Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

Asee ww mzee una matatizo lkn sikulaumu yawezekana kuna kalaana kanakutafuna polepole,ngoja nikupe ushauri kidogo

Embu mtafute mzee Malecela umpigie magoti kama kuna nilichokukosea naomba nisamehe then uwatafute wajomba zako upande wa mama sababu mambo unayoyafanya hayaendani na umri wako

Sent using Jamii Forums mobile app


- leo at "Le Mutuz Online TV" tunaanza kuonyesha mechi za Soka za kimataifa live so radhi kaombe wewe mimi ngoja niwape wananchi soka kitu wanapenda!

le Mutuz
 
Kwa umri wake sio kbs,mtu anakimbiza miaka 60yrs tulitarajia awe kwenye level za kina Mbowe,kwa umri huo alitakiwa afanye mambo kimyakimya

Sent using Jamii Forums mobile app


upload_2017-8-31_15-33-51.jpeg


- studio imeshakamilika so kazi kazi leo tunaanza na mechi za kirafiki Ulaya nzima, relax boss mambo bado hahahahaha

le Mutuz
 
Hongera le mutunzi le kubwa lao le janjaaa le mbululaziiii le kila kitu.

Hongera mno kwa hatua hiyo ila wapo humu watakubeza ww piga kazi tu maana wengine wanabeza nyuma ya keyboards tu........kaz juu ya kaziii yan bampa tu bambaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera le mutunzi le kubwa lao le janjaaa le mbululaziiii le kila kitu.

Hongera mno kwa hatua hiyo ila wapo humu watakubeza ww piga kazi tu maana wengine wanabeza nyuma ya keyboards tu........kaz juu ya kaziii yan bampa tu bambaa

Sent using Jamii Forums mobile app
upload_2017-9-2_17-10-38.jpeg


- Kazi imeshaanza tayari ni kaazi juu ya kaazi, yaani Bampa to Bampa hahahahahaha ajira kwa vijana wadogo kama huyu ndio maana ya AKILI KUBWAZZZ yaani uzitumie kwa faida yako na usaidie na wengine hahahahaha U know!!

le Mutuz
 
Kuliko kutembelea site yako ni Bora nicheki Videos za X ..

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Aka the so called online TV bado akajaanza tu mbwembwe nyingi hakuna kitu hapo.
 
Nakupongeza kwa hili, umetoa ajira.

Kudos Mzee..........

Nyakageni
 
Back
Top Bottom