutoka kwenye posts zako ikoje?
Una friends wangapi au like ngapi Facebook?
Engagement rate na audience ipoje?!
Wanagapi wame-subscribe kwenye Youtube Channel yako?!
Engagement rate yako ipo vipi?
Average views per content iko vipi?
Sijataja social networks zingine ambazo hazina umaarufu Tanzania!!!!
Hivi ukiji-evaluate wewe mwenyewe unaamini kabisa unastahili kujiita Social Media King?!
Duniani kuna kitu kinaitwa social media influencers!!!!
Kwavile kuna indicators za ku-evaluate viable social media influencers; hata kwenye top 10 social media influencers wewe huwezi kutokea!!!!
Kwahiyo endelea tu kujiita social media king lakini kwa wanaofahamu haya mambo wanakuona juh'a tu!!!